lukuki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    Kama umeshapita kwa wachungaji na waganga ukiambatanisha sadaka lukuki bila mafanikio, inaweza kuwa wewe binafsi ndio msaada wako mwenyewe

    Ndugu zangu, Huu sio wito au propaganda ya dini. Uwe Mkristo au Muislam, tabu zako unazijua mwenyewe na yule unae hangaika kwenda kwake akuponye wala hafananii na uchungu wako. Tumekuwa msaada mkubwa wa kifedha kwa kununua miujiza na visomo. Niliwahi kusoma comment ya jamaa muislam hapa JF...
  2. Clark cian

    Maisha hasi

    Katika Maisha ya binadamu kupitia changamoto ni njia mojawapo itakayokuwezesha uweze kufikia malengo Yako lakini muda mwingine changamoto zinazidi uwepo wa uvumilivu . Yani changamoto zinafanya Hadi hisia ziwe tofauti na matendo ya nje . Yani inafikia wakati hisia zinakosa ushirikiano kabisa na...
  3. Pascal Ndege

    Tetesi: Intergovernmental governmental Agreement (IGA)ni njia ya kukwepa kodi lukuki za uwekezaji Tanzania

    Mwekezaji kabla ya kuwekeza Tanzania anatakiwa kufanya yafuatayo. 1.Kufungua Company Tanzania na kupata vibali Vyote vya kikodi hapa Tanzania 2. Alipe TRA provisions Tax kutokana na mradi wake. 3.Leseni za biashara. 4.Alipe kodi za Pango na VAT 5.Kodi za zuio la pango 6.Usajili TIC 7.Kodi za...
  4. R

    Wawekezaji baada ya kutengeneza faida lukuki wameamua kutufilisi kwa kufungua kesi huko Mahakama za kimataifa. Wanasheria wetu wanafanya nini?

    Pamoja na hasara kubwa tuliyopata kwenye mikataba ya madini na rasilimali nyingine ikiwemo gesi hali ya kuifilisi Tanzania inayoendelea huko mahakama za kimataifa inatia kinyaa Kinachoendelea sasa hivi; mwekezaji akigombezwa kidogo tu na serikali anakwenda kufungua kesi nje. Akifungua kesi...
  5. Tukuza hospitality

    SoC03 Ajira Lukuki za Vijana Kupitia Sekta ya Utalii Nchini Tanzania

    Utangulizi Wakati ninasoma, nilidhani kuwa watalii ni lazima wawe wazungu kutoka Ulaya, na pia nilidhani utalii unafanyika katika mbuga za Wanyama pekee. Nikiwa bado shuleni, nilibahatika kwenda pamoja na wanafunzi wenzangu kutembelea mbuga za Wanyama Manyara na Ngorongoro, tulipokuwa tunakutana...
  6. Stephano Mgendanyi

    Jimbo la Hai na Mafanikio Lukuki, Mbunge Saashisha Anena Mazito Yaliyofanyika

    JIMBO LA HAI NA MAFANIKIO LUKUKI NDANI YA MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN MADARAKANI "Nawashukuru wananchi wa Hai kwa heshima kubwa waliyonipa ya kuwa Mbunge wao. Itoshe kusema asante na Mungu ambariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan" - Mhe...
  7. sinza pazuri

    Diamond Platnumz sasa wanamuita Sheikh Mansoor

    Diamond Platnumz ambae ni msanii namba moja Africa. Hatimaye amepewa jina jipya kwa sasa anaitwa aka Sheikh Mansoor. Wakimfananisha na tajiri mmiliki wa Manchester City Ameuanza mwaka sasa yajayo yanafurahisha. Haya sasa vifaranga tokeni bandani mtembee na upepo wa mwenye nyota zake za...
  8. masai dada

    Huyu mteja kaniacha na maswali lukuki

    Nimeona niingie jamii forum kupoteza mawazo ila Bado akili imechanganya changanya hivi...nahisi kichwa sio kichwa nahisi vibaya vibaya. Japo ukweli nimechoka lakini haiondoi maana kwamba hali yangu imebadilika tangu alivyokuja. Huyu bibie kaja mchangamfu kafunga na hijabu...anaonekana mkarimu na...
  9. Logikos

    Tanesco na Miradi Lukuki ambayo Hata Pesa hatujui tutapata Wapi ?

