Serikali imeongeza posho ya kujikimu safarini kutoka shs. 120,000 hadi shs. 250,000 kwa daraja la juu na kutoka shs. 80,000 hadi shs. 100,000 kwa sisi makabwela.
Ukiangalia hayo mabadiliko utaona kwamba wakubwa wamejiongezea hizo posho kwa zaidi ya 108% lakini nyongeza ya sisi hohe hahe ni kiduchu tu cha 25%!!!
Kuna justification gani ya kuwa na tofauti kubwa ya 83% kati ya nyongeza ya makundi haya ya binadamu?