Search results

  1. B

    Kuondolewa kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Watumishi wa Umma (PSSSF)

    Tarehe 6/2/2024 lilitolewa tangazo la mabadiliko katika uongozi wa mashirika kadhaa likiwemo hilo lililotajwa hapo juu. Hilo shirika hapo nyuma lilikuwa na historia ya kutofanya vizuri katika majukumu yake mpaka pale ndugu HOSEA KASHIMBA alipoteuliwa kuliongoza shirika hilo. Malalamiko ya...
  2. B

    Nchi imefunguliwa, matapeli wa mtandaoni wanawalenga maprofesa

    Kuna tapeli mmoja wa mtandaoni anayejiita Prof. Veriani Samweli Maswayaga sidhani kama ni jina lake halisi. Huyu bwana anashirikiana na mwana mama wa kizungu kuwarubuni Maprofesa wastaafu kuwa wana world Bank project ya mazingira hivyo wanahitaji washauri wa kufanya nao kazi kwenye miradi yao...
  3. B

    Nani anamjua fundi wa kufunga Gearbox ya Nissan patrol Dar es Salaam

    Nina gari ambayo inahitaji kufungwa gearbox mpya lakini simjui fundi mwenye ozoefu na muaminifu hapa Dar ; wengi wa mafundi ninaowafahamu sio professional kwani sio waaminifu Ingawa unawalipa hela nzuri tu. Sasa kama kuna mtu anamfahamu fundi muaminifu na mzoefu anaeweza kuja kunifungia...
  4. B

    Serikali ya Rais Samia haina ufanisi katika matumizi yake , mfano mzuri ni hiki anachotarajia kufanya makamu wake!

    Hivi karibuni tumeambiwa kuwa eerikali imeunda jopo la wataalam waliopewa jukumu la kuandika VISION 2050. Katika vision hiyo mambo menig yameanishwa na jinsi ya kufikia malengo hayo. Ukiangalia kwa makini malengo katika vision hiyo sio tofauti sana na maligno yaliyokuwa wenye visin ya nchi za...
  5. B

    Serikali ya Rais Samia haina ufanisi katika matumizi yake, mfano ni hiki anachotarajia kufanya makamu wake

    Hivi karibuni tumeambiwa kuwa serikali imeunda jopo la wataalam waliopewa jukumu la kuandika VISION 2050. Katika vision hiyo mambo mengi yameanishwa na jinsi ya kufikia malengo hayo. Ukiangalia kwa makini malengo katika vision hiyo sio tofauti sana na malengo yaliyokuwa kwenye vision ya nchi za...
  6. B

    USAWA uko wapi kwenye ongezeko la posho za kujikimu

    Serikali imeongeza posho ya kujikimu safarini kutoka shs. 120,000 hadi shs. 250,000 kwa daraja la juu na kutoka shs. 80,000 hadi shs. 100,000 kwa sisi makabwela. Ukiangalia hayo mabadiliko utaona kwamba wakubwa wamejiongezea hizo posho kwa zaidi ya 108% lakini nyongeza ya sisi hohe hahe ni...
  7. B

    Rais Samia: Nashangaa Umeme kukatika Marekani!

    Rais Samia alipokuwa kwenye ziara yake ya kikazi huko Marekani[ U.S.A.] alipata wasaa wa kuwahutubia waTanzania wanaoishi huko. Alipokuwa anatoa hotuba yake palitokea tukio moja lililomfanya akumbuke nyumbani; ingawa alikuwa ughaibuni nalo lilikuwa pale UMEME ulipokatika wakati akitoa...
  8. B

    Tusimlaumu Rais Samia kwa mapungufu yaliyojitokeza kwenye mabadiliko ya Baraza la Mawaziri

    Rais Samia hivi karibuni alifanya mabadiliko kwenye safu ya mawaziri wake na katika mabadiliko hayo mengine yamelalamikiwa na mengine yamesifiwa. Katika yale ambayo inaelekea wananchi wengi hawakupendezwa nayo ni pamoja na Waziri Madelu Mwigulu Nchemba kuachwa kuendelea kuwa Waziri wa Fedha...
  9. B

    Waziri wa Ardhi na ahadi za kutatua kero za wananchi

    Waziri wa Ardhi na Makazi William Lukuvi ni fundi sana wa kujitokeza kwenye vyombo vya habari na kutoa ahadi keme kem za jinsi Wizara yake itakavyotatua kero za wananchi. Lakini ukichunguza sana ahadi zake ni maneno tu na hazitekelezi. Mara nyingi hujitokeza wakati kama hivi sasa ambapo Rais...
  10. B

    Umuhimu wa kuwa na Katiba ya wananchi unazidi kujitokeza.

