Super Bowl LVIII

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,252
113,640
IMG_5955.jpeg

All my NFL heads [not that many in here], it’s about that time.

It’s going down this Sunday, Las Vegas, Nevada baby.

So who y’all got? Bang bang Niner gang or the Chiefs?

Drop your comments down below and let us know who you’re rooting for.

Sunday couldn’t get here soon enough.

Then I’ll be depressed for the next 7 months 😀.
 
Michezo ya wakishua hii
Hata sijawahi kuielewa hata kidogo
 
Uliangalia fainali kati ya Michigan na Washington?

Binafsi nilicheki semi final alabama na michigan , pia nilicheki sec final alabama na georgia.

Fainali sikuangalia kwangu haikuwa na mvuto tena.

Naipenda sana Alabama.. nimechukia Nick Saban alivyo retire ghafla.

Naona College football itaharibiwa sana na NIL mbeleni
 
Kuchukua ubingwa tena mtasubiri sana. Saban was everything to Alabama.
 
Kuchukua ubingwa tena mtasubiri sana. Saban was everything to Alabama.

Najua hilo.. kwa sasa shule za california zina advantage sana sababu fursa za NIL deals zipo nyingi..

Na shule zenye makocha wenye majina makubwa.

Nilitegemea kocha wa clemson Dabo ndie angepewa nafasi ya Saban ila haijawa hivyo
 
View attachment 2895994

All my NFL heads [not that many in here], it’s about that time.

It’s going down this Sunday, Las Vegas, Nevada baby.

So who y’all got? Bang bang Niner gang or the Chiefs?

Drop your comments down below and let us know who you’re rooting for.

Sunday couldn’t get here soon enough.

Then I’ll be depressed for the next 7 months 😀.
Nasubiri tu show nione Usher atamleta nani stejin, naombea awe chris, wapige performance ya Party au New flame
 
Nasubiri tu show nione Usher atamleta nani stejin, naombea awe chris, wapige performance ya Party au New flame
Just me hazarding a guess here….

I think it’s gonna be ATL heavy.

Jermaine Dupri, Ludacris, Lil Jon n.k., wanaweza wasikose maana hao ndo wamehusika pakubwa sana na career ya Usher.

Jermaine Dupri na Usher wameanza kushirikiana tokea 1994 au 1997!
 
Nahuzunuka timu ninayoishabikia (Baltimore Ravens) imetolewa. Kwa sababu tumetolewa na Kansas City Chiefs, nitakuwa naishabikia San Francisco 49ers kushinda Lombardi trophy lol.
Ninaishi Marekani toka 1996. Hata kama hushabikii American football, hii mechi haiepukiki (kuanzia wiki moja kabla ya mechi). Hata news channels zinaizungumzia. Wamarekani zaidi milioni 100 kwa wastani wanaiangalia mechi. Kwahio hata kama timu yako imetolewa, huna ujanja, lazima uiangalie. Wasio wapenzi sana wa mchezo wanafuatilia kutokana na halftime show ambayo wanamuziki mashuhuri hutumbuiza (kwa mwaka huu ni Usher).
Kiufupi, nimeipenda Ravens kwa sababu hizi. Nilikuwa siujui kabisa huu mchezo kabla sijahamia. Baada ya miaka michache, nikaanza kuufuatilia. Nikawa naangalia hususani wakati defensive players kama linebackers na centers wanapowagonga (tackle) kwa nguvu wachezaji. Wakati huo Ravens ndio wanawasajili akina Ray Lewis na Ed Reed. Hawa ni kati ya wachezaji bora wa ulinzi kuwahi kucheza. Wakati huo, hamna sheria za kumlinda mchezaji. Na akina Ray Lewis walikuwa hawana masihara na ku tackle. Ndio mapenzi yangu na Ravens yalipoanza na ni mshabiki mpaka leo. Wanajulikana sana kwa defense, ilihali miaka ya hivi karibuni offense yao imekuwa nzuri pia kutokana na Lamar Jackson. Hopefully, we shall go all the way next season.
Go Ravens!!!
 
Back
Top Bottom