msukuma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    Ripoti ya Kwanza ya Chama Cha Mapinduzi, Msukuma jitafakari

    Msukuma, Habari za mchana! Hii hapa TAARIFA YA KWANZA YA CHAMA baada ya 29 October na ilikuwa tarehe 5. Mwenyekiti alikutana na wajumbe wako kwenye kikao cha kamati kuu maalum. Na mengine mengi baada ya hapo yalifanyika kutokea kwenye maelekezo ya hiki kikao. Shida ni moja na makundi yenu ya...
  2. Jidu La Mabambasi

    Mbunge Msukuma: Sakata la kazi visiwani, Wazanzibari ni wavivu!

    Haya sasa, Mbunge Msukuma kawatolea uvivu wale walio ingiza maneno fiksi juu ya ajira na mambo ya Afya inapokuja waTanganyika huko Zanzibar. Msukuma kajieleza vizuri alipoongea na waandishi wa habari. Kimsingi Msukuma anasema Wazanzibari ni wavivu kiasili. Mnasemaji wajameni
  3. M

    Robo 3 ya Wachimba madini Geita ni Wazanzibari - Msukuma. Hii sio kauli ya bahati mbaya

    Hii kauli ya Msukuma sio ya bahati mbaya, ni kauli ya kinyongo na kutoridhishwa, ni suala la muda Watanganyika na wao watasema wazanzibari wanachukua fursa zao.
  4. Jidu La Mabambasi

    Wabunge wetu, hasa Msukuma, mmeiumbua serikali kwa kuvunja sheria ya ROAD FUND

    Inatia moyo kwa wabunge wetu kwa kuikemea serikali kwa kuvunja sheria. Kisheria fedha za ROAD FUND zinalindwa kutotumika kwingine kokote, ila ujenzi na ukarabati wa barabara nchini. Sasa leo kuna wajanja serikalini wamevunja sheria. Kwanza tutaomba watajwe hao wahusika serikalini. Pili...
  5. Jidu La Mabambasi

    Mbunge Musukuma na Usomi phobia, kutokusoma siyo sifa!!

    Mbunge machachari Msukuma ana upeo mkubwa wa kuongea na kuongea. Lakini wakati mwingine kinachomtoka mdomoni ni pumba zisizo ainisha mantiki ya usomi nyuma yake. Huwa anawa nanga sana wasomi, utaifikiri mikakati ya mwalimu Nyerere kufuta ujinga ilikuwa kupoteza muda na fedha. Msukuma...
  6. Nyankurungu2020

    Msukuma na Mwenzake waliopogana hadharani wapelekwe mahakamani. Kama kweli sheria ni msumeno

    Walivunja kifungu namba 87 cha sheria cha kanuni ya adhabu kwa kupigana hadharani. Wakamatwe na kwa sababu ushahidi upo wapelekwa mahakamani na wahukumiwe miezi sita jela.
  7. Nyankurungu2020

    Mbunge Musukuma uwe unatumia akili, sio kutaka sifa zisizo na mashiko. Wewe umesoma na una PhD

    Mtu amesoma na ana Phd lakini anaingilia suala ambalo lina mkataba kisheria. Kama muwekezaji ameingia kima kosa basi halmashauri au waliofunga nae mkataba wauvunje kama kweli ni voidable contract. Sasa habari ya kutaka upewwa maelezo kibabe mbele ya kamera ya nini? Wewe sio sehemu ya mkataba...
  8. Sifi Leo

    "Mimi ni serikali, Mimi sio chadema" Samia unalipeleka wapi taifa UKIWA chadema hurusiwi kukemea? Msukuma bhana

    Hii kauli ya msukuma kujiita serikali imetoka wapi? Kwa hiyo UKIWA ccm wewe ndo serikali sio? King msukuma kujiita ccm na kumtamkia mwekezaji yakuwa yeye sio chadema Ina maana Gani? UKIWA chadema hurusiwi kukemea mwovu? Pamoja na yaliyotokea 29. Bado ccm Ina viongozi wapumbavu wanao toa kauli...
  9. H

    Mmemuona Babalevo tu King Msukuma hapana?

    "....Wabunge 16 ambao tovuti ya Bunge imethibitisha rasmi kwamba wewahi kuingia bungeni wakiwa na kiwango cha elimu ya msingi ni Mbunge wa Geita (CCM), Joseph Kasheku (Msukuma) ambaye ameandika alipata elimu yake hiyo katika Shule ya Msingi Fulwe, Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), Stephen...
  10. tonicimmobility

    GE2025 Matokeo ya Msukuma yalivyotangazwa, azoa kura 5251

    Mbunge aliyemaliza muda wake jimbo la Geita na mtia nia jimbo hilo hilo Joseph Msukuma amejipatia ushindi katika kura za maoni kura 5251. Soma pia: Ujumbe kwa Mbunge Msukuma: Kama unataka tuwaige China tusiiche kubana Uhuru wa Maoni, Tuwaige basi hadi Kuwanyonga na kuwapiga risasi Mafisadi
  11. The Watchman

