peke yake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Wana-JF tusiwe wavivu ku-comment na kuishia kutoa likes nk peke yake; reply thread nzuri ili zikae kwenye chat muda mrefu na ujumbe usomwe na wengi

    Kuna watu wanatembelea JF ilikusoma threads za watu wengine na kazi yao ni kutoa likes, laughs, dislikes, fire etc peke yake, Nadhami mnatambua JF wametengeneza system kwa namna mbayo thread isipopata replies au comments basi itazidi kushuka chini na kupotea, ili kutoa nafasi ya juu kwa thread...
  2. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Huyu referee siyo Mmoroko kweli? Anyway Senegal nanyi mtumie na akili si nguvu peke yake

    1. Referee sijajua ana tatizo gani na Senegal. Wakiangushwa ni kama haoni kabisa anasonga mbele tu.au anataka mpaka mtu avunjwe shingo ndo iwe foul? 2. Senegal nanyi mpira ni pamoja na akili siyo nguvu tu. Tulieni muwafunge wafaransa hao.
  3. insane

    JamiiForums Tanzania Mbona ameniacha ghafla! ana mtu au kaamua kuishi tu peke yake?

    Ipo hivi... Kuna siku nilikuwa napita mahali nikamuona mtoto wa kike jina alikuwa skola nilikuja kumjua baadae ametulia kwao hio asubuh juani akawa ananiangalia sikumsemesha nikapita zangu lakini nikigeuka nyuma alikuwa bado ananiangalia basi mimi nikaachananae tu nikaendelea na mishe zangu...
  4. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Bruh jiheshimu kamwe usi Double text Huyo sio mwanamke peke yake Duniani

    Gentleman ijue thamani yako usitumie nguvu nyingi kwa mwanamke ambaye ha match energy yako . Statistics inaonesha wanawake ni wengi zaidi , look for the other , usizingue tutakuvua ubingwa
  5. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba Morani mmoja angeweza kumkabili na kumuua simba peke yake?

    hii stori nimekuwa nikizisikia mara nyingi lakini mpaka leo sijawahi kuamini moja kwa moja. Simba ni mnyama mwenye nguvu, kasi, makucha na meno ya kutisha. Hata wawindaji wa kisasa wenye bunduki humheshimu sana. Naambiwa kwamba zamani au mpaka sasa kulikuwa na baadhi ya Wamasai ambao shujaa...
  6. X

    JamiiForums Tanzania Je, ulijua kuwa China peke yake ina akiba kubwa ya mafuta kuliko Marekani, Japan na Ulaya kwa pamoja?

    Shirika la Marekani la U.S Energy Information Administrative (EIA) linakadiria kwamba: China ina mapipa karibu bilioni 1.4 ya mafuta ghafi. Mkakati kabambe wa China kuhifadhi mafuta ghafi ulianza hasa mwaka 2003 na huku Marekani na nchi za Ulaya tangu miaka ya 1970, mind the gap! Marekani...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kuna shaka na walakini (conspiracy theory) katika kila kifo cha waliokuwa marais wa Tanzania isipokuwa Mwinyi peke yake

    1. Julius Nyerere Nyerere alimbeba sana Mkapa ili kuweza kumshinda Mrema, na kila mtu alijua bila Nyerere Mrema ndie angekuwa raisi wa Tanzania kupitia NCCR-Mageuzi. Jambo la ajabu ni kwamba baada ya kushinda uraisi Mkapa alimgeuka kabisa Nyerere, akawa hafanyi hata consultation nae, hata kwa...
  8. 100 others

    JamiiForums Tanzania Hivi Vijana wa CHADEMA walikuwa wapi huyu dada akapambana mwenyewe?

    Ukiangalia hii video, huyo dada aliyevaa nguo za CHADEMA ameonyesha ujasiri sana, amekwenda mbele kumuokoa huyo jamaa kutoka kwenye kipigo cha polisi, wenzake ndipo wakafuata.... Akarudi tena kama anataka kwenda kumuokoa na yule mwingine lakini akaona hawezi peke yake... Nimemkubali sana, hivi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Angela Kiziga alichota bil 45+ peke yake bila kutoa mgao ?

    Walimu tunahangaika sana . Tunaishi kwa kutegemea mshahara tu. Ukiiba boksi la chaki kinaumana shule nzima. Wenzetu wanajichotea mabilions of cash. Lakini mtu anaweza kupiga bil 45+ bila kuwa na mtandao ambao atagawa mgao?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Siku si nyingi, huwenda ni ndani ya utawala huu, makusanyo yote ya TRA yatakuwa yakilipa deni la taifa peke yake

    Buriani Jobu Ndugai Deni T 116..? Maono yako juu ya nchi yetu, ni kweli na sasa karibu tunaanza kuyaishi Deni la Taifa linatishia uhai wa nchi yetu, Wakati tukielekea Uchaguzi magumashi, kila pembe ya nchi yangu, wabunge, mawaziri na wanaojitokeza kwenye vyombo mbalimbali vya habari, wote...
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sugu: Warioba anajitahidi lakini yupo peke yake, Akina Pinda, Makinda, Pius Msekwa watoke wazungumze kuhusu mustakabali wa taifa letu

