chakula

  1. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Ningependa mchana huu chakula hiki anipikie Seran

    Step by step atanifahamu mrembo huyu na ipo siku atafungua prime minister (PM) yake. Sikati tamaa
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna kero ya Michango ya Uandikishaji na Chakula Shule ya msingi Mkuza

    Habari, Mimi ni mzazi nawakilisha wazazi wenzangu ambao wamechoshwa na kero hii. Mimi ni Mkazi wa Kibaha Manispaa, mkoa wa Pwani. Tumechoshwa na kero ya michango mashuleni hasa shule ya Msingi Mkuza iliyopo kata ya Picha ya Ndege kituo cha daladala maarufu kwa Mbonde Wamekuwa na utaratibu wa...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hii ni aina gani ya bunduki alieonekana nayo mlinzi wa raisi mapema leo baada ya kashi kashi katika hafla ya chakula cha jioni?

  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Abiria kulazimishwa kushuka kwenye vituo vya chakula vyenye bei kubwa wakati wa safari

    Ndugu wana JF, Kuna jambo linazidi kuwa kero kwa wasafiri wengi wa mabasi ya mikoani. Ni hii tabia ya makampuni ya bus kusimamisha safari kwenye vituo maalum vya chakula ambavyo bei zake ziko juu kupita kiasi. Abiria tunashushwa hapo kana kwamba hatuna chaguo lingine, wakati ukweli ni kwamba...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Kwanini chakula Cha MSIBANI ni kitamu?

    Hizi ni baadhi ya SABABU ila inayoshinda na isiyo na shaka ni MOJA. SABABU. unakuwa na njaa sana kabla ya kula ukizingatia chakula Cha MSIBANI uchelewa kuliwa, mnaweza kula saa 9, 10, WENGINE ni BAADA au kabla ya mazishi. Chakula cha msibani huandaliwa kwa juhudi kubwa na wapishi wengi japo...
  6. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Kipi chakula chako pendwa?

    Kwangu mimi ni chapati sizichoki asee af za mama ntilie hapana nimekuwa affected siwez kula chakula ame pika mwingine na simuamin mtu kwenye swala la kupika ata kama nimechoka kuliko kununua bora nipike Huo unga wa ppf ni mzuri mnoo Jiona una kula nini show us
  7. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ashiriki chakula na watoto wenye mahitaji maalum, asisitiza upendo na wajibu wa jamii

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema hakuna mtoto anayepaswa kuachwa nyuma katika jamii, akisisitiza kuwa kuwahudumia watoto wenye mahitaji maalum si hisani bali ni wajibu wa pamoja wa jamii na Taifa kwa ujumla. Ameyasema hayo Aprili 6, 2026, alipojumuika na watoto wenye mahitaji maalum...
  8. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Watu wa Afya tuchukue lipi mbona kila chakula hakifai kwa mujibu wenu? Nyie huwa mnaishije?

    Tunaambiwa.... Sukari haifai.. Chumvi haifai... Mafuta hayafai... Juice ya matunda haifai... Matunda mchanganyiko hayafai... Unga wa sembe haufai... Unga wa dona uliopita mashineni haufai maana unatuvyuma bora strange na kinu hahaha.... Nyama hazifai zinavimelea vya magonjwa ... Wali...
  9. Adryz

    JamiiForums Tanzania Maandazi ni chakula lakini yamegeuzwa kuwa tusi ama madharau

    Utakuta watu wakitofautiana wanabaki kutukanana maandazi wewe ama andazi wewe. Sasa kwanini andazi ama maandazi itumike kwenye lugha chafu wakati ni kitafunio pendwa? Utakuta hadi kiazi nayo imekosewa heshima. Utasikia kiazi wewee. Hivi sisi Niggers tuna shida gani? adriz de mbusii
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mipangilio ya chakula kwenye baadhi ya migahawa Dodoma ilinishangaza

    Nilizoea kukuta menu za kawaida kama wali maharage, pilau nyama, wali mboganboga na kadhalika. Nilipoenda Dodoma kuna migahawa nikakuta wanauza wali ugali nilishangazwa nikijaribu lakini sikupendezwa nayo kabisa. Baadae nikasikia pia kuna menu zaidi kama, ugali burger, piza maharage, ugali...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania yakabidhi msaada wa chakula kwa Msumbiji

    TANZANIA YAKABIDHI MSAADA WA CHAKULA KWA NCHI YA MSUMBIJI Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekabidhi msaada wa tani 500 za mahindi kwa Serikali ya Jamhuri ya Msumbiji kufuatia mafuriko yaliyoikumba nchi hiyo kutokana na mvua kubwa zilizonyesha. Msaada huo umekabidhiwa Machi 24...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli mwanaume unajua kuwa chakula hiki hakikupikwa na mke wako?