    Msukuma anautaka ubunge kwa mara nyingine, atua ofisi za CCM kuchukua fomu

    Mbunge wa Jimbo la Geita, Joseph Kasheku maarufu kama Musukuma, leo ameibuka katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Geita kwa lengo la kuchukua fomu ya kuwania ubunge kwa awamu nyingine. Musukuma aliwasili katika ofisi hizo majira ya saa 9:35 alasiri, akiwa ameambatana na Katibu...
  12. W

    kumbe wasukuma wa vijijini huvaa sketi kuvutia wanawake ?

    Si Wasukuma wote huvaa vazi hili, lakini limezoeleka sana kwa wachungaji wa ng’ombe porini na vijijini.
  13. Lord Denning

    Ujumbe kwa Mbunge Msukuma: Kama unataka tuwaige China tusiiche kubana Uhuru wa Maoni, Tuwaige basi hadi Kuwanyonga na kuwapiga risasi Mafisadi

    Nimemsikiliza Mbunge Msukuma. Amempinga sana Gwajima kwa hoja nzito alizozitoa mbunge wa Kawe. Msukuma hakuishia hapo alisema Tanzania inaenda mwendo wa China kunyima uhuru wa maoni ili kumruhusu Rais afanye kazi yake. Sasa mimi namwambia Msukuma. Kama anataka tuwaige China basi tuwaige na...
  14. The Watchman

    Msukuma: Mimi ningekuwa askari ningekuwa na maamuzi magumu zaidi, hauwezi kutoka Kenya kuja kuchochea wenzio

    Wakuu Mbunge wa Geita vijijini, Joseph Kasheku Msukuma amvaa Martha Karua kwa madai ya kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania huku akisema "ningekuwa askari ningekuwa na maamuzi magumu zaidi, hauwezi kutoka Kenya kuja kuchochea wenzio"
  15. Fbn

    Mbunge Musukuma wewe darasa la saba ila hufahamu kitu. Jifunze kwa wenzetu

    Nimemsikia mbunge Musukuma kuhusu kuweka tozo kupita daraja la Busisi. Ila nikajiuliza hivi hawa wabunge wakisafiri nchi za watu wanaenda kufuata ilani ya chama cha CCM. Soma > Musukuma apendekeza tozo Kwa magari ya biashara kuvuka Daraja la Magufuli (Kigongo-Busisi) ili Kurudisha zaidi ya...
  16. S

    PreGE2025 Mtumishi wa Mungu afichua Mpango wa CCM kuwaengua Wabunge wa Kanda ya Ziwa

    Mtumishi wa Mungu wa Huduma ya Kristo, Steven Jacob amefichua mpango wa Chama cha Mapinduzi kuwafuta wabunge wote wa Kanda ya Ziwa na kuweka watu wao sikiliza kwa makini video hii inayofichua mpango mzima. https://youtu.be/jXrtCkOsKBQ?si=-IbKOvkyyzaCB09s
  17. The Watchman

    PreGE2025 Msukuma afurahishwa na maendeleo ya mradi wa ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati katika Mji wa Serikali Mtumba

    Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku maarufu 'Musukuma' akiwa sehemu ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini ameelezwa kufurahishwa na maendeleo ya mradi wa ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati katika Mji wa Serikali Mtumba na kuipongeza wizara kwa hatua ya ujenzi iliyofikiwa kwa...
  18. S

    Tutumie tu akili ya kawaida hivi Yesu Kristo ana uhusiano gani na Mchaga, Mmakonde, Msukuma, Mhaya, Mzaramo, Mjita n.k.

    Nauliza tu mna uhusiano gani na Yesu?
  19. Waufukweni

    Musukuma: SGR inawahudumu kama Ndege, tutapata hasara waondolewe

    Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Kasheku Musukuma amesema haina haja ya kuweka wahudumu wanaotoa huduma za ndani ya treni ya Mwendokasi (SGR) ili kuepuka shirika kupata hasara kwakuwa ndio kwanza mradi huo umeaanza hivyo haina haja ya kuweka gharama kubwa za uendeshaji. "Hakuna haja ya kuwa na...
  20. kyagata

    Kwanini Wanawake wanapenda kusema "nina Msukuma wangu" na sio kusema nina Mkurya au Mchaga wangu?

    Kuna huu msemo unaelekea kuwa maarufu hasa kwa wanawake. Unakuta mwanamke kaishiwa labda pesa utasikia anasema "nina Msukuma wangu nitamuomba pesa atanipa" au nina Msukuma wangu ananipenda huyo. Kwa nini huwa wanapenda kuwataja hao wanaume wao wa kisukuma in reference to their tribe? Mbona...
Back
Top Bottom