    Ili nchi yetu ipate maendeleo ni lazima kuwe na muendelezo wa mipango kutoka Awamu moja kwenda kwenye Awamu nyingine. Iwapo kila Awamu mpya inapoanza kutawala itayatupilia mbali yale yaliyoanzwa na waliowatangulia basi kasi ya maendeleo itapungua!! Haya yamejitokeza sana katika utawala wa nchi...
  11. B

    Utamaduni wa kutibu badala ya kuzuia unatugharimu sana kimaendeleo

    Tumezoea sana kungojea mambo yaharibike ndipo tunaanza kushuhurikia matatizo yaliyojitokeza. Hivi karibuni tumeshuhudia operetion kabambe ikiendeshwa nchi nzima ya kuwahamisha wamachinga kwa gharama kubwa kutoka sehemu zisizokuwa rsmi na kuwapeleka sehemu tunazodhani zitakuwa rasmi kwao...
  12. B

    Tusiangalie uchezeaji na matumizi mabaya ya noti kwa jicho la kuvunja sheria peke yake

    Hivi karibuni Waziri wetu wa sheria pamoja na Gavana wa benki kuu wamejitokeza na kutukumbusha kuwa ni kuvunja sheria kuchezea au kuziharibu Noti zetu pamoja na sarafu. Ni vizuri kwao kutuelimisha juu ya kuwepo sheria hizo ili wananchi wasije kutwa na hatia mara watakapo tiwa mbaroni kwa...
  13. B

    Kabudi hana budi kutuambia makubaliano walioingia na kampuni ya Barrick kuhusu makinikia

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kupitia majibu yake bungeni ametuarifu kuwa Serikali imeruhusu usafirishaji wa makinikia nje ya nchi. Usafirishaji wa haya makinikia nje ya nchi ndio ililteta mgogoro na kampuni hiyo ya uchimbaji dhahabu kiasi kwamba tukaaminishwa kuwa kampuni ilikuwa inatuibia...
  14. B

    Viongozi kuwe waangalifu na nasaha mnazotoa kwa wale wanaoteuliwa

    Nilikuwa nasikiliza maelezo ya Viongozi wetu wa Taifa kwa wateuliwa wa Rais baada ya kula kiapo cha kazi zao. Moja ya mambo yaliyonishangaza ni pale Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai aliposimama na kuwaasa majaji kuwa ni muhimu kwao kutenda haki pale wanapotoa maamuzi ya kesi watakazokwenda...
  15. B

    Wanahisa wa Akiba Commercial Bank hatujalipwa baada ya kuwauzia National Bank of Malawi

    Akiba Commercial Bank iliwauzia Mwaka jana National Bank of Malawi 75% ya hisa zake na hiyo transaction ilipata Baraka zote za BOT. Kitu cha kushangaza ni jinsi wanahisa waliouza hisa zao wanavyopigwa danadana kulipwa fedha zao toka wakati huo zoezi hilo lilipokamilika. Sasa sijui tatizo...
  16. B

    Tuwe waangalifu na ushauri unaotolewa na wachumi wetu kuhusu ATCL baada ya report ya CAG kutoka

    Controller and Auditor General ametoa report yake ya mwaka jana juu ya utendaji wa shirika letu la ndege yaani ATCL. Katika report huyo ameaanisha kuwa kwa mwaka wa fedha uliopita shirika limepata hasara ya karibia shilingi Billoni 60!!! Hiyo ni hasara ya mwaka mmoja tu lakini shirika tangu...
  17. B

    Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha umahili wake kwA kumteua Balozi Liberata Mulamula kuwa Waziri wa Mambo ya Nje

    Namsifia Rais Samia Suluhu Hassan kwa kunteua Balozi Libarata Mulamula si kwasababu ni mwanamke la hasha , namsifia kwasababu ya kutambua umuhimu wa uzoefu katika kutenda kazi. Huko nyuma hili halikuwa linatiliwa maanani kwani watu waliostaafu tulikuwa tunaona hawana mchango tena wa...
  18. B

    Kuna umuhimu kwa Msigwa wa Ikulu kuangalia upya utaratibu wake wa kuongoza hafla za Rais

    Nilihudhulia hafla ya kuapishwa kwa Mawaziri kule Ikulu ya Chamwino na nikaona jinsi press secretary Msigwa alivyoendesha lile zoezi la kuapishwa kwa mawaziri na Mheshimiwa Rais Samia. Ni vizuri kuwapa nafasi viongozi wachache kutoa neno moja au mawili katika shuhuri kama hizo lakini sio kila...
  19. B

    Waziri wa Mazingira na siasa za kuchimba mchanga jimbo la Kawe

    Hivi karibuni waziri wa mazingira akifuatana na mbunge wa jimbo la Kawe na Viongozi wengine wa wilaya ya Kinondoni walifanya mkutano na wadau kuhusiana na kuchimba mchanga kutoka vyanzo mbalimbali vya mito jimboni humo. Sababu ya kuitiswa mkutano huo ni malalamiko ya wenye magari ya kubeba...
  20. B

    Ukiwa Tanzania unaweza kuwekeza kwa kununua GOLD COINS?

    Ndugu wananchi, nikiwa Tanzania nnaweza kuwekeza kwa kununua GOLD COINS? Kama zinapatikana, ni wapi?
Back
Top Bottom