bot

A board of directors is a group of people who jointly supervise the activities of an organization, which can be either a for-profit or a nonprofit organization such as a business, nonprofit organization, or a government agency.
The powers, duties, and responsibilities of a board of directors are determined by government regulations (including the jurisdiction's corporate law) and the organization's own constitution and bylaws. These authorities may specify the number of members of the board, how they are to be chosen, and how often they are to meet.
In an organization with voting members, the board is accountable to, and may be subordinate to, the organization's full membership, which usually elect the members of the board. In a stock corporation, non-executive directors are elected by the shareholders, and the board has ultimate responsibility for the management of the corporation. In nations with codetermination (such as Germany and Sweden), the workers of a corporation elect a set fraction of the board's members.
The board of directors appoints the chief executive officer of the corporation and sets out the overall strategic direction. In corporations with dispersed ownership, the identification and nomination of directors (that shareholders vote for or against) are often done by the board itself, leading to a high degree of self-perpetuation. In a non-stock corporation with no general voting membership, the board is the supreme governing body of the institution, and its members are sometimes chosen by the board itself.

View More On Wikipedia.org
  1. kiraza

    JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kuunda Bot wa Aviator, Nahitaji Logic

    Wakuu Mwenye idea tushirikiane nimefanikiwa kuunda bot ya aviator ambayo inafanya kazi yenyewe Shida ni logic ya kupata Egde ya uhakika kihesabu hapo pananitoa Jasho 24/7, kama unaamini una logic bora itakayofanya kazi nicheki Dm tushirikiane.
  2. B

    JamiiForums Tanzania BoT - Tanzania Yafungua Soko la Dhamana za Serikali kwa wanunuzi Wawekezaji wa Kingeni

    12 August 2026 Tanzania Yafungua Soko la Dhamana za Serikali kwa Wawekezaji wa Kimataifa Tanzania relaxes forex rules to draw foreigners to bonds. 'The reform aims to broaden access to the government-securities market Benefits of Investing in Government Securities Treasury bills and Treasury...
  3. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko Kanuni BoT (GN No. 206, 2026) kuruhusu Wawekezaji wa Kigeni kununua Hati Fungani: Fursa au Mtego wa Kifedha kwa Tanzania?

    Wakuu, nadhani mmeona Taarifa ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kupitia barua ya Agosti 6, 2026, ikizungumzia Maboresho ya Kanuni za Fedha za Kigeni kupitia Tangazo la Serikali (GN) Na. 206 la mwaka 2026 (Foreign Exchange (Amendment) Regulations, 2026). Suala hili limenivutia sana kutaka kulijua...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Hivi BOT Mnasubiri Nini Kuweka Picha Ya Rais Samia katika Noti Zetu? Mnataka Taifa lifanye Maandamano yasiyo na kikomo?

    Ndugu zangu Watanzania, Hivi Benki KUU ya Mtanzania Yaani BOT Inasubiri Nini Kuiweka picha ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Katika Noti Zetu? Hivi Haioni na kusikia Kiu Waliyonayo Watanzania katika Vifua vyao juu ya...
  5. L

    JamiiForums Tanzania BOT: Msitupe Pesa Chini Harusini . Tunzeni Kidigitali

    Ndugu zangu Watanzania, Soma hapa 👉Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imewataka Watanzania wanaotoa zawadi za fedha taslimu katika sherehe mbalimbali kuacha utaratibu wa kutupa noti na badala yake kutumia mifumo ya malipo ya kidigitali ili kulinda ubora wa fedha zinazotumika Nchini. Hayo yamesemwa...
  6. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania BoT: Kutunzana fedha katika sherehe kufuate kanuni

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT), imewataka watanzania wanaopeana zawadi kwa njia ya kutunzana pesa taslimu katika sherehe mbalimbali nchini, waelekeze utaratibu huo kwa njia mifumo ya malipo ya kidijitali. Hayo yamesemwa leo, Agosti 4, 2026 na Ofisa Mwandamizi (BoT) Fredriki Mwakuu, alipokuwa...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuuza hati fungani ya BOT

    Wakuu naomba msaada wa hatua za kuchukua kuuza hati fungani ya BOT, nimepatwa na dharula ninahitaji pesa niloiwekeza huko inisaidie.
  8. Club Mate

    JamiiForums Tanzania HOJA BoT inaona freshi Watu kuuza chenji mtaani?

