matumizi mabaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania Hatari ya matumizi mabaya ya mtandao wa majitaka

    Mtandao wa majitaka unapotumiwa vibaya ni kero katika jamii, na chanzo cha magonjwa mbalimbali ambayo matibabu yake ni gharama. Matumizi sahihi ya mtandao huo ni moja ya ustaarabu katika jamii, na huepusha usumbufu kwa watumiaji na wadau wengine, pia mazingira
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Askari wa Polisi wa doria wa Rukwa wanatumia mamlaka yao kutunyanyasa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Rukwa (Sumbawanga) kuna changamoto kwa Askari Polisi wa doria. Wanatumia mamlaka yao vibaya kutunyanyasa vijana, wanatupokonya simu zetu bila kuwa na sababu za msingi. Iko hivi: Hawa Askari wa doria wakipita sehemu ambapo kuna mkusanyiko wa watu wengi au wachache...
  3. H

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi wa TFS wanawanyanyasa sana wafanyakazi wa mikataba

    Wafanyakazi wa TFS wanawanyanyasa sana wafanyakazi wa mikataba. Kwenye malipo ya madokezo, unakuta wanawasainisha kuwa watalipwa laki moja na nusu, lakini ukienda kusaini unapewa Sh20,000/= tu. Halafu unasaini jina na saini, huku kwenye kiwango cha pesa na idadi ya siku za kufanya kazi wakijaza...
  4. Miss Halima

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Zimamoto Latoa Onyo Kuhusu Matumizi Mabaya ya Gesi ya Majumbani

    Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limetoa wito kwa wananchi kuwa waangalifu wakati wa matumizi ya gesi ya majumbani (LPG) ili kuzuia majanga ya moto na milipuko. Katika elimu iliyotolewa na afisa wa jeshi hilo kupitia kipaza sauti, alieleza kuwa matumizi ya mpira wa gesi au valve iliyoharibika kwa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Madereva wa Halmashauri ya Mji Kondoa (TC), tunafanya kazi katika mazingira magumu

    Sisi ni madereva wa Halmashauri ya Mji Kondoa, na tungependa kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu changamoto tunazokutana nazo kazini, hususan kuhusu mwenendo wa Afisa Usafirishaji wetu. Unyanyasaji na madai ya kugawana posho: Afisa Usafirishaji amekuwa akitunyanyasa na kututendea isivyo haki...
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Madai ya matumizi mabaya ya kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Tarime

    Kuna madai ya matumizi mabaya ya madaraka katika Shule ya Sekondari Tarime yanayohitaji uchunguzi wa mamlaka husika. Inadaiwa kuwa Mkuu wa Shule alipendekeza mwalimu wa Fizikia ahamishiwe shule nyingine kwa madai kwamba utendaji wake darasani ulikuwa duni na alishindwa kumaliza mada. Hata...
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uchaguzi wa Red Cross - Mtwara umegubikwa na utata na matumizi mabaya ya madaraka

    Habari mimi ni Mwanachama wa Red Cross Tanzania Mkoa wa Tawi la Chuno, Mtwara, Wanachama wa Red Cross tunashangazwa na uhuni unaofanyika katika taasisi hii katika uchaguzi ulioanza tarehe 22/06/2026. Mwenyekiti wa Mkoa ambaye hata wanachama hawajui ni mkazi wa Mkoa gani anashirikiana na baadhi...
  8. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Matumizi mabaya ya pesa za umma naziona kwenye sherehe/kilele ya Utumishi wa umma

    Naona Kuna taasisi nyingi zimeweka mabanda hapa chilangali kuhitimisha wiki/kilele cha Utumishi wa umma jambo ambalo halina manufaa kwa Taifa,ni afadhali kungekuwa na tamasha la tamaduni kuliko haya mambo ya ajabu.
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Kiungo kwenye mwili wako unapaswa kukiomba msamaha kwa matumizi mabaya?

    Umepewa nafasi ya kuomba msamaha kwa kiungo chako kimoja cha mwili wako kwa matumizi mabaya, ungechagua kuomba msamaha kiungo gani?
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga anaficha Barua za Uhamisho zinazotoka Ofisi ya Rais Utumishi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga Amekuwa akificha barua za uhamisho zinazotoka kwa OR Utumishi kwa baadhi ya watumishi ambao ana chuki nao. Na pia amekuwa akifanya Hamisho za ndani kwa uonevu pindi anapopishana na watumishi hao. Mfano, Kuna dereva na Transport officer wamepelekwa...
  11. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kijeshi China yahukumu mawaziri wawili wa zamani wa ulinzi adhabu ya kifo

    Mahakama ya kijeshi nchini China imewapa adhabu ya kifo yenye kusimamishwa kwa miaka miwili mawaziri wawili wa zamani wa ulinzi, Wei Fenghe na Li Shangfu, kutokana na makosa ya rushwa, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya serikali. Taarifa za Xinhua News Agency zinasema kuwa hukumu hiyo...
  12. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Deni la Taifa halikui kwa kasi kwasababu ya matumizi mabaya

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akihojiwa na Wasafi TV amesema kuwa Deni la Taifa linakua kwa kasi kwa sababu fedha hizo zinaenda kwenye miradi ila kuna watu wanapotosha kuonekana fedha hizo zinaliwa
  13. I

    JamiiForums Tanzania Ziara za Waziri Mkuu: Uozo wa mifumo, rushwa ufisadi na matumizi mabaya ya kodi zetu

    Hivi kama nchi tumeruhusu Waziri mkuu wa Nchi anakaa kusikiliza kero wananchi wanapiga foleni jua linawapiga, mvua inawanyeshea, lakini wanasota kupata fursa ya kutoa kero zao zisikilizwe na waziri mkuu wa Nchi Nachoka mimi mjukuu wa Mwandambo. Mwingine anatembea na makaratasi...
  14. Tundusami

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anavaa shanga na hajui kukatika ni matumizi mