Waziri wa Madini, Anthony Mavunde utaifuta lini Leseni ya utafiti PL 6973/2011 ambayo imekwisha muda wake?

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,830
21,460
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, tunakuomba upitie ,ufuatilie leseni ya utafiti wa Dhahabu ambayo imekwisha muda wake PL 6973/2011.

Leseni hii Mama yetu na Rais wetu Dkt. Samia, alisema ni eneo la wachimbaji wadogo huu ni mwaka wa tatu.

Kwanini haifutwi ili kuruhusu wachimbaji wadogo kuchimba Dhahabu na kupewa leseni maeneo ya hiyo leseni ya utafiti?
 
Back
Top Bottom