    Wadau, habari zenu. Simaanishi kwamba biashara ya kuuza chenji ipigwe marufuku au wauzaji washughulikiwe. Hapana. Lakini ukweli ni kwamba, uwepo wa watu wanaofanya biashara ya kuuza noti ndogo na sarafu mtaani ni kiashiria tosha cha uhaba wa chenji kwenye mzunguko. Ni wazi kuwa wafanyabiashara...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Katuni ya BoT: Utajiri wa kweli siyo kumwaga pesa chini, inabidi uithamini kama tunu ya Taifa

    Wakuu hii Katuni iliyopostiwa na Bot inasema kuwa kumwaga pesa chini siyo njia ya kuonesha kuwa nazo ila inabidi kuithamini kwani ni tunu ya Taifa, na mtu akitaka kutunza aziweke kwenye chombo maalumu kilichoandaliwa
  10. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Bure kwa TRA: Anzisheni Program ya Certified Tax Educator (CTE).

    Haya ni maoni na ushauri wangu wa Bure kwa TRA, naomba niwaahauri waweze kuanzisha program Maalum ya Certified Tax Educator (CTE), hii inatokana na Kwamba kwa sasa Watanzania wengi hawana Elimu ya kutosha kuhusiana na masuala ya kodi. Tukio halisi ni la hivi karibuni lililotokea Dar es Salaam...
  11. Secret Star

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa kuunda BOT za macasino online Tukutane hapa tupeane utaalam

    Wakuu wataalamu wa python na selenium, na JS playwright Tukutane hapa. Tupeane uzoefu na utaalamu.
  12. University of Dodoma (UDOM)

    JamiiForums Tanzania UDOM yaanza kwa kishindo mashindano ya Mei Mosi

    Timu ya wafanyakazi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) imeanza kwa mafanikio makubwa ushiriki wake katika mashindano ya michezo ya watumishi wa umma nchini Tanzania (Mei Mosi 2026), kwa kuibuka na ushindi wa kishindo katika mchezo wa kwanza. Katika pambano la mpira wa wavu kwa wanaume lililochezwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania BoT yasitisha uuzaji wa dhahabu kufuatia kushuka kwa bei duniani

    BoT yasitisha uuzaji wa dhahabu kufuatia kushuka kwa bei duniani
  14. C

    JamiiForums Tanzania Claude ni chat bot nzuri kuliko ChatGpt, ni swala la muda tu

    Leo nilimshirikisha Chatgpt kwenye issues fulani anipatie ushauri, kisha nika copy prompt niliyomuandikia Chatgpt nikaenda ku paste mwa Claude kama ilivyo, Ushauri wa Claude umenyooka sana na haipo upande wa kukupamba na kutaka ikufurahishe sana kwa kukubaliana na idea zako bali inakupa ushauri...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Hili la BoT na akiba ya dhahabu ni kazi kweli kweli

    Tuishi na nani hapa?! Hii nchi tunazungushwa mpaka tunasikia kizunguzungu halafu wanatuacha.
  16. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania BoT Vs Kitila Mkumbo Vs Mwigulu; Wananchi tumsikilize nani sakata la akiba ya dhahabu?

    BBC, BLOOMBERG na BUSINESS INSIDER AFRICA wamemnukuu Waziri wenu wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango, KITILA MKUMBI akisema “Governments are no longer interested in providing aid to Africa so we are reorganizing ourselves,” mnatuona hatuelewi kitasha? Kitila MKUMBO amewaeleza watasha kwamba...
  17. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Kati ya Kitila Mkumbo na Mkurugenzi wa masoko BOT Emmanuel Akoro nani kapotosha umma

    BBC, BLOOMBERG na BUSINESS INSIDER AFRICA wamemnukuu Waziri wenu wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango, KITILA MKUMBI akisema “Governments are no longer interested in providing aid to Africa so we are reorganizing ourselves,” mnatuona hatuelewi kitasha? Kitila MKUMBO amewaeleza watasha kwamba...
  18. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania BOT imepanga Kushirikisha vyuo vikuu ukuzaji wa akili Unde

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) leo tarehe 22 Januari 2026 imesaini Hati za Makubaliano ya Ushirikiano (MoUs) na taasisi tano za elimu ya juu kwa lengo la kukuza matumizi ya akili unde (AI), kuimarisha ubunifu katika matumizi ya data, na utafiti katika kuongeza tija kwenye uundaji wa sera na...
  19. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Karibu katika jarida la Uchumi Wetu toleo la tatu kutoka BOT

    Jarida hili litakuelimisha na kukupatia taarifa mbalimbali zinazohusu masuala ya uchumi na sekta ya fedha nchini, hususani yale yanayoratibiwa na kusimamiwa na Benki Kuu ya Tanzania kwa mujibu wa sheria. Katika toleo hili, utapata taarifa kwa kina kuhusu shughuli na majukumu ya Benki Kuu Ya...
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna matangazo mengi ya mtandaoni ya mikopo ila TCRA na BOT wanajua pesa waliolipwa kwa uongo na uchochezi.

    Watu wamejikuta wakitapeliwa kwa singizio cha unafuu. Hapa serikali ya wapaka mikorogo na ushungu wa FFU uwezi kuona wakisema ili. Embu tupate Futuhi ya watoa mikopo
Back
Top Bottom