Katiba Mpya ifafanue uwezo, sifa na elimu za Wakuu wa Wilaya na Mikoa

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,829
21,460
Kuna vituko huko mikoani.

Kuna wakuu wa wilaya na Mikoa hawajulikani Wana sifa zipi na elimu zao, kulingana na ujuzi wao kupewa nafasi hizo muhimu.

Ninashauri Katiba mpya kuwepo kifungu cha Sheria kinachoonesha uwezo, sifa na elimu za wakuu wa wilaya na Mikoa.

Niwatakie mchana mwema.
 
Kuna vituko huko mikoani.

Kuna wakuu wa wilaya na Mikoa hawajulikani Wana sifa zipi na elimu zao,kulingana na ujuzi wao kupewa nafasi hizo muhimu.

Ninashauri Katiba mpya kuwepo kifungu cha Sheria kinachoonyesha uwezo,sifa na elimu za wakuu wa wilaya na Mikoa.

Niwatakie mchana mwema.
Wote hawa Kwanza hawahitajiki kabisa kuwepo ktk nafasi za kiuongozi hapa nchini. Hatuwataki kabisa hao, waondolewe wote kwani hawana faida yoyote ile kwa Mwananchi wa kawaida
 
Kwa mujibu wa anae wateua, sifa ya wateuliwa ni kujua kusoma na kuandika tu...teh🤣
 
Mimi nashauri wakuu wa mikoa wachaguliwe na wanànchi katika mikoa Yao.
Kuna wakuu wa mikoa Vimeo unajiuliza huyu kaingia kwa ndumba au kwa kusifia?
Mwisho nashauri kwa wakati huu, mkuu wa mkoa wa Njombe altetwe Dar. Huyu wa Dar wamtafutie wilaya moja wapo huko Tunduru au Geita.
 
Back
Top Bottom