uwepo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Ni wazi malori ndio chanzo cha ajali nyingi nchini; suluhisho la kutatua msongamano wa malori barabarani ni hili hapa, kama kweli serikali iko serious

    Ni kwamba kimsingi, hakuna haja kabisa ya kuwa na utitiri wa malori tunayoyaona barabarani siku hizi katika barabara za Dar - Mbeya, Dar - Tanga, Dar - Songea, Dar - Arusha na hata Dar - Mtwara. Sasa basi suluhisho ni nini? Serikali iamue, kama kweli inataka kuondoa tatizo la msongamano wa...
  2. E

    JamiiForums Tanzania KERO LATRA kagueni kuhakikisha mabasi yanayochukua nauli ya VIP yanatoa huduma zinazoendana na hadhi hiyo

    Kumekuwa na uwepo wa mabasi yanayotoza nauli za VIP, lakini huduma na hali ya mabasi hayo hazikidhi viwango vinavyostahili. Tarehe 3 Oktoba, nilisafiri kwa basi la kampuni ya Ally’s kutoka Mwanza kwenda mkoani Rukwa saa 9:00 mchana, ambapo nilitozwa nauli ya VIP ya Sh45,000. Hata hivyo, basi...
  3. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Unakuta member anatunga uzi "SASA NIMERUDI" kwamba yeye ni special mlikuwa mume-umiss uwepo wake kumbe alikuwa anacheka na nyie na maparody yake😁

    Ila JF , nani kama JF, tunaendelea kuburudika
  4. M

    JamiiForums Tanzania Traffic Goba Njia nne mbona kama uwepo wenu umeongeza foleni?

    Njia nne Goba round about kwa sasa kuna askari wa usalama barabarani wa kutosha sana wanaoongoza magari kupita kwa zamu, tunawapongeza sana kwa jitihada hii ya kupambana na foleni. Hata hivyo, toka mmeanza kuruhusu magari kwa zamu imesababisha foleni kuongezeka mara dufu. Kuthibitisha hilo ni...
  5. Kachina95

    JamiiForums Tanzania NAOMBA KUJUA UWEPO WA MSAJIRI WA VYAMA VYA SIASA TANZANIA.

    Jamani naomba kujua kama jaji Mtungi na msaidizi wake Sisty wapo! Kuna chama cha siasa kinamiliki majeshi na vyombo vya usalama. Nadhani hii ni kinyume na sheria ya vyama vya siasa na natumaini hatua kali sana za kukifuta chama hicho zitachukuliwa
  6. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mnaosoma UDSM vipi ratiba ya masomo itaendelea vile vile licha ya uwepo wa El Nino? Kuna mtu anataka kulipa ada nataka nimshauri kabla hajafanya maamu

    Huyu mmama alikuwaga " Mtu' Wangu wa karibu Sana wakati nasoma UDSM. Amegraduate mwaka 2010 anatoka nchi jirani. Anataka kuja kufanya Masters UDSM.. Kwa mujibu wa ratiba iliyopo ni kwamba classes zinaanza October mwishoni. She was about to pay her fee ila amesikia kuhusu El Nino na mabadiliko ya...
  7. mpinzani

    JamiiForums Tanzania Kwaheri JF: "Mpinzani" nastaafu rasmi baada ya miaka 16 ya uwepo wa kimya kimya na amani

    Wakuu na wanajukwaa wenzangu,Leo natangaza kustaafu rasmi JamiiForums. Nilijiunga hapa mnamo mwaka 2010 kwa jina la Mpinzani. Tangu siku hiyo, nimekuwa member muungwana sana—sijawahi kupigwa 'ban' wala kugombana na mtu yeyote humu ndani. Nilikuja kwa amani, na sasa naondoka kwa amani.Baada ya...
  8. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Wanaoamini hakuna Mungu wana hoja, wasikilizwe

    Hawa watu msiwatukane, wasikilizeni maana Wana maana Yao kusema hivyo, wengi wao wanaoamini hivyo wameamua kua hivyo kutokana na magumu na machungu waliyokutana nayo kwenye maisha na walipomuhitaji Mungu hakuwasaidia. Unakuta mtu ana jambo linalomnyima furaha kwenye maisha, ametafuta msaada kwa...
  9. Bigmaaan

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Mjadala wa Uwepo wa Mungu.

