kero za wananchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Mbunge Subira Mgalu akagua miradi ya maendeleo Kerege, atoa maelekezo ya kutatua kero za wananchi

    MBUNGE SUBIRA MGALU AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KEREGE, ATOA MAELEKEZO YA KUTATUA KERO ZA WANANCHI Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo, Mhe. CPA Subira Khamis Mgalu, amefanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo na kufanya mikutano ya hadhara katika Kata ya Kerege, akisisitiza kuharakishwa kwa...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Kero za Wananchi: Je, Ni "Petty Issues"?

    Kuna jambo ambalo John Heche, Sigrida Mligo na Ado Shaibu wanapaswa kulijibu kwa Watanzania. Wamekuwa wakibeza ziara za Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba wakisema anashughulika na "petty issues", anasikiliza mambo ambayo yangetatuliwa na viongozi wa ngazi za chini au kwamba anatoa majibu mepesi...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe amshukuru Waziri Mkuu kuadhimisha Miaka 62 ya Muungano kwa kukagua miradi, kutatua kero za wananchi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, amemshukuru Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba kwa kuadhimisha miaka 62 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kukagua ujenzi wa miradi ya maendeleo ya daraja jipya la...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tengeni siku maalum za kusikiliza kero za wananchi ngazi ya kata- Prof. Shemdoe

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa -TAMISEMI Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amewaelekeza Wakuu wa Mikoa wote nchini kuzisimamia Halmashauri zao kuhakikisha zinaweka siku maalum ya kusikiliza malalamiko na kero za wananchi katika ngazi ya kata ili kurahisisha...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aagiza jedwali la utekelezaji wa utatuzi wa kero za wananchi

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amewaagiza watendaji wa Serikali kuandaa jedwali la kuonesha namna walivyotatua kero za wananchi katika kila wiki ya mwisho wa mwezi. Amesema hayo leo Jumapili (Machi 01, 2026) katika mkutano wa hadhara uliofanyika Stendi za Zamani, Babati Mjini mkoani Manyara...
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ziara Kihongosi inathibitisha kuwa CCM imekataliwa. Ni kama mtendaji wa kata anazunguka kusikikiza kero za wananchi

    Fuatilia kila anapopita na kusikiliza kero za watu. J Hakuna muitikio au msisimko kama kuna kiongozi mkuu wa chama tawala yupo kusililiza kero na kujua mapunngufu ya chama chake. CCM haikubaliki kwa sasa hii ndio picha kamili. Mwenezi wa CCM nae hakubaliki.
  7. Vedasto Prosper

    JamiiForums Tanzania DC Japhari Kubecha anaenda kusikiliza Kero huku iliyopo mbele yake Hajaitatua

    Mkuu wa Wilaya ya Gairo Japhari Kubecha akiwa njiani Kuwafikia wananchi wa tarafa ya Nongwe kata ya Mandege ili kuwasikiliza kero zao na kuzipatia utatuzi. MY TAKE; Sikuona sababu ya kusema anaenda kusikiliza Kero. Sababu kero ya Barabara kashaiona. kwa miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika, hii...
  8. Luca Paguro

    JamiiForums Tanzania Hivi kazi ya wabunge hapa Tanzania ni nini?

    Nauliza tu kazi ya wabunge Tanzania ni nini? Sisi kwenye Civics tuliambiwa kazi kuu ya Mbunge ni kuwawakilisha wananchi, sasa mbona kero za wananchi hatuoni zikijadiliwa kwa wingi bungeni? Wananchi wanadai Katiba Mpya, Uchaguzi Huru na wa Haki, wanataka waweze kukosoa serikali kwa uhuru bila...
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kuna siku Rais Samia aliisifia JamiiForums nikajua amekubali kuwa ni jukwaa linalompatia taarifa na kero za wananchi

    Nimeshangaa kusikia wasiojulikana wanamtishia maisha mmiliki wa jukwaa la JamiiForums. Huko nyuma Mama aliwahi kusikika hadharani kuwa huwa akisoma maoni ya watu JamiiForums anabaki kucheka tu. Akasifia kuwa sasa hivi habari nyingi zinapatikana kupitia JamiiForums kuliko hata magazeti na...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Watendaji waaswa kutatua kero za Wananchi

