Search results

  1. peno hasegawa

    Maafa ya mvua Moshi: Watano wafariki Dunia wakiwemo Watoto watatu wa familia moja

    Maafa ya mvua tar 25/04/2024 mkoa wa Kilimanjaro. Kata ya Kimochi s/m Lyakimbila VIFO 1. FREDY GAGALA DRS 1 2. ANGEL CHAKI DRS 7 3. EDWARD CHAKI F II KOMAKYA SEC. KATA YA MBOKOMU FUKENI SHULE YA MSINGI Kifo Cha mwanafunzi Joram Peter kimambo darasa la 5. Miili yote IPO Mawenzi hospital...
  2. peno hasegawa

    Wakuu wa wilaya na Mkesha wa Muungano, watakesha na akina nani? Wasiwasumbue watumishi wa Umma

    Mkesha huu hapa! Utakesha na nani? Ukikesha na watumishi wa Umma, ujiandae kuwapa posho, nauli na chakula. Angalizo.
  3. peno hasegawa

    Serikali iunde Tume huru ya kuchunguza kifo cha Bw. Robert Mushi maarufu kama Babu G

    Kuna mahali nimepita, mazungumzo niliyo yakuta yakiongelewa kuhusu Bw. Robert Mushi maarufu kama Babu G, ninashauri iundwe tume huru kuchunguza kifo chake. Katika tume hiyo,polisi isihusishwe Wala wasishiriki. Pili kijana huyo asizikwe hadi uchunguzi utakapo malizika.
  4. peno hasegawa

    Makalla: CCM nafasi zote zipo wazi isipokuwa ya Urais

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi, Amos Makalla amesema nafasi zote za kuchaguli katika chaguzi zijazo zipo wazi isipokuwa ya Rais wa JMT. Akizungumza leo Aprili 20 hapa Songea mkoani Ruvuma, Makalla amewataka wana CCM kuhamasisha Vijana, Wanawake na Watu wenye ulemavu...
  5. peno hasegawa

    Wanachama wa CCM Itumbi waipokea kwa shangwe kauli ya Waziri Mkuu Majaliwa. Sasa tume ya madini ifute PL/ 6973/2011 haraka

    Tume ya madini, kama mmemsikia majibu ya waziri Mkuu aliyotoa Bungeni leo Aprili 18, 2024, basi msiwe na kigugumizi kuhusu kuifuta PL/6973/2011. Sababu za kuomba ifutwe na kukubaliana na kauli ya waziri Mkuu hizi hapa: 1. Ilisha kwisha muda wake. 2. Ishapewa au kutengewa wachimbaji wadogo...
  6. peno hasegawa

    Shaban Mwanga tunakuhitaji jimbo la Hai jimbo liko wazi 2025

    Shaban sisi wananchi wa Hai tunakuhitaji sana Jimboni Hai na Jimbo litakuwa wazi Oktoba, 2025. Mhe. Mbunge ameshindwa kutuletea maendeleo na mfano hai barabara ya kutoka weru weru mpaka Rundugai kwa kiwango cha lami ameshindwa kushawishi Serikali kuitengea bajeti ili kuitenfeneza. Pili, kila...
  7. peno hasegawa

    Tume ya Madini, tuambieni CPA ni nini kwenye initial za majina ya watumishi wenu

    Kila kukicha TANZANIA haikosi vituko. Tume ya madini tuambieni mtumishi jina kuanza na neno CPA, ni nini maana yake na kirefu chake ni nini. Mfano ni huu hapa👇wa watumishi wa Tume ya Madini. 1. CPA. William E. Mtinya Director, Corporate Services Department. 2. CPA. Elikana P. Buremo...
  8. peno hasegawa

    Moshi: Taa za barabarani zinazotumia 'solar' zaibwa

    Mkurugenzi wa Moshi Manispaa, amelala na kusinzia, sasa wezi wameiba na solar na taa takribani betri 50 na solar panels 30 na taa zimeibiwa na zinaendelea kuibiwa kwenye Barabara ya Nyerere (Nyerere Road) kuelekea kiwanda cha soda cha Bonite. Hii ni zaidi ya hatari na tukiendelea kukaa...
  9. peno hasegawa

    DOKEZO Kaimu Afisa utumishi Halmashauri ya wilaya ya Mwanga ameshindwa kusimamia maslahi ya watumishi

    Watumishi wa umma Kwa umoja wenu ninawasalimu na kuwaomba msome ujumbe huu,wenye kilio cha Afisa utumishi Halmashauri ya Mwanga. Mh Waziri uliyeaminiwa na Mh Rais Samia suluhu Hassani, tunakuomba , ufahamu, kumtambua na kumuondoa huyu kaimu Afisa utumishi wa hiyo Halmashauri. Suala la haki...
  10. peno hasegawa

