nissan

 1. Nukta5

  Msaada: Nissan Bluebird Sylphy

  Habari wakuu ninaomba msaada wa kuzijua hizi gari za nissan bluebird kwenye ulaji wa mafuta na upatikanaji wa spare parts nimeona bei inaridhisha nikaona nije kwa wataalamu kwa ushauri zaidi ahsante. Engine size: 1490cc
 2. bwegebwege

  Msaada: Natafuta injini ya Nissan Patrol (Turbocharged) 4.2L TD42T3

  Wadau, Mimi ni mpenzi wa Nissan. Natafuta hiyo Engine hapo juu (TURBOCHARGER SYSTEM NISSAN PATROL 4.2L TD42T3) DIESEL
 3. A

  Kati ya Subaru Forester na Nissan X-trail, ipi bora?

  Wadau, salamu kwenu. Naomba ushauri toka kwenu. Mimi ni mgeni wa magari ila nayapenda haya magari, sasa je gari gani kati ya Nissan X-tail na Subaru Forester ni bora zaidi kwenye: 1. Uimara 2. Kuhimili barabara za vumbi na tope 3. Upatikanaji wa spea
 4. R

  Nissan X-trail imekataa kuwaka, haitupi spark kwenye cylinder, mashine inasema hakuna error code yoyote

  Habari wanabodi Nna Nissan X-trail, haijawahi kuniletea shida yoyote kabisa, ila mwezi mmoja kabla engine ili-heat kwa uzembe wangu mwenyewe, nikabadilisha head, gari ikarudi sawa, nikatembelea zaid ya mwezi, kama wiki moja iliyopita taa ya check engine iliwaka, nikaona isiwe tabu, nikapeleka...
Top