Barabara ya Mbezi Makonde kuelekea Baraza la Mitihani, kupitia eneo la kwa Mzee Warioba, Waziri Mkuu mstaafu, imekuwa katika hali mbaya kwa muda mrefu bila kufanyiwa ukarabati wa kudumu.
Kila tunapouliza kuhusu uboreshaji wa barabara hii, tunaambiwa wananchi tujichangie na kuitengeneza wenyewe...
Maana siku za hukumu huwa kuna vimbwanga vituko na taharuki za za kila aina.
Kwa mtazamo wako huru, unadhani siku ya hukumu ya uhaini, hali itakuaje kizimbani wakati au baada ya hukumu kusomwa?
Tutarajie mayowe na makelele?🐒
Mungu Ibariki Tanzania.
Dah Mwalimu Shabani hivi wewe na binti yangu mna ugomvi gani usio fika kikomo?
Kuna vitu vingi binti yangu huwa analalamika mfano huwa unamlazimisha kununua ubuyu na visheti vyako.
Binti yangu hata akimaliza kazi zake kwa wakati na kwa usahihi unatafuta sababu zisizo na kichwa wala miguu na...
Msanii wa Nigeria Davido amehudhuria mazishi ya rafiki yake wa karibu, Igho “Tiny” Ubiribo, yaliyofanyika jijini London, Uingereza.
Ubiribo, mwenye umri wa miaka 43, alifariki Machi 6 baada ya kupata emboli ya mapafu (pulmonary embolism) kufuatia utaratibu wa kuongeza ukubwa wa uume kwa kutumia...
Kidemeni ni miongoni mwa vijiji vinavyopatikana katika Wilaya ya Chake Chake, Mkoa wa Kusini Pemba, wananchi wake wana kilio cha kutokuwepo kwa barabara ya uhakika, hivyo kudai inachangia kudumaza maendeleo yao.
Kwa miaka kadhaa sasa, Zanzibar imeendelea kushuhudia mabadiliko makubwa ya...
Kuonyesha unapata mafanikio, unajenga manyumba na kununua magari kwa kukata kiuno hapo ndio shida ilipoanzia.
Hii nchi kila mtu atakuja kua mwanaharakati ni suala la mda tuu.
Hii ni barabara ipo Dar Es Salaam
Barabara ya Dege - Mbutu, Kichangani Kata ya Somangila, Mkoa Wa Dar Es Salaam imekuwa kero kwa miaka mingi licha ya baadhi ya Viongozi wa Serikali kuja mara kwa mara pasipo utatuzi wa kilio chetu
Kinachoshangaza hili barabara ni muhimu maana huku Mbutu kuna...
Mimi ni mmoja wa wanafunzi wa Shahada ya Udaktari wa Mifugo ambao tunatarajia kufanya internship ya mwaka mmoja kabla ya kupata usajili wa kufanya kazi kama madaktari wa mifugo.
Leo tumekutana na Naibu Msajili wa Baraza la Madaktari wa Mifugo Tanzania (VCT) ambaye alitueleza utaratibu wa...
Ukosefu wa maji katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) umeendelea kuwa kero kubwa kwa wanafunzi. Tunalazimika kutumia muda mwingi kusaka maji badala ya kusoma kwaajili ya UE na mitihani mingine, huku wengine wakikosa kuoga, kufua na hata kupata maji ya ziada.
Inasikitisha kuona tatizo hili...
Katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), kuna wanafunzi ambao tulisaini makubaliano ya ada kulipwa kupitia HESLB, lakini fedha hizo zilirudishwa HESLB. Tulipowasiliana na HESLB, tuliambiwa ni hitilafu ya mfumo na kwamba suala hilo linashughulikiwa, hivyo tusiwe na wasiwasi.
Hata hivyo...
Naomba mamlaka husika zichunguze huduma za vyeti mtandaoni katika Wilaya ya Tandahimba. Niliomba cheti cha kifo tarehe 11 Juni 2026, lakini hadi leo 8 Julai 2026 sijakipata, na status ya maombi haibadiliki hadi mwombaji aende ofisini.
Pia, kuna taarifa kutoka kwa wananchi kwamba kwa sasa...
