Dhamana ya Trump yapunguzwa kutoka milioni $464 hadi milioni $175!

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,252
113,647
Judge agrees to reduce Trump fraud bond to $175m Judge agrees to reduce Trump fraud bond to $175m

Huu ndo mwanzo wa mwisho wa kesi ya kizushi dhidi ya Trump!

Hii ni lawfare ambayo haina kabisa nafasi kwenye nchi ya kidemokrasia.

Unamhukumu mtu halafu unapanga kiasi kikubwa ajabu ambacho hakijawahi kupangwa huku ukijua kabisa atashindwa kupata fedha za kuweka dhamana.

Hayo ni makusudi ya kutumia sheria kunyanyasa wapinzani wa kisiasa!
 
DT akishinda nitafurahi sana

Huwa nafuatilia uchaguzi wa USA kuliko uchaguzi wa Bongolala

Kwa sababu nec ya USA sio ya kishamba
 
Trump mwenyewe anatamba kwamba anapesa nyingi, sasa wao wafanyeje? Halafu nimesoma mahala kwamba hata hiyo imekataliwa leo, kwamba hakuambatanisha na financial statement.
 
Back
Top Bottom