Wiki mbili zilizopota Marekani iliwaonya raia wake waliopo Urusi kuepuka sehemu zenye misongamano ya watu!

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,252
113,645
Na yakatimia kweli! Intelligence ya Marekani ni habari ingine kabisa.

But that doesn’t mean it’s foolproof

View: https://youtu.be/M665-CETLH4?si=X_wFcE6FcXOZJAI6

Hii hapa habari kutoka New York Post, ya tarehe 8 mwezi huu.

---
US warns of likely 'imminent' terror attack in Moscow after ISIS thwarted from synagogue massacre
The US Embassy in Russia issued an urgent warning of an “imminent” terrorist attack in Moscow — just hours after ISIS was thwarted from a planned massacre at a synagogue.

“The Embassy is monitoring reports that extremists have imminent plans to target large gatherings in Moscow, to include concerts, and US citizens should be advised to avoid large gatherings over the next 48 hours,” the embassy said on its website.

American citizens — already warned off being in Russia during its war on Ukraine — were specifically told to “avoid crowds” and “be aware of your surroundings.”

The US Embassy in Moscow warned Americans in Russia of an imminent attack by “extremists.” U.S. Embassy Russia.

The warning came after Russia’s FSB security service said an ISIS cell operating in Russia’s Kaluga region — as part of the Afghan arm, known as ISIS-Khorasan — was plotting to massacre Jewish worshippers at a synagogue in Moscow.

IMG_6163.jpeg
 
Marekani haijawahi kutoa security alert ndani ya mipaka yake? Una uhakika kabisa?
Nasema Kwa Uhusiano ulivyo kati ya Urusi na Marekani na kwamba wote tunajua mmiliki na Mfadhili wa haya magenge ya Kigaidi ni yeye mwenyewe Marekani Hata akitoa security alert anajua mipango mingine mingi nyuma yake...Na haya mashirika ya Kijasusi ya pale Marekani yananunua sana habari kwa pesa nyingi ili wajiwekee agenda kujionyesha wako juu kijasusi.
 
Marekani Pia imepigwa mara nyingi sana pale pale kwao so hii ni tukio ambalo Russia itadeal nalo vizuri na bahati Nzuri Putin ameshasema wote waliopanga, kuratibu na kufadhili watakabiliwa vikali sana...
 
Kama nitakua na kumbukumbu nzuri pia hapa bongo waliwahi toa alert za namna hii
 
Nasema Kwa Uhusiano ulivyo kati ya Urusi na Marekani na kwamba wote tunajua mmiliki na Mfadhili wa haya magenge ya Kigaidi ni yeye mwenyewe Marekani Hata akitoa security alert anajua mipango mingine mingi nyuma yake...Na haya mashirika ya Kijasusi ya pale Marekani yananunua sana habari kwa pesa nyingi ili wajiwekee agenda kujionyesha wako juu kijasusi.
That’s all conjecture!
 
Na yakatimia kweli! Intelligence ya Marekani ni habari ingine kabisa.

But that doesn’t mean it’s foolproof

View: https://youtu.be/M665-CETLH4?si=X_wFcE6FcXOZJAI6

Hii hapa habari kutoka New York Post, ya tarehe 8 mwezi huu.

View attachment 2942687

Kwakua waliofanya hilo tukio ni ISIS lazima wawajue , ni vibaraka wao
 
Una ushahidi kwamba ni vibaraka wao?

Halafu kwenye haya mashambulizi ya kighaidi, kundi lolote lile linaweza ku claim responsibility.

Wengine huwa wana claim responsibility ili kujipatia ujiko tu ilhali hata hawakufanya wao huo ughaidi.
Nani asiejua kwamba ISIS wanafanya kazi kwa mlengo wa upande gani, kule Syria si walionekana kabisa...........,Houthi wanapasha huko sasa .......jamaa wanasemaga what you can do , we can do it better.....
 
You are still conjecturing.
 
Una ushahidi kwamba ni vibaraka wao?

Halafu kwenye haya mashambulizi ya kighaidi, kundi lolote lile linaweza ku claim responsibility.

Wengine huwa wana claim responsibility ili kujipatia ujiko tu ilhali hata hawakufanya wao huo ughaidi.
Haha wabongo na conspiracy zao,hivi wanawachukulia urusi poa kama vile hawajui tofauti kati kitu Cha kupangwa na cha ukweli. Ile Alert ya marekani mi mwenyewe nimekubali CIA ni noma,urusi wenyewe wanaelewa CIA ni noma ndio maana walibisha kisiasa tu ila walikua wanajua tulip lazima litokee. Putin ni ex KGB lakini anaelewa extensive network na resources CIA wanayo.
 
Back
Top Bottom