    Cc Kiranga
  10. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Nafikiri yule mdada mwenye tatoo ya kipepeo sio mtu wa kawaida. Ana uwepo wa nguvu fulani ndani yake

    Kufuru anayofanya and force aliyonayo ni mfano aina ya mtu ambae sio energy ya kibinadamu. Nafikiri yupo possessed au connected na element fulani hivi.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa baba humwekea mtoto wa kiume mipaka katika maamuzi mengi. Baba akiondoka, wengi huonyesha rangi halisi, huamua bila kusita wala kujificha.

    familia nyingi, baba huonekana kama mtu anayesimamia nidhamu, mwelekeo na usalama wa familia. Hata pale ambapo hatumii nguvu wala maneno mengi, uwepo wake pekee unaweza kuwa ujumbe kwamba kuna mipaka ambayo haipaswi kuvukwa. Kwa mtoto wa kiume, jambo hili linaweza kuwa muhimu zaidi anapokua na...
  12. funaku

    JamiiForums Tanzania Katibu wa chadema ndiye aliyetakiwa kutoa tamko la uwepo au hairisho la kikao cha baraza kuu la chadema

    Kwani taratibu za vikao ndani ya CDM zimebadilika lini? kwa nini katibu wa Chadema hatumuoni kutoa tamko rasmi juu ya kikao cha baraza kuu?
  13. Mtu_Huru88

    JamiiForums Tanzania Kwanini huamini uwepo wa Mungu?

    Tukiachana na masuala ya dini kwanza, kwasababu sio dini ndo zimeleta uwepo wa Mungu Ukizingatia dini kuu zilizopo mfano Uislam umeanza baada ya uwepo wa Mohhamad S.A.W, mtume huyo alidai kashushiwa kitabu kutoka mbiguni (Kuran) na hapo ndio ukawa mwanzo wake kitu ambacho kabla ya Mohhamad...
  14. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Feisal salamu anawatumia mabumunda WA SIMBA SC na YANGA SC kujiongezea thamani

    Azam FC wanachofanya ni kiburi cha pesa ambacho hakina tija yoyote kwao. Tangu usajiri wa Feisal ufanyike, Azam FC imeendelea kua msindikizaji Katika mashindano ya ndani na hata Yale ya kimataifa. Huku feitoto akinufaika pakubwa kimaslahi . Kutokana na ubumunda wa viongozi wa Azam FC kwenye...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Raisi Ruto awafikia wale Msioamini uwepo wa Mungu (Atheists)

    Habari kwenu. Raisi wa Kenya William Ruto amewapa salamu wale wasioamini uwepo wa Mungu kwamba hawana utofauti na Wanyama. Najua hili linawagusa sana hasa wale wanaoishi nga'mbo au ugaibuni kwani wao baada ya kufika huko wengi wao wamempa Mungu Kisogo na ndio maana wengi wao wanishi kwa msongo...
  16. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Dunia bila uwepo wako. Wewe ni nani hasa? (Soma hadi mwisho, itabadilisha mtazamo wako)

    Wadau za wakati huu, Tuna muda kidogo hatujaonana uzi wangu wa mwisho wiki kama 3 zilizopita lakini katika kukaa kwangu na kufikiria nimefanya uchambuzi pamoja na utafiti mbalimbali kuhusu hii mada yetu hii ya leo. Mada hii ya leo imeibuka baada ya siku moja swali hili kutokea: "Kama...
  17. OMKEIT 93

    JamiiForums Tanzania Je, uwepo wa Dini ni sababu ya Afrika kutokuendelea?

    Kumekuwa na hoja inayorudiwa mara kwa mara kwamba Afrika imechelewa kimaendeleo kwa sababu watu wake wana dini nyingi, hasa Uislamu. Lakini je, hoja hiyo ina uzito wa kutosha, au ni njia rahisi ya kuficha sababu halisi za changamoto za maendeleo? Kwanza kabisa, ni muhimu kutofautisha kati ya...
  18. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania RPCs, OCDs, maRCs na maDCs wametumia uwepo wa maandamano ya 77 kutapeli wafanyabiashara mamilioni ya pesa eti ili biashara zao zilindwe 24hrs!

    Anaandika Hilda Newtown kutoka ukurasa wake wa X-TWITTER... ================== Baada ya Gen-Z kutangaza Maandamano ya Amani ya 7/7 #77Tunatoka. Sasa maandamano haya kwa MaRPC na Wakuu wa Wilaya nchini, wao wakaigeuza kuwa fursa ya kutapeli Wafanyabiasha wenye Maduka pamoja na wamiliki wa Petrol...
  19. Rev.Kishoka

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

    Imekuwa ni jadi na utamaduni kufurahia sikukuu hii na kuwaenzi waasisi wa Muungano wetu Mwalimu Nyerere na Mzee Abeid Karume kwa matamasha, gwaride na shangwe kebekebe. Lakini imekuwa ni dhambi, tena yenye sumu kali kwa mtu yeyote kuhoji au kutaka kuuchambua Muungano huu. Lengo langu si...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Responded HOJA Mazungumzo ya kuhamisha Wananchi wa Sinza yasifanyike kwa mafungu hotelini, tushirikishwe na uwazi uwepo

    Serikali ilitangaza kuanza kwa mchakato wa kuboresha eneo la Sinza ili kulifanya kuwa la uwekezaji na kwamba Wananchi watapewa maelekezo ya kuyaachia maeneo yao kwa makubaliano maalum ya uwekezaji. Kikao kilichopita kati ya wawakilishi wa Serikali na Wananchi kwa asilimia kubwa hakikuwa na...
Back
Top Bottom