Anonymous
Thread
huduma
kilio
mtandaoni
ofisi
ofisi za rita
rita
tandahimba
vyeti
wananchi
wilaya
Vijana waliokosa akili sasa kidogo akili zinawarudi. Hao wapinzani hutumia matukio kama ya October 29 ili kupata pesa na mpenyo wa kushika madaraka.
Walitaka vijana wafe kwa wingi October 29 ili wapate mtaji mbele za wazungu. Wameandika barua nyingi na kupeleka watu nje kwa siri Marekani na...
Je, Kilio cha Haki Kitasikika?
Inaonekana ukosefu wa haki umeenea kila mahali. Fikiria mifano miwili ya watu waliohukumiwa isivyo haki:
Mnamo Januari 2018, hakimu nchini Marekani aliamuru mwanamume fulani aliyefungwa miaka 38 hivi iliyopita awekwe huru. Ilionekana hakuwa na hatia kwa msingi...
Uandikishaji ulifanyika kwa siku saba kwa kupita kaya kwa kaya lakini wamelipwa kiasi cha sh. 50000 tu. kwa siku hizo zote.
Tunaomba katibu mkuu wizara ya Afya atolee ufafanuzi suala hilo, Kwan huu ni unyanyasaji. Hata fedha ya mafunzo halimashauri ililipa sh.15000 tu.kinyume na utaratibu.
Anonymous
Thread
afya
katavi
kilio
mpimbwe
vyandarua
wahudumu wa afya
Kwa heshima kubwa, tunaiomba Serikali kupitia Jeshi la Polisi Tanzania na hasa Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) kuchukua hatua za haraka kuhusu malalamiko yanayoendelea kujitokeza juu ya ujenzi wa Kituo cha Polisi Itumbi, Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya.
Wananchi wa Itumbi pamoja na...
Kwa sisi tulioko marekani tunajua nguvu ya USA. Ukitaka kujua nguvu ya USA muulize Waziri mkuu wa Uingereza, kitendo Cha kukataa kutoa Airbase za UK kutumiwa na US air force, ilikuwa mistake kubwa sana. UK ilimtuma mfalme Charles Kwa Trump kuomba samahani.
Nguvu ya US wanaijua Cuba, Zimbabwe...
Mkoa wa Mtwara, Mamlaka ya Maji Safi na Taka (MTUWASA) wakazi wa Mbae Mashariki, Manispaa ya Mtwara Mjini tumeomba tuunganishiwe huduma ya maji kwa muda mrefu bila mafanikio.
Pamoja na juhudi za kuandika barua kwa Mkurugenzi wa MTUWASA hatujawahi kujibiwa, yapata miaka minne sasa (toka 2022)...
Anonymous
Thread
kilio
kimya
maji
majini
mashariki
miaka
site
wakazi
Mimi ni mmoja wa wadau wa shughuli za ushirika katika Wilaya ya Manyoni, na napenda kuwasilisha changamoto kubwa inayohusu uwazi katika utoaji wa zabuni ndani ya Chama cha Ushirika CEMACo.
Kwa mujibu wa taratibu za kawaida, zabuni mbalimbali hutangazwa kwa uwazi kupitia mbao za matangazo na...
Anonymous
Thread
chama
chama cha ushirika
changamoto
katika
kilio
manyoni
ndani
ushirika
uwazi
zabuni
Wafanyakazi wa Kiwanda cha kuzalisha dawa za binadamu cha Keko (Keko Pharmaceutical Industries - 1997) wameipigia yowe Serikali wakilalamikia bodi na menejimenti, hususan mbia binafsi (kampuni ya Diocare Ltd), kwa madai ya kuhujumu mchakato wa ajira zao na kukwamisha uendeshaji wa kiwanda hicho...
Nimepita mikoani hususani vijijini ila nilichokutana nacho ni vilio vya wakulima kila kona. Hali ya upatikanaji wa mbolea imekuwa ni ya shida mnoooo!!! Kila maduka ya mbolea utakayopita unaambiwa hakuna mbolea huku wale walionazo stoo wakiuza kwa bei ya kuumiza wakulima kwa wastani wa shilingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.