Chuo gani cha Cha community Development kinatoa certificate online?

Kipengeleto

Member
Feb 21, 2024
31
64
Habarini za mchana wadau wa JF,

Jamahaani naomba kujuzwa Kama Kuna chuo chochote cha maendeleo ya jamii kinachotoa certificate online?

Mimi nimemaliza chuo cha maendeleo ya jamii mwaka 2013,lakini mpaka Sasa sijawahi kupata ajira yoyote,kwa hyo nimeona Bora nikasome certificate maana Mimi nina degree, nimehangaika Sana kutafuta kazii cjafanikiwa, mara nyingi wanaajiri certificate na diploma. Asanteni
 
Back
Top Bottom