    Sijakosea najua hili ni Jukwaa la Jokes na nimeweka hapa sababu yanayofanyika ni kama Utani... Nimemsikia Makamba leo katika utiaji wa Saini za mikataba lukuki ambayo itahitaji pesa lukuki za kuweza kufanya umeme kuwa Historia yaani anasema kwama vile Mkapa alivyofanya usafiri kuwa mzuri...
  10. The Supreme Conqueror

    Kombe la Dunia Qatar sheria lukuki zinazidi kumiminika, FIFA wayakanyaga

    Wakuu ni hivi, kila panapokucha kumekuwa na lundo la sheria zinazozidi kutungwa nchini Qatar kwa mashabiki na watu mbalimbali watakaoingia nchini humo kipindi hiki cha michuano ya Kombe la Dunia, na mbaya zaidi hizo sheria zinawawekea vikwazo hadi wadhamini wakuu na washirika wa karibu wa FIFA...
  11. GENTAMYCINE

    Zembwela wa Wasafi FM: Kutokana na hii Kero ya Tozo Lukuki natabiri 90% ya Wabunge hawatorudi tena Bungeni 2025

    "Kama kweli Watanzania wakijielewa na kutuliza Akili zao na kwa hali ninayoiona sasa Mitaani kutokana na Hasira za Tozo Lukuki huku Maisha yao yakizidi kuwa magumu kuna Uwezekano 90% ya Wabunge hatutokuwa nao tena Bungeni mwaka 2025" amesema Mtangazaji wa Wasafi FM Hillary Daud a.k.a Zembwela...
  12. A

    SoC02 Ng'ombe wa maskini azai na akizaa uzaa tasa

    The government have needed to educate the local community about diseases as well as to help the poor people like Maliwazo within these stories so as to leave like a rich people. Katika Kijiji Cha Ntakoma mkoani mara,palikuwepo na Bibi mmoja ambaye alifahamika kwa jina la maliwazo.Alibaatika...
  13. Pascal Mayalla

    Ijue Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Fursa za Mtangamano

    Wanabodi, Kwa maslahi ya Taifa, inakuletea mfufulilizo wa makala elimishi kuwaelimisha Watanzania, kuijua Jumuiya ya Afrika Mashari na Mtangamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na fursa zake. Ambapo mtangamano ukikamilika, unakwenda kuunda Taifa kubwa kabisa Afrika Mashariki, ambalo litakuwa na...
  14. Nobunaga

    Waziri wa Afya, tunakuomba usiishie kwa Lightness tu. Tupo lukuki ambao vitambulisho vyetu vya NIDA vimeshikiliwa Mloganzila Hospitali

    Kwanza nakushukuru Mh. Waziri wa Afya Ummy Mwalimu kwa kulivalia njuga hili jambo la mwanafunzi Lightness Shirima (22) ambaye baba yake Priscus Shirima alifariki Hospitali ya Mloganzila kisha wakakishikilia kitambulisho chake cha NIDA mpaka hapo atakapomaliza deni lake la milioni 9. Labda kitu...
  15. M

    Mwaka mmoja tu, matumizi kodi za umma hovyo, harufu ya ufisadi, Tozo lukuki kwa wananchi maskini. Je, baada ya miaka mitatu?

    Hapa mnatakiwa mjiulize kwa kutumia akili sana. Kwamba sasa mnaekea wapi watanzania? Tozo kibao kila kukicha. Matumizi ya ajabu ajabu tu. Kwanu Uhuru Kenyatta hana wajomba huko Usa? Vipi kuhusu mikataba ya kijanja wizara ya nishati na madini. Mahindra tech, Lindi Lng. Huu ndio mwanzo tu...
  16. CM 1774858

    EU yammwagia sifa Rais Samia

    === EU imemmwagia sifa kedekede Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania hasa kwenye Covid-19 EU inasema hali ya hewa kisiasa na Asasi za kiraia ni nzuri na imetengemaa na kila kitu kinakwenda vizuri nchi Tanzania, EU imeahidi kuendelea kuifuatilia kwa karibu Tanzania na kuendelea kuisaidia...
  17. Mzalendo Uchwara

    Vikao lukuki vya Waziri Makamba na mabepari wa gesi na mafuta vinafikirisha

    Mheshimiwa JPM alikuwa na mapungufu mengi lakini jambo moja kwa hakika ni alikuwa hawezi kukaa na dukuduku moyoni. Hata alipowatumbua watu aliwananga hadharani kwanini amewala vichwa. Wakati anatutangazia kuwa tusahau kuhusu gesi ya Mtwara kwakua tulishapigwa na hivyo basi tujikite kwenye mradi...
Back
Top Bottom