B Bulesi Platinum Member May 14, 2008 14,210 13,723 Dec 30, 2020 #1 Ndugu wananchi, nikiwa Tanzania nnaweza kuwekeza kwa kununua GOLD COINS? Kama zinapatikana, ni wapi?
Smart911 Platinum Member Jan 3, 2014 119,056 141,868 Dec 30, 2020 #2 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: mahondaw