Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Pius Lutumo akifafanua kuhutu tukio la Mwanafunzi wa Kidato cha Sita Shule ya Sekondari Makongoro kufariki Dunia muda mfupi baada ya kuadhibiwa kwa viboko na Walimu wake.
Shule hiyo ipo Bunda Vijijini mkoani Mara...
Professor wa chuo cha Cambridge aliyejiuzulu wiki iliyopita baada ya kukabiliwa na tuhuma za udanganyifu wa kitaaluma (plagiarism) pamoja na kuandamwa na vyombo vya habari amekutwa amefariki dunia Siku ya jana Agosti 14, 2026.
Jason Arday, ambaye akiwa na umri wa miaka 37 mnamo mwaka 2023...
Nyota wa Mamelodi na timu ya taifa ya South Africa, Jayden Adams (25) amefariki dunia leo.
Kiungo huyo amefariki dunia siku chache baada ya kushiriki fainali za kombe la Dunia, Marekani lakini mpaka sasa chanzo cha Kifo chake hakijawekwa wazi.
R.I.P Jayden Adams
For English Speakers
South...
Hapa Duniani tunapita.. Tusivimbe kwa kiburi na tusiache kutenda Mema..
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Kamishna Msaidizi Mwandamizi Richard Abwao atakumbukwa.
=====
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Richard Abwao amefariki dunia leo Juni 20...
Kuna taarifa ambayo bado haijathibitishwa inadaiwa kuwa Askari Polisi mmoja amefariki Dunia kwa kujipiga risasi akiwa kazini, Wilayani Masasi Mkoani Mtwara.
Haijajulikana wazi chanzo cha kujipiga risasi na ni kama kweli amejipiga risasi amepigwa risasi.
Taarifa hii nimeona inasambaa chinichini...
Abdilah Musa alimaaruf kama Banjoo alitikisa Arusha kwa ubabe wake na ujuzi wa kuishika na kuitumia bereta kwa ufanisi wa hali ya juu sana.
Alikuwa mwizi wa madini na magari na mbabe haswa.
Soma Jambazi Sugu "BANJOO" larudi uraiani
Aliwahi kwenda magereza kwa vipindi tofauti lakini kesi yake...
Mfanyabiashara Nassor Hamdan Seif, Maarufu kama Mzee NBS, Mmiliki wa Mabasi ya NBS Tabora, amefariki leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam
Mwili wa Marehemu Mzee NBS utasafirishwa kuelekea Tabora kwa Mazishi yake.
Apumzike kwa Amani
Mchungani wa Kanisa la Evangelistic Assemblies of God Tanzania (EAGT) Makimbilio, Manispaa ya Moshi, Jane Mwangalimi amekutwa amefariki dunia nyumbani kwake alikokuwa akiishi na mjukuu wake wa miaka mitano.
Tukio hilo ambalo limetokea Januari 20, 2026 limegunduliwa na mjukuu wake huyo aliyekuwa...
Hamjambo!
1. Kuna nyumba hapa mwaka mpya na Christmas hawakusherehekea.
2. Hawakupika chakula cha maana.
3. Lakini Kila wakisikia taarifa msiba ya kiongozi wa kiserikali wanafanya tafrija. Wananunua pombe, wanapika chakula kizuri, wanachinia kuku.
4. Wanaweka Muziki. Katafrija kadogo kwa...
Kijana Deogratius James Ottaru (37), mkazi wa Kijiji cha Kirima Kati, Kata ya Kibosho Kirima, wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, amekutwa amefariki dunia ndani ya nyumba yake aliyokuwa akiishi peke yake.
Taarifa zinaeleza Drogratius (marehemu) alifariki takribani siku mbili kabla ya...
Inasemekana kuwa kada mtiifu wa CCM sheikh Sharifu Majini alifariki tarehe 29 October kwa kupigwa risasi.
Sina uhakika wa hii taarifa, ila kama ni kweli Mungu ampumzishe anapostahili.
Hana haja ya kupewa R.I.P.
Ni magonjwa ya mfumo was upumuaji yamekatisha uhai wake akiwa na Miaka 41 tu.
Bavarians Msiba huu usiwapite na wale wenzangu wa PES ( pro evolution soceer ).
Winger teleza ameenda.
Pumzika kwa amani mkongwe.
Soka halikudai.
Bwana Giorgio Armani alizaliwa mwaka 1934 nchini Italia. Alisoma shahada ya kwanza ya udaktari wa binadamu, baada ya hapo alijiunga na jeshi kabla hajagundua kipaji chake cha ubunifu wa mavazi.
Bwana Armani Amani kubuni mavazi ya nyota jwa dunia katika ulimwengu wa filamu kama Julia Robert’s...
Wakuu
Hivi mmepita huko X hivi karibuni
Duru zinasema kuwa Donald Trump amefariki japo hakuna confirmation kutoka kwenye sources ambazo ni rasmi.
Kwanza hajaonekana kwa siku takriban mbili na pia hii weekend yote hana any official meeting au schedule, kitu ambacho sio cha kawaida
Lakini...
NDAGU, KITALA NA ADHABU YA MCHAWI
NDAGU maana yake ni ‘ramli'. Kwa desturi, baada ya kuondoa matanga, ndugu waliofiwa huenda kwa mganga wa ramli ili awajulishe sababu ya kifo kilichotokea. Ziko namna nyingi za ndagu, kwa mfano, ndagu ya kifo, ndagu ya ugonjwa, yaani ramli ya kubashiri maradhi...
Hamjambo Wote!
Leo nimepokea kwa Masikitiko makubwa Taarifa ya Msiba wa Aunt Dory, Moja ya Wamama ambao walikuwa wananikubali Sana enzi za uhai wake.
Taarifa hiyo nilipoipata moja kwa moja ikanirudisha Mwaka 2015 nilipokuwa Udsm Mwaka wa Pili.
Nikiwa na hekaheka, za ujana kukimbizana na kila...
Mwanasimba mwenzetu na mwandishi wa BBC Eric David Nampesya amefariki Dunia. Muda mfupi uliopita nimeongea na mke wake amenithibitishia kuwa Eric hatunaye.
Eric alikuwa shabiki na mpenzi mkubwa wa Simba na Liverpool ya England.
BWANA ametoa na BWANa ametwaa jina lake lihimidiwe Amen
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.