chakula

  1. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Rais na Waziri wa Kilimo kuhusu chakula nchini mnapotosha Taifa

    Wandugu, Kuna lugha za kujirudiarudia kutoka kwa hawa viongozi wakisisitiza kwamba mkulima lima jiwekee cha kwako na familia yako chakula kingine nenda kauze nje mipaka ya nchi mipaka imefunguliwa. Najiuliza ina maana wananchi wengine kama Dar es Salaam wanaotegemea vyakula hivyo havitawafikia...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Je, ni nani wa kulaumiwa kwa msukosuko wa chakula barani Afrika?

    Mkuu wa Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa USAID Bibi Samathan Power alisema kwamba "uvamizi" wa Russia nchini Ukraine umesababisha msukosuko wa chakula katika Pembe ya Afrika, na hatua ya China ya kuhodhi chakula imezidisha msukosuko huo. Kutokana na athari za mabadiliko ya hali...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Formula uchanganyaji wa chakula kuku wa mayai miezi 2 hadi 4

    Habari ndugu zangu, Naomba mwenye ufahamu wa formula ya kuchanganya cha kula cha kuku wa mayai wenye miezi 2 hadi 4. Naomba nitumieni.
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwa Tanzania; Kama Mwanamke hajawahi fika Ukanda wa Pwani ni hakika Hajui Kupika chakula kitamu

    Kwema Wakuu! Kuna watu watabisha Kwa ubishi wao tuu lakini kimsingi na kitaalumuna unapozungumzia mapishi Kwa nchi yetu basi hapo utakuwa unazungumzia ukanda wa Pwani. Kama unaishi maisha ya kawaida Kurudi ufukara na hujawahi kuishi Maeneo ya Pwani na hapa nazungumzia DAR es salaam, Pwani...
  5. Surya

    JamiiForums Tanzania Hichi chakula ni kitamu sana aisee

    Yani kanipikia chakula kitamu hivi kinoma ili kunionyeshea tu, anamakusudi sana huyu dada na anajua kabisa niko single. Yaani na kanipakulia kiasi sawa na njaa yangu kabisa nikamaliza nimeshiba vizuri navyopenda 😏😏
  6. B

    JamiiForums Tanzania Serikali idhibiti chakula kutoka nje ya nchi

    Waziri wa Kilimo aliangalie sana hili huko mipakani tudhibiti uuazaji wa vyakula kiholela. Juzi nilikuwa Serengeti mahindi debe ni Tzs 20000 from bei ya zamani ilikuwa 12000 kwa hiyo tunakoelekea Wakenya watakuja kutuuzia tena vyakula kama mvua zitachelewa. Sisemi watu wasiuze lakini kwa...
  7. plagiarism

    JamiiForums Tanzania Andika chakula ukipendacho na sisi tukijue

    Mimi binafsi napendelea ugali na nyama choma😂😂 Ni tamu balaa wewe je?
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Kuongeza chumvi kwenye chakula kilichopikwa tayari hupunguza miaka ya kuishi

    Utafiti uliohusisha Waingereza wapatao 500,000 umebaini kuongeza chumvi kwenye chakula kilicho mezani (Chakula kilichopikwa tayari) kunahusishwa na kifo cha mapema. Watafiti wamegundua kuwa kuongeza chumvi kila wakati kwenye chakula hupunguza zaidi ya miaka miwili ya kuishi kwa Wanaume na mwaka...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Serikali kufunga mipaka kwa upungufu wa chakula ni kuwaua wakulima

    Ni kweli ina nia ya kusaidia janga la njaa. Lakini kwa nini kila wakati wa kuuza bei ya chini ni wakulima tuu. Kwanini bidhaa nyigne hatua kama hizi hazichukuliwi. Sisi tunaotoa muda wetu kulima na kudharaulika tunalazimishwa kulisha watu wavivu na wengine wanaotukashifu tunapoingia shambani...
  10. Ndebile

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Maandamano ya "Bila chakula hatupigi kura" Kenya!

    "..waache wajiweke lockdown sisi tunenda shambani kulima, njaa itawatoa huko walipojifungia...." JPM (RIP) Hakika unabii wake umetima na kamwe hakuna neno lake litakalopita bila kutimia! Wakenya wameanza kuonja machungu ya uviko baada ya bei unga kuzidi kupaa ambapo majuzi walitishia kususia...
  11. O

    JamiiForums Tanzania Biashara ya chakula Tanga Jiji inalipa kiasi gani?

