waziri wa madini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. peno hasegawa

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde utaifuta lini Leseni ya utafiti PL 6973/2011 ambayo imekwisha muda wake?

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, tunakuomba upitie ,ufuatilie leseni ya utafiti wa Dhahabu ambayo imekwisha muda wake PL 6973/2011. Leseni hii Mama yetu na Rais wetu Dkt. Samia, alisema ni eneo la wachimbaji wadogo huu ni mwaka wa tatu. Kwanini haifutwi ili kuruhusu wachimbaji wadogo...
  2. peno hasegawa

    Waziri wa Madini: Toyota Land cruiser STK 327 (Tume ya madini) hii gari inatumika vibaya kuokota Rushwa na kuwanyanyasa wachimbaji wadogo Chunya

    Leo ninatuma namba ya gari nikijiamini kuwa gari hiyo inamilikiwa na Tume ya madini. Huko gari liliko Kila siku linatumika kukusanya rushwa na kusumbua wachimbaji wadogo. Gari Hilo linafanya ukusanyaji wa rushwa usiku na mchana, siku za kazi na siku za sikukuu. Bosi wa Tume ya madini Chunya...
  3. peno hasegawa

    DOKEZO Waziri wa Madini, Tume ya madini Wilaya ya Songwe na Chunya wanafanya overlapping (kwenye mfumo) maombi ya leseni za wachimbaji wadogo

    Kuna kilio kikubwa sana sana kwa wachombaji wadogo maeneo ya songwe na chunya. Kilio hiki kinasababishwa na watumishi wa tume ya madini kuomba maombi ya leseni ndogo za wachimbaji wadogo ndani ya maombi ya leseni iliyokwishwa kuombwa ili ukilipia ionyeshe aliyeomba awali alichelewa kuomba kwa...
  4. Roving Journalist

    Waziri wa Madini akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2023/2024

    Hotuba ya Dkt. Doto Mashaka Biteko (MB), Waziri wa Madini akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2023/2024
  5. peno hasegawa

    DOKEZO Prof. Shukuru Manya, Naibu Waziri wa Madini yuko wapi na analipwa kwa kazi gani?

    Ndugu watanzania, mtajwa hapo juu ni mtumishi wa Serikali ya Tanzania. Hajulikani aliko, anachokifanya ndani ya Wizara ya Madini tangu ateuliwe na JPM hadi sasa. Cha kushangaza na kusikitisha nafasi aliyokuwa nayo huko Tume ya Madini, awali ilikaimishwa mtu hadi leo imekaimishwa tena mtu asiye...
  6. M

    Ukimya huu mkubwa wa Waziri wa Madini Dotto Biteko unanipa sana Mashaka!

    Viongozi wa dini husema ukijua umefanya dhambi moja kubwa sana hapa duniani basi jitahidi utubu na usali mno kabla Mwenyezi Mungu hajakuita mazima.
  7. peno hasegawa

    Mwenye journal aliyoandika Waziri wa Madini, Dotto Biteko (PhD) inaomba aiweke hapa tafadhali

    Watanzania wenye kuisoma au waliyonayo journal aliyoiandika Doto Biteko (PhD) ninaomba tafadhali. Thread hii ijibiwe na watu wenye majibu seriously kwani ikikosekana tunataka kuweka jina lake kwenye Orodha ya mafisadi wa Elimu.
  8. Meneja Wa Makampuni

    Itakua vyema Dkt. Musukuma akiteuliwa kuwa Waziri wa Madini maana ana uzoefu na mambo ya madini

    Bila kumung'unya maneno, wakuu mimi naona Itakua vyema Dkt. Musukuma akiteuliwa kuwa waziri wa madini maana anauzoefu na mambo ya madini. Huyu jamaa yupo smart sana. Anaweza kuleta mageuzi kwenye sekta ya madini nchini. Karibuni kutoa hoja
  9. Memento

    Godbless Lema amtakia safari njema Dotto Biteko Wizara ya Madini

    Aliyekua mbunge machachari na mwanasiasa mwenye maono Godbless Lema amemtakia safari njema Dotto Biteko. Lema ni moja watu wenye maono makubwa sana kwenye nchi hii, binafsi ninamkubali sana Lema hasa pale alipoamua kulivingirisha jiwe. Lema amemwambia Dotto Biteko kuwa zamu yako imefika, wewe...
Back
Top Bottom