nyani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhafidhina07

    Kuna kila dalili ya Dodoma jiji kuupokea mkono wa nyani

    Eid fitriiii JF leo ndiyo timu ya wananchi inashuka dimbani kuyaondoa machungu ya dhulma hivyo Nawaambia Dodoma na simba wasishangae vipigo watakavyokutana navyo. NAWASILISHA
  2. Burkinabe

    Tanzania: Tumecheka sana na nyani, na sasa tunavuna mabua

    Asalaam Aleykum wana jamvi. Waswahili walisema, ukicheka nyani, utavuna mabua. Hiki ndicho kinachotokea Tanzania. Reports nyingi za CAG zinazoonesha "nyani" wanaolitesa Taifa hili zimekuwa zinapuuzwa kila mwaka, na matokeo yake ndo haya tunayoyaona sasa. Sauti za Watanzania wengi wazalendo...
  3. M

    Video: Kijana mweusi aigiza kuwa nyani mbele ya Wazungu

    Kumekuwa na mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi, na moja kati ya maneno yanayoashiria ubaguzi ni mtu mweusi kuitwa Nyani. Kijana huyu ameonekana kwenye fukwe akiigiza na kufanya matendo ya mnyama Nyani hali iliyopelekea baadhi ya wazungu kucheka. ANGALIA VIDEO HAPA Unahisi kijana huyu...
  4. Nyani Ngabu

    Debate challenge: Nyani Ngabu vs Paul Makonda!

    Paul Makonda kadai anataka mdahalo na viongozi wa CHADEMA. Wao wamemjibu kwa kuweka masharti ili mdahalo huo ufanyike. Here I come. Mbeba maboksi niliyeishia kidato cha nne na kufeli. Siweki masharti yoyote yale. Mimi na yeye tufanye mdahalo kuhusu mada yoyote ile…katiba mpya, ufisadi, global...
  5. BICHWA KOMWE -

    Nyani Ngabu yuko wapi?

    Huyu jamaa siku hizi yuko wapi?? Mzee wa mayai ya malkia, ni wachache sana humu wanaofikia akili ya yule jamaa. Super Genius. Wengine nao wamekuja humu wanajifanya fanya wachambuzi uchwara lakini wapi, nikiwaangalia hawafikii uzani wa Nyani Ngabu katika mizani ya kiakili. Nafikiri atakuwa...
  6. SAYVILLE

    Nje ya Tanzania hakuna anayejua matokeo ya Simba vs Yanga

    Niliwahi kuhoji taarifa za mchongo kuwa eti ligi ya NBC ni ya 5 kwa ubora na wengine wamekuwa wanajitangazia tu eti derby ya Kariakoo ni moja ya derby 3 kwa ubora na ukubwa Africa, watu wakanibishia. Kuna kaclip kanasambaa kakionyesha Rais wa Yanga akiwa South Africa akisambaza umbea kwa Rais...
  7. T

    Rombo wanaume walalamika madume ya nyani kushika shika wake zao

    Wanaume wilaya ya Rombo walalamika madume ya nyani kushika shika wake zao bila ridhaa yao. Wakuu sikilizeni wenyewe. ===== Wanaume wanaoishi pembezoni mwa Mto Mlembea, Wilaya ya Rombo, Mkoani Kilimanjaro wamelalamika wake zao kuvamiwa na nyani wa kiume na wakati mwingine kuhatarisha usalama...
  8. mtwa mkulu

    Ireland bado kuna ubaguzi wa rangi

    Racial abuse in gymnastics: Irish body apologises after racism controversy involving young gymnast AFP "We would like to unreservedly apologise to the gymnast and her family for the upset that has been caused by the incident,” said a statement by Gymnastic Ireland (GI) posted on its website...
  9. Mama Amon

    Swali kwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi: Kwa nini Polisi wamemshikilia mwimbaji wa wimbo 'Mnatuona Nyani' kinyume cha sheria?