    Naomba kupatiwa ushauri juu ya biashara ya mgahawa yaan restaurant Jiji la Tanga mjini na chakula gani wanapenda na wapi bora kuanziasha naombeni ushauri wadau?
  12. O

    JamiiForums Tanzania Biashara ya chakula Tanga Jiji inalipa kiasi Gani?

    Naomba kupatiwa ushauri juu ya biashara ya mgahawa yaani restaurant Jiji la Tanga mjini na chakula Gani wanapenda na wapi bora kuanzisha. Naombeni ushauri wadau?
  13. L

    JamiiForums Tanzania Tamasha la 22 la chakula la China lafunguliwa Harbin

    Tarehe 29 mwezi Juni, tamasha la 22 la chakula la China ambalo pia ni maonyesho ya 5 ya mnyororo wa ugavi wa sekta ya upishi yameanza rasmi katika Kituo cha Maonyesho cha Kimataifa cha Harbin.
  14. E

    JamiiForums Tanzania Misaada na Mikopo ni chakula cha Mafisadi, Watanzania tuipinge kwa nguvu zote

    Hivi kwa Nchi kama Tanzania ambayo iliwahi kusanya mpaka Trlioni 2.5 kwa Mwezi na Bajeti yetu ni kama Trioni 40 kwa mwaka ,ni kwanini tuendelee kukopa na kuomba misaada ? Misaada na Mikopo yenyewe pesa zina Masharti mabovu . Unapewa pesa unaambiwa ujenge madarasa sijui visima ,vyoo ,ina tija...
  15. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Chakula cha mchana kwa wafanyakazi kinaleta motisha kwenye ufanisi

    Chakula cha mchana makazini kina siri kubwa katika kuleta ufanisi. Wakati wa Ukoloni mashirika mengi ya watu binafsi yalitoa chakula cha mchana kwa wafanyakazi. Kwakua ubaguzi wakati ule ulikua ni wa wazi Wazungu ambao walikua ni wachache wenye nafasi za juu walitaarishiwa milo mizuri na kwa...
  16. SOVIET UNION

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe aache sifa apige marufuku Uuzaji wa Chakula nje

    India mwezi jana ilipiga marufuku kuuza ngano nje ili kulinda soko la ndani make bei ya ngano kule India ilikuwa imeanza kupanda kwa kasi sana. Kumbuka wale Ngano ndo chakula kikuu na Wali pia. India ni mzalishaji mkubwa wa Ngano Duniani lakini iliona hatari kwa raia wake kuuziwa ngano bei ya...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Sudan: Zaidi ya 30% ya raia wanakabiliwa na uhaba wa chakula

    Athari mbaya za Mabadiliko ya TabiaNchi, machafuko ya Kisiasa na kupanda kwa bei duniani vimepelekea uhaba wa Chakula kwa zaidi ya 30% ya Wananchi wa Taifa hilo Inaelezwa kuwa, Watoto Milioni 3 walio chini ya umri wa miaka mitano wanakabiliwa na Utapiamlo, na takriban 375,000 wanaweza kupoteza...
  18. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Nilimpatia elfu tisini jana, leo kakataa kunikopesha chakula kwenye mgahawa wake

    Habari zenu wana JF, Nina mahusiano na bidada mdogo tu ambaye anamiliki mgahawa mdogo tu, lakini unamuingizia pesa si chini ya 20K kwa siku, ni mchapakazi kweli kweli na shughuli zote anazifanya mwenyewe kitu kilichonivutia kuwa naye! Mgahawa wake ndo ulikuwa chanzo cha mimi na yeye kufahamiana...
  19. beth

    JamiiForums Tanzania Sri Lanka: Watumishi wa Umma waondolewa siku moja ya kazi kuhamasisha walime

    Serikali imeridhia pendekezo la Watumishi wa Umma kutoenda kazini siku ya Ijumaa kwa miezi mitatu ijayo ili kuwahamasisha kulima katika maeneo yao ili kukabiliana na uhaba wa chakula unaotarajiwa kutokea Sri Lanka inakabiliwa na mdororo mbaya zaidi wa Kiuchumi kutokea ndani ya miaka 70 na hali...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Hangzhou: Mpishi roboti apika chakula kwa wateja

    Hangzhou: Mpishi roboti apika chakula kwa wateja
Back
Top Bottom