    Kuna story huwa nasikia kuwa wanaume wanajua kama chakula kimepikwa na wake zao au lah, mfano mwanaume hayupo chakula kikapikwa na mtu mwingine akija kula anajua kabisa aliyepika si mkewe hata kama kitawekwa viungo vilevile ambavyo mke huwa anaweka. Nini kinawfanya mgundue, au kuna namna...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mjadala unaendelea hatma kesi ya Lissu Mahakama kutoa maamuzi, kutopewa chakula, Kamwaga na Pascal Mayala wanazungumza...

    https://www.youtube.com/live/yY-Fra_HBiY
  14. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa PSO Mahabusu na Wafungwa watakula Chakula Gerezani

    Wadau naona wengi mna hamaki kusiana na suala la mtu kunyimwa chakula, Utaratibu wa Prison Service Order (PSO) ni kwamba mfungwa au mahabusu atakula chakula gerezani. Gerezani kwa mujibu wa sheria za kimataifa panajulikana kama sehemu salama. Akipewa chakula popote wapo wanaompenda na...
  15. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Mmoja azimia baada ya kusikia askari magereza wamegoma kumpa Lissu chakula kinyume cha sheria

  16. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Kutoka mahakama kuu, Tundu Lissu anyimwa chakula

    Saa 8 mchana, tarehe 12 February 2026 Imepigwa High Courtttttt Majaji wameingia. Mhe. Lissu alivyoingia anauliza mmekula? Mimi mwenzenu sijala kabisa. Majaji wamewasha kipaza sauti pale na karani anasoma namba ya kesi. Anasimama Renatus Mkude anajitambulisha na kusoma anaoambatana nao...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kutolipwa na serikali kwa wakulima wa mahindi Kanda ya Songea

    Wakulima waliouza mahindi Hifadhi ya Taifa ya Chakula kanda ya Songea hatujalipwa fedha zetu tangu September 2025 Hadi Sasa kimyaa. Wakulima wameshindwa kurudi shambani wengine mahindi yanaharibika shambani kwa kukosa pembejeo hasa mbolea. Tunaomba Waziri wa kilimo aingilie kati, hasa sisi...
  18. Desierto

    JamiiForums Tanzania Chakula gani unatamani mtoto wako akipende lakini hakipendi?

    Mimi Kuna chakula watoto wangu nimepambana mpaka wamekipenda na kukizoea Mfano. Bamia na baadhi ya matunda watoto walikuwa hawapendi ila kwa sasa nimewazoeza na wanakula balaa.
  19. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Mwaka juzi niliona maiti ya mwanaume ikiwa imesimama nyuma ya muuza chakula kwenye mgahawa fulani

    Mwaka juzi niliona maiti ya mwanaume ikiwa imesimama nyuma ya muuza chakula kwenye mgahawa fulani. Ilikuwa ni mgahawa mmoja huko Tanga nilikuwa nimeenda kula. Rafiki yangu alinishauri kula hiyo sehemu kwa sababu chakula chao ni kitamu sana. Kwa kuwa hoteli niliyokuwa nimefikia ilikuwa karibu...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Padre Atimuliwa Kwenye Mazishi Moshi, Waombolezaji Wamwaga Chakula Kwenye Mazishi ya Kijana Aliedaiwa Kujinyonga Mahabusu Moshi

    Siku chache baada ya mahabusu Michael Rambau (18), kudaiwa kujinyonga ndani ya Kituo Cha Polisi Kati-Moshi, mkoani Kilimanjaro, waombolezaji waliokuwa wamekusanyika leo nyumbani kwa wazazi wa marehemu huko Rau, Manispaa ya Moshi ili kushiriki ibada ya maziko yake, wanadaiwa kumfukuza na kumzomea...
Back
Top Bottom