    Makonda adaiwa kukataa nyumba ye Serikali, inasemekana anaishi Hoteli ya Nyota 5

    Kwa hali hii, tutafika? Anaandika Martin Maranja Masese kwenye Mtandao wa X Rais Samia Suluhu Hassan, inawezekanaje BASHITE tangu amefika Arusha anaishi Gran Meliá Hotel, full board ($469) kwa usiku mmoja. Hii ni Sh1.3 milioni. Leo atakuwa ametumia Sh5.2 milioni (malazi). Anatembea na msafara...
  11. peno hasegawa

    Jaji Warioba: Ukipewa nafasi ukaona inakuzidi sema atafutwe mwingine

    Eid Mubarak Wanachama wa Jf na watanzania wote. Ninaomba tujadili hii kauli ya Mzee wetu Jaji mstaafu Mzee Warioba. Kuna eneo la msingi na LENYE maana kubwa kwetu sisi watanganyika kuelekea 2025. Karibuni Kwa mjadala. ==== Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba amesema viongozi...
  12. peno hasegawa

    Dkt. Nchimbi tunaomba kukujulisha kuwa Katibu wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro hayupo, nafasi Iko wazi

    Matokeo ya kukosekana Kwa Katibu wa CCM mkoa HUO, majibu haya hapa. Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi mkoa ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya siasa mkoa, anatukana wanachama https://youtu.be/c7T6FjRrxHM?si=BVSP3wN3vUE6ZVsA
  13. peno hasegawa

    Katiba Mpya ifafanue uwezo, sifa na elimu za Wakuu wa Wilaya na Mikoa

    Kuna vituko huko mikoani. Kuna wakuu wa wilaya na Mikoa hawajulikani Wana sifa zipi na elimu zao, kulingana na ujuzi wao kupewa nafasi hizo muhimu. Ninashauri Katiba mpya kuwepo kifungu cha Sheria kinachoonesha uwezo, sifa na elimu za wakuu wa wilaya na Mikoa. Niwatakie mchana mwema.
  14. peno hasegawa

    Ajira: Nafasi wazi za kazi Ikulu huwa zinatangazwa lini na wapi?

    Nimepitia mitaani, vijana ni wengi sana hawana ajira. Mmoja nimekutana naye ameniuliza Hilo swali hapo juu. Mwenye majibu tafadhali
  15. peno hasegawa

    Mwajuma Nasombe, DED Moshi Manispaa afukuzwe kazi

    Kwa furaha kubwa ya Wana mwanga, mungu amempeleka Makamu wa Rais Dr Mpango kuitembelea wilaya ya Mwanga . Madudu aliyayakuta huko, aliyekuwa DED wa mwanga akahamishiwa Moshi Manispaa, Mwajuma ,anastahiki kufukuzwa kazi na kufungwa. Miradi yote huko ni wizi mkubwa, na tuna hisi huyu mama...
  16. peno hasegawa

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde utaifuta lini Leseni ya utafiti PL 6973/2011 ambayo imekwisha muda wake?

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, tunakuomba upitie ,ufuatilie leseni ya utafiti wa Dhahabu ambayo imekwisha muda wake PL 6973/2011. Leseni hii Mama yetu na Rais wetu Dkt. Samia, alisema ni eneo la wachimbaji wadogo huu ni mwaka wa tatu. Kwanini haifutwi ili kuruhusu wachimbaji wadogo...
  17. peno hasegawa

    Upatikanaji wa Dollar za Marekani limekuwa tatizo lisilovumumilika Tanzania

    Nimefika bank Moja nchini kubwa kununua USD 10,000 Kwa ajili ya kukununulia gari nchini Japan. Nilichkokutana nacho ni kuuziwa USD 500 tu! Kuna shida ya USD nchini na BOT wamepiga kimya! Kibao cha kuonyesha exchange rate Kiko na kimeandika bei ya USD Kwa siku hiyo ila no USD,,! Ni nini...
  18. peno hasegawa

    Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Hai, Kilimanjaro, Mzee Maganda ametoweka, haijulikani aliko

    Wanachama wa chama cha mapinduzi, wilaya ya Hai, huko Kilimanjaro, wameshinda ofisi ya chama Wilaya, wakimtafuta Mwenyekiti wao wa Chama Wilaya, siku ya 5 Sasa haonekani. Mwenye taarifa za kupoteza kwake tafadhali!
Back
Top Bottom