Kulea watoto ni zaidi ya kazi. Weekend iliyopita, mke wangu alienda kwenye msiba ,alifiwa na shangazi yake. Sehemu ya msiba iko karibu na makazi yetu, takribani kilomita 20 hivi. Nilimwambia aende, na kwamba mimi nitakuja siku ya mazishi,Nilimshauri asiende na watoto.
Wakati huo, dada wa kazi...
Mkurugenzi wa Mkombozi Furniture, Leo amemuita Dudu Baya ofisini na kumpa Zawadi ya kiasi Cha shilingi milioni Moja na simu mpya.
Pia mkurugenzi huyo amempa nafasi Dudu Baya ya kuchagua kitu chochote Dukani hapo, Na Dudu Baya amechagua kiti chenye thamani ya laki nane.
Mkurugenzi huyo ame...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la Pongezi kwa Waziri wa Elimu, Prof. Adolph Mkenda, ni multi talented, Sio tuu ni profesa wa sayansi, mhadhiri wa chuo kikuu, mbunge, waziri na mwanasiasa, Prof. Mkenda pia ana kipaji cha utangazaji, nimemtazama na kumsikiliza leo, katika kipindi chake cha kwanza...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anastahili Pongezi,anastahili heshima na kuheshimiwa, anastahili kuungwa Mkono kwa kazi kubwa na njema aliyoifanya ya kulivusha Taifa letu katika nyakati Nguma na za...
Habari zenu Wana-Jukwaa,
Lengo langu la kuandika uzi huu ni kutoa ushauri na wito kwa Shirika letu la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhusu namna linavyotumia kurasa zake za mitandao ya kijamii.
Kazi kubwa na ya msingi ya TANESCO ni kuhakikisha Watanzania wanapata nishati ya umeme kwa usalama na...
Anonymous
Thread
kuelimisha
kuhusu
majanga
pongezi
tanesco
tumieni
umeme
umma
wizi
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, kwanza nitoe pongezi kwa mwandishi wa habari, Saed Kubenea na gazeti lake la Mwanahalisi kwa kuripoti ukweli bayana wa kitu cha kweli. Kubenea na Mwanahali watangazwe ni Mashujaa wa Habari, nimeitaka CoRI, kutetea uhuru wa habari...
Wanabodi
Hili ni bandiko la pongezi kwa serikali yetu ikifanya jambo lolote zuri la kustahili pongezi, tuipongeze, na ikifanya jambo lolote baya la kustahili kukosolewa tuikosoe kwa constructive criticism, ukosoaji wa kujenga, sio ukosoaji wa kuzodoa au kubagaza.
Juzi Jumapili tarehe 12...
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni, Bi. Anastazia Tutuba, akimkabidhi Toroli Bi. Coleta Benedict ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa agizo la Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, alilolitoa wakati wa Mkutano wa hadhara wa kusikiliza na...
Habari
Hii siyo kero ni pongezi
Kwa madaktari wa Hospital ya RUFAA MBEYA.
Nimekuwa nikifanya Checkup mara kwa mara hospital ya rufaa Mbeya ,nimekutana na
1.watunza Kumbukumbu wanaosikiliza mtu vizuri na kumuelekeza kwa upendo wa hali ya juu ase wabarikiwe sana.
2.Madaktari wanajitoa vizuri...
Nawapongeza TAKUKURU Wilaya ya Mlele halmashaur ya Mpimbwe kwa kazi kubwa wanayoendelea kuifanya katika kuchunguza tuhuma mbalimbali za ubadhirifu na matumizi mabaya ya rasilimali za umma katika Idara ya Afya.
Hatua zilizochukuliwa dhidi ya aliyekuwa DMO wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe na...
Anonymous
Thread
kufuata
kusimamia
mpimbwe
pongezi
sheria
takukuru
uwajibikaji
wake
Wanabodi,
Hili ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, nikitoa pongezi kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, Deodatus Balile, kwa uzalendo wake kuhusu kile kilichotokea October 29, katika filamu kuhusu kilichotokea.
Kiukweli, Tanzania na Watanzania, tunatia aibu...
Rais wetu mpendwa Dkt. Samia Suluhu Hassan sisi vijana wazalendo tunapenda kukupa pongezi za dhati kwa namna unavyoendelea kuiwakilisha Tanzania katika majukwaa mbalimbali ya kimataifa kwa hekima busara na ujasiri mkubwa.
Safari yako nchini Urusi imeendelea kuonesha kwamba Tanzania ina...
Sijakosea jukwaa nimeona hizi pongezi nizitolee huku
Sasa ni rasmi maandiko yetu ndani ya JamiiForums yatatambuliwa chanzo chake ni JamiiForums Tanzania
Sasa unapoperuzi kwenye majukwaa na mada utaona upande wa juu kulia kuna maandishi ya kufifia yameandikwa Jamii forum Tanzania
Ni hatua kubwa...
Huu ndio uhalisia ulioko kwenye jamii.. Jamii haina upendeleo kwakuwa
Ukifanya vema.. Bila hata kuomba itakupongeza na kukusifia sana..LAKINI ukiboronga itakubagaza live bila chenga
Risala iliyosomwa na jaji imepata ukosoaji mkubwa kwakuwa imeenda tofauti na uhalisia na ukweli wa kilichotokea...
Sasa TTCL wameamua kuingia mazima kwenye huduma za intaneti ya kisasa.
Usambazaji wa fiber internet unaendelea kwa kasi kubwa, hasa maeneo ya mijini ambako huduma hii inazidi kuwafikia wananchi wengi zaidi. Tofauti na zamani, sasa wanafika hadi mitaani, wakizungumza na wakazi moja kwa moja ili...
bei
bei nafuu
gharama
gharama nafuu
hatua
hongera
intaneti
internet
juhudi
kasi
kubwa
kupatikana
mitaani
mkurugenzi
nafuu
pongezi
ttcl
usambazaji
wananchi
watanzania
wengi
sacred principle
Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu congratulated #US President Donald Trump on the rescue of an American airman from #Iran, while Iran's military said several US aircraft were destroyed, with footage showing wreckage.
Ndugu zangu Watanzania,
Mwamba Paul Makonda Ataendelea kung'aa Kiuongozi ,kushika nafasi nyeti ,kupaa kiuongozi Kutokana na uchapakazi wake uliotukuka na wa kuleta matokeo chanya na ya haraka. Huyu Mwamba ni kama amekuja kwa kazi maalumu hapa Duniani.
Ni mtu ambaye ukimpatia kazi anaifanya...
Meli inayopeperusha bendera ya Tanzania kukamatwa El Salvador 06.02.2025 ikiwa na shehena ya tani 6.6 ya dawa za kulevya. Mlikuwa mnasubiri upepo upite, au mlikuwa mnapiga hesabu za jinsi cocaine tani 6.6 zilivyoweza kutosha katika meli inayopeperusha utambulisho wetu bila ninyi kufahamu
Je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.