    "Warioba anajitahidi lakini yupo peke yake, kina Pinda watoke sasa wazungumze kuhusu mustakabali wa nchi tuna majaji wakuu wastaafu , maspika wabunge wakina Makinda , Pius Msekwa na hata majenerali wastaafu, mabolozi wastaafu, wafanyabiashara, vijana ,wafanyakazi, wake kwa waume tuisaidie nchi...
  12. R

    JamiiForums Tanzania RC Tanga unahangaika na nini kusema na kuupamba uongo ? Yuko peke yake, hana mshindani ameshapita. kwanini utende dhambi ya kusema UONGO

    Arsenals zote ziko at her disposal, such as so-called tume "huru" ya uchaguzi, polisi, fedha zote za nchi and all oppressive machinery you can think of are at her disposal, sasa RC unahangaika nini na uongo wa data za social services mkoani Tanga? upuuzi kama huu.............Tanga...
  13. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salma Kikwete na Dotto Biteko wapita bila kupingwa, nani atakuwa Waziri Mkuu kati yao?

    Salma Kikwete na Dotto Biteko wote wamepita bila kupingwa na wagombea wengine ndani ya CCM ktk majimbo yao, mmoja wao lazima awe Waziri Mkuu kwa taratibu za CCM
  14. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Mbona hamasa ya CHAN ni Tanzania peke yake wanafanya vipi uko Kenya na Uganda

    https://www.youtube.com/watch?v=VqJg2dTFm4A
  15. E

    JamiiForums Tanzania Heche: Kwanini ulale njaa wakati Tanzania peke yake ndio yenye madini ya Tanzanite?

    Akizungumza katika mahojiano na Radio Mjini FM leo Julai 25, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amehoji kwa nini Watanzania walale njaa wakati Tanzania ndio nchi pekee yenye madini aina ya tanzanite duniani na yenye hifadhi kubwa za wanyama duniani?
  16. B

    JamiiForums Tanzania Hivi anaepaswa kuilinda ndoa ni mke peke yake au mke na mume

    Hv kwann jamii inamchukuliaje mwanamke aisee Nimeolewa tangu mwaka wa kwanza mume kila mwaka matukio ya usaliti kali kabisa mwaka juz nilibaini anatoka na rafiki yangu wa ndan kabisa mwaka huu tena nimegundua anatoka na jiran kabisa tuliekua na ukaribu nae bado hatujamaliza iyo kesi nagundua...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wakati EU na America wakijiandaa kuitenga serikali ya Samia, Watanzania tusiwe nyuma, ni wakati wa kumsusia kila kitu abaki peke yake!

    Wakati wazungu wakituhurumia jinsi tunavyopigwa Watanzania, jinsi tunavyokandamizwa, jinsi viongozi wa dini wanavyoshughurikiwa wanapoamua kusimamia kweli, wanasiasa wa vyama vya upinzani na hata Wana CCM wanaokwenda kinyume naye wanavyoshughurukiwa, mtu mmoja mmoja na hata kufungwa kwa nyumba...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kulelekea Uchaguzi, natamani Samia abakie peke yake na familia yake, wengine wote wamtenge na ashindwe kwa kila kitu

    Kwanza ifahamike sielewi amefanya nini na anatupeleka wapi, mi naona anatupeleka kwenye kumfunga kila anayempinga namna anavyoendesha nchi yetu! Itakuwa furaha kuu siku moja mgombea wa ccm kuanguka na kushindwa vibaya Natamani mgombea wa CCM ashindwe na atengwe na kila mtu ili abakie peke...
  19. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nina hamu kubwa kuona Samia atakavyozunguka peke yake kufanya Kampeini

    Kubali ukatae Uchaguzi wa mwaka huu umepoa sana. Na baada ya mchujo wa wagombea CCM basi Uchaguzi utakuwa umeisha. Ata wagombea wa CCM wasipofanya kampeini ndo watakuwa Wabunge. Kwa upande wa kiti Cha urais ni Wazi washindani wa Samia watakuwa kina Chief Ryemba,Dovutwa na Rungwe. Kwa miaka...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Msiogope wauwao mwili peke yake bali mwogopeni Mungu auwaye mwili na roho ,Twendeni kwenye ibada pale pale ubungo maji injili lazima isonge mbele

    Injili lazima ihubiliwe kwa viumbe wote! Yesu alisema; Msiogope hawa wanaowatishia kuuwa mwili peke yake, Bali mwogopeni sana Mungu ambaye anauwa vyote yaani Mwili na roho na hao wanaowatisha! Shetani kazi yake ni kutisha na kuuwa mwili peke yake! LAKINI mwenye mamlaka ya MWILI NA ROHO ni...
Back
Top Bottom