Namsifia Rais Samia Suluhu Hassan kwa kunteua Balozi Libarata Mulamula si kwasababu ni mwanamke la hasha , namsifia kwasababu ya kutambua umuhimu wa uzoefu katika kutenda kazi.
Huko nyuma hili halikuwa linatiliwa maanani kwani watu waliostaafu tulikuwa tunaona hawana mchango tena wa kulitumikia Taifa na ndio maana hazina ya watu wabobezi katika nyanja mbalimbali hatuwatumii ipasavyo kwasababu tu wamestaafu.
Wako wengi, lakini hazina moja ambayo nadhani inaweza kuwa msaada sana kwenye awamu hii ni mchumi mmoja mahiri ambaye amewahi kuwa Katibu Mkuu Mipango, Katibu Mkuu Mawasiliano na uchukuzi, Naibu GAVANA wa benki kuu, Deputy Secretary General wa East African Community.
Mtu mwenye CV nzito kama hii hatuwezi kumuacha aende kufuga kuku wakati uzoefu wake ungetusaidia katika maendeleo yetu.
Alitumikia enzi ya Rais Kikwete na dio wakati huo uchumi wetu ulishamili.
Nchi za wenzetu walioendelea wanawatumia sana watu waliostaafu kwenye nafasi nyingi nyeti hasa kwenye taasisi za fedha kwani kule hakuhitaji ubabaishaji!