Search results

  1. Nyani Ngabu

    Ni lini sherehe za sikukuu za kitaifa zisizo za kidini ziligeuka na kuwa maonyesho ya kijeshi?

    Wajuzi na wajuvi, ni lini hizi sherehe za sikukuu za kitaifa zisizo za kidini ziligeuka na kuwa fursa ya wanajeshi kufanya maonyesho ya kazi zao? Maana sikumbuki kabisa kuona mambo kama haya miaka ya nyuma enzi za Mkapa, Mwinyi, na kwa kiasi hata Nyerere. Pengine labda nimesahau. Kama ni...
  2. Nyani Ngabu

    Makonda naye ametumwa na Rais Samia?

    Mwezi uliopita, aliyekuwa mkuu wa majeshi ya ulinzi, Jenerali Venance Mabeyo, aliongea na waandishi wa habari wa gazeti la serikali, Daily News, kuhusu siku za mwisho za Rais John Magufuli. Wajuzi na wajuvi wa mambo wakadai kwamba ametumwa na Samia kuyasema hayo aliyoyasema. Kwamba hakusema tu...
  3. Nyani Ngabu

    TANZIA O.J.Simpson afariki dunia. Alichomoka kesi ya mauaji ya mkewe na rafiki yake wa kiume pamoja na ushahidi kumnyooshea kidole

    Mwanamichezo maarufu, O.J. Simpson amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76 kwa kansa. Simpson pamoja na michezo anakumbukwa kwa kesi ya mauaji ambapo alituhumiwa kumuua mkewe Nicole Brown(35) pamoja na rafiki wa kiume wa mkewe, Ron Goldman(26) mwaka 1995. Katika utetezi wake, upande wa...
  4. Nyani Ngabu

    Nayo ni hisani ya Rais Samia?

    Katiba mpya! Hivi, upatikanaji wa katiba mpya nayo ni hisani ya Rais Samia [mimi simuiti Dokta kwa sababu hastahili kuitwa hivyo]? Nimeona mara nyingi vya kutosha sasa watu wakisema:- 1. Samia atuletee katiba mpya. 2. Samia atupatie katiba mpya. Sielewi kabisa. Kwani yeye huyo Samia ndo ana...
  5. Nyani Ngabu

    Tengua - teua ni danganya toto tu! Hazina tija yoyote ile

    Naam, nasema wazi kabisa. Hizi habari za kutengua na kuteua mara kwa mara ni danganya toto tu za kumwonyesha mtenguaji na mteuaji kuwa yupo makini na ni mchapa kazi. Haiwezekani kukawepo na ufanisi wa kazi ikiwa kila mara unabadilisha watendaji kwa sababu zisizoeleweka. Utateuaje watu halafu...
  6. Nyani Ngabu

    Dhamana ya Trump yapunguzwa kutoka milioni $464 hadi milioni $175!

    Judge agrees to reduce Trump fraud bond to $175m Judge agrees to reduce Trump fraud bond to $175m Huu ndo mwanzo wa mwisho wa kesi ya kizushi dhidi ya Trump! Hii ni lawfare ambayo haina kabisa nafasi kwenye nchi ya kidemokrasia. Unamhukumu mtu halafu unapanga kiasi kikubwa ajabu ambacho...
  7. Nyani Ngabu

    Wiki mbili zilizopota Marekani iliwaonya raia wake waliopo Urusi kuepuka sehemu zenye misongamano ya watu!

    Na yakatimia kweli! Intelligence ya Marekani ni habari ingine kabisa. But that doesn’t mean it’s foolproof https://youtu.be/M665-CETLH4?si=X_wFcE6FcXOZJAI6 Hii hapa habari kutoka New York Post, ya tarehe 8 mwezi huu...
  8. Nyani Ngabu

    Julius Nyerere akijibu maswali ya waandishi wa habari nchini Uganda, Julai 1988

    Hapa Rais Nyerere [ alikuwa keshastaafu urais] akijibu maswali ya waandishi wa habari huko Uganda. Seems like he was always in his element when speaking to reporters/ journalists: https://youtu.be/ldgW7lBYKkU?si=d-vHRKTNhV24DW6u
  9. Nyani Ngabu

    Waliotaka kuizunguka katiba wasilaumiwe, ilaumiwe CCM

    Mahojiano aliyoyafanya mkuu wa majeshi mstaafu yametufungulia kaupenyo kwenye dirisha la kilichokuwa kinaendelea kwenye siku za mwisho za uhai wa Rais Magufuli. Kitendo cha mkuu wa majeshi na wenzake waliokuwepo wakati Rais Magufuli anavuta pumzi yake ya mwisho na ‘sintofahamu’ iliyojitokeza...
  10. Nyani Ngabu

    Yawezekana kabisa Tanzania inaongozwa na watu ambao hawajawahi kabisa hata kuisoma kabisa!