    Pichani ni binti aitwaye Sifa Bujune. Ni mwimbaji wa wimbo unaouliza "Serikali Mnatuona Nyani?" Ameshikiliwa siku nne pasipokufikishwa Mahakamani kinyume cha sheria badala ya kupatiwa jawabu kwa swali lake? Serikali inavunja sheria halafu unawataka raia kutii sheria bila shuruti...
  10. Roving Journalist

    Mbeya: Msanii wa Nyimbo za Injili, Sifa Bujune ashikiliwa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi

    Mwimbaji huyo Sifa Boniventure Bujune (25) ni Mkazi wa Isyesye anatuhumiwa kuimba wimbo unaojulikana kwa jina la “Tanzania Inaelekea Wapi?” wenye maudhui ya uchochezi na kisha kuurusha katika Mitandao ya Kijamii pamoja na YouTube. Kamanda wa Polisi Mbeya, Benjamin Kuzaga amesema Mtuhumiwa...
  11. BARD AI

    Mbeya: Mwimbaji wa Wimbo wa "Mnatuona Nyani" afikishwa Mahakamani, tuhuma za Uchochezi zayeyuka yawa kesi ya kusambaza Uongo

    Kwa mujibu wa Wakili Jebra Kambole ambaye yuko upande wa utetezi, amesema Watuhumiwa wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi jijini humo kwaajili ya kusomewa Mashtaka yanayowakabili. Sifa Bujune, Mkazi wa Isyesye anashikiliwa tangu Septemba 13, 2023 pamoja na Mtayarishaji wa muziki aitwaye...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    Viongozi gani hao waliomuona “Dada wa Watu Nyani” na waimbaji wenzake?

    Habari za jumapili! Leo nimebahatika kuusikia wimbo wa mwanadada mmoja ambaye nimemfahamu kupitia wimbo huo. "Mnatuona Nyani" ndio jina la wimbo huo. Huyo dada amelalama, amelalamika, ametoa dukuduku lake, ametoa yamoyoni mwake, ametoa yanayomsibu, ametoa mtazamo wake dhidi ya wale...
  13. Burkinabe

    Wimbo wa kina Mbarikiwa Mwakupesile "Tatizo Wanatuona Nyani" umezua songombingo aka patashika nguo kuchanika!

    Wana jamvi, Ni matumaini yangu wote hamjambo. Lengo la hii thread ni kuhusiana na wimbo wa washiriki wa kanisa la Mbarikiwa Mwakipesile wa kanisa la Kikosi cha Injili huko Mbeya. Kibao hiki kilicholeta shida kinaenda kwa jina "Tatizo wanatuona nyani" ambao ndani yake wamejaribu kuelezea...
  14. Mr Dudumizi

    Mgogoro wa Bandari na Vita vya Misemo: Kupanguliwa kwa Mipango na Uongozi

    Habari zenu wanaJF wenzangu? Kwa wale tuliokuwa tunafuatilia methali, na misemo mbali mbali ya wahenga shuleni. Bila shaka mnaukumbuka msemo huu unaosema kuwa siku ya kufa nyani basi miti yote atakayoshika itamtereza. Msemo huu kwa wale vichwa nazi mnaweza kuuchukulia poa, lkn kiuhalisia una...
  15. tpaul

    Nyani mwenye tabia kama za CCM huyu hapa!

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Baada ya kutafakari tabia za huyu nyani na pia kutafakari jinsi mafisadi wa CCM wanavyouza rasilimali za taifa kwa waarabu na mabeberu bila huruma, nimejiridhisha pasi na shaka kwamba tabia za mafisadi wa CCM zinawiana na tabia za huyu nyani...
  16. R

    SoC03 Ni vyema mafundisho kama ya binadamu wa kwanza alitokana na nyani yaondolewe kwenye mitaala yetu ya elimu kwasababu yanachochea ubaguzi wa rangi

    NI VYEMA MAFUNDISHO KAMA YA BINADAMU WA KWANZA ALITOKANA NA NYANI YAONDOLEWE KWENYE MITAALA YETU YA ELIMU KWASABABU YANACHOCHEA UBAGUZI WA RANGI KWA WATU WEUSI UTANGULIZI Ubaguzi wa rangi, kwa maana fupi ni hali ya kumpagua binadamu mwenzio kwasababu ya rangi yake ya ngozi. ambapo kwa mara...
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    Balozi wa Romania nchini Kenya, awafananisha Wakenya na nyani mkutanoni

    Romania kumuondoa balozi wake nchini Kenya kwa matamshi yake ya ubaguzi Matamshi ya balozi huyo kuwaita waafrika Nyani yameshutumiwa vikali Afisa mmoja wa Kenya anaelezea majaribio ya ubalozi wa Romania kuficha tukio hilo kama ‘fedheha’. Photo: TRT Afrika Katika taarifa iliyotumwa kwa vyombo...
Back
Top Bottom