    Katika kuhakikisha miradi ya maendeleo inatekelezwa kikamilifu na wananchi wanapata huduma stahiki, Serikali imewataka watumishi wa umma kuhakikisha wanasimamia ipasavyo mapato ya ndani na kushughulikia changamoto za wananchi katika maeneo yao Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro,Kiseo Yusuph...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Petro Magoti askiliza na kutatua kero za wananchi wake wa Wilaya ya Kisarawe

    Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mh Petro Magoti akiskiliza na kutatua kero za wananchi wake
  12. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Hii "Kwenda kusikiliza kero za wananchi" ina msaada mdogo mno, tufanyie marekebisho sheria zetu ili kupata suluhisho la kudumu

    Naandika kama mzalendo wa nchi pendwa Tanzania. Kwanza kabisa niseme ninawaheshimu viongozi wote wa serikali, chama tawala hadi wapinzani. Kuna jambo naona kama haliko sawa hivyo nimeona nitumie haki yangu ya kikatiba kuliongelea. Tumeona viongozi wengi sana kuanzia mawaziri hadi wale wa ngazi...
  13. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wassira: Ofisi za CCM zitumike kutatua kero za wananchi

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema ofisi za Chama nchi nzima zinapaswa kutumika kutatua changamoto za wananchi. Wasira ameyasema hayo leo Jana Machi 26, 2025 alipokuwa akiweka jiwe la msingi katika jengo la ofisi za CCM katika Kata ya Chibe...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Petro Magoti: Kama mbunge alikuwa hafanyi ziara kusikiliza kero za wananchi, msimchague

    Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti ametoa wito kwa wananchi kutowachagua wabunge ambao hawakuwa wakifanya ziara katika majimbo yao na sasa wameanza kusogeasogea kipindi hiki cha uchaguzi. Pia soma: Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Kihongosi: Tunasimamia haki na kutatua kero za wananchi

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Kenani Kihongosi amewaeleza wananchi kufanya kazi na kushirikiana na serikali na kuongeza kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alipomteua alimuagiza asimamie haki za wananchi pamoja na kusimamia fedha za miradi ya maendeleo katika mkoa huo Kenani Kihongosi amesema hayo...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ally Hapi: CCM ndicho chama pekee chenye uwezo wa kusikiliza na kutatua kero za wananchi. Vyama vingine vina nia ya kutafuta madaraka pekee

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Ally Hapi, amesema kuwa CCM ndicho chama pekee chenye uwezo wa kusikiliza na kutatua kero za wananchi, huku akidai kuwa vyama vingine vina nia ya kutafuta madaraka pekee. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM wasikiliza kero za Wananchi Babati. Ally Hapi atoa elfu 50 kwa mstaafu wa jeshi tangu mwaka 1994 ambaye anadai mafao mpaka leo

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Ally Hapi, amesema kuwa kero nyingi zinazowakabili wananchi zinatokana na baadhi ya watendaji waliopo kwenye nafasi mbalimbali kutotenga muda wa kusikiliza na kutatua kero za wananchi. Akizungumza na wananchi wa Babati Mjini...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mlezi CCM, Morogoro: Viongozi wao wakuu hawaelewani, hawataweza kutatua kero za wananchi

    Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Morogoro ambaye pia ni Mwenyekiti Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) Jana akizungumza kwenye Mkutano wa Hadhara wa Ufunguzi wa kampeni ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa/Vijiji katika Uwanja wa Chamwino Wilaya ya Morogoro...
  19. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Mkuu wa Wilaya Ubungo apita vijiweni kata ya Manzese kusikiliza kero za wananchi

    Wakuu, Mambo yanazidi kuwa moto kuelekea uchaguzi mkuu 2025. Baada ya kushindwa kesi na wadada wanaodhaniwa kufanya biashara ya kuuza mwili sasa atinga vijiweni kusikiliza kero za wananchi. Makonda kawainspaya wengi🌚. ==== DC Bomboko akiwa kata ya Manzese mtaa wa midizini katika kijiwe cha...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Kassim Majaliwa: Polisi msizuie Wananchi wanaokuja na mabango kwenye mikutano yangu

    WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amelitaka Jeshi la Polisi Temeke kutozuia wananchi watakaobeba mabango kuwasilisha kero zao, kwa kile alichosema ni utaratibu wa ziara zake kusikiliza na kutatua kero za wananchi, pia amesema hapangiwi ratiba. Katika kufafanua hilo Majaliwa amesema: Nitatembelea...
Back
Top Bottom