    Unapoona viongozi wa nchi wanatoa kauli kama ‘Rais Samia ameruhusu maandamano’ au ‘Rais Samia ameruhusu vyama vya upinzani vifanye mikutano ya kisiasa’, wewe Mtanzania uliye mwerevu na uliye na ufahamu wa msingi wa elimu ya uraia, unajisikiaje? Unaonaje? Huoni kwamba, ama tunaongozwa na...
  11. Nyani Ngabu

    Kama mpaka leo hujui shida za wananchi, wewe hufai kuongoza!

    Tumeshatoka huko. Huko ambako Rais anatenga muda wa kukutana na wananchi wachache na kuzungumza nao juu ya shida zao. Kwa wakati huo, hizo shida za wananchi zilipata afueni? Jibu ni hapana. Jana imetangazwa kwamba Bi. Kiguu na Njia [nasikia jana katua Nigeria huko]naye ataanza tena huo...
  12. Nyani Ngabu

    Mahakama ya upeo ya Marekani yaamua Donald Trump hawezi kuondolewa kwenye sanduku la kura jimbo la Colorado!

    He has been restored on the ballot for president in the state after the court rejected claims he was accountable for the Capitol riots in 2021. On his social media platform after the ruling, Trump wrote: "BIG WIN FOR AMERICA!!!" Trump is the frontrunner for the Republican nomination to...
  13. Nyani Ngabu

    Kwanini si Dkt. Ali Hassan Mwinyi?

    Nafuatilia msiba wa Rais Ali Hassan Mwinyi. Watu wengi wamemzungumzia. Mengi yamesemwa juu yake. Lakini moja ambalo nimeliona limekosekana ni ule utambulisho wa Dkt.! Katika maisha yake yote ya uongozi, Rais Mwinyi hakuwahi kupewa shahada ya udaktari wa heshima kama ilivyokuwa kwa...
  14. Nyani Ngabu

    Safari za Rais Samia nje ya nchi

    Mjinga mimi nina swali. Ni swali kumhusu Rais Samia [baadhi yenu ni mama yenu]. Sina takwimu wala taarifa zingine zozote za kuufuta huu ujinga wangu. Na hata sijui niende wapi ili kuzipata takwimu na taarifa hizo. Hivyo basi, JamiiForums ndiyo kimbilio langu nitakapo kupata baadhi ya...
  15. Nyani Ngabu

    Bandari ya Dar es Salaam ibadilishwe jina iitwe Bandari ya Samia

    Kwa vile huyu ‘mama’ yetu amekuwa ndo Rais bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania [kama siyo Afrika na hata dunia nzima], mimi naenda mbali zaidi na kutaka awekwe tu kwenye noti. Mimi napendekeza jina la Bandari ya Dar es Salaam libadilishwe na iitwe Bandari ya Samia/ Port of Samia. Mama kaleta...
  16. Nyani Ngabu

    Super Bowl LVIII

    All my NFL heads [not that many in here], it’s about that time. It’s going down this Sunday, Las Vegas, Nevada baby. So who y’all got? Bang bang Niner gang or the Chiefs? Drop your comments down below and let us know who you’re rooting for. Sunday couldn’t get here soon enough. Then I’ll be...
  17. Nyani Ngabu

    Pongezi za nini ilhali ni haki ya kikatiba?

    Inavyoonekana yale maandamano ya CHADEMA yaliyopangwa kufanyika keshokutwa, yatafanyika. Sasa nimeanza kuona eti pongezi anapewa Rais Samia! ‘Whims’ za Samia ndo zimekuwa haki za kikatiba au? Hakuna haja yoyote ya kumpongeza mtu kuhusu kitu kilichopo kwenye katiba ya Tanzania. Haki zilizomo...
  18. Nyani Ngabu

    Debate challenge: Nyani Ngabu vs Paul Makonda!

    Paul Makonda kadai anataka mdahalo na viongozi wa CHADEMA. Wao wamemjibu kwa kuweka masharti ili mdahalo huo ufanyike. Here I come. Mbeba maboksi niliyeishia kidato cha nne na kufeli. Siweki masharti yoyote yale. Mimi na yeye tufanye mdahalo kuhusu mada yoyote ile…katiba mpya, ufisadi, global...
  19. Nyani Ngabu

    Useful pointers to CHADEMA: Civil disobedience and passive resistance

    CHADEMA, Kwa vile sasa mmeshakiri rasmi kwamba CCM wamewacheza [played you], hamna budi kujaribu mbinu nyinginezo katika harakati zenu za kuleta mabadiliko ya kisiasa. Civil disobedience na passive resistance. Hamasisheni watu waanze kugomea matendo ya serikali ya CCM. Mifano: 1...
  20. Nyani Ngabu

    JWTZ kufanya maonyesho ya ukakamavu kwenye Sherehe za Kitaifa kumepitwa na wakati

    I am not in the least bit impressed. Maonyesho ya kuvunja mbao, ya kuvunja matofali ya mchanga, ya kuokoa ‘mateka’ kwenye kiwanja cha mpira, na mengineyo, kwangu hayana maana yoyote ile. https://youtu.be/nE4VLXQ-bKY?si=VaXPStM2NnumYO_n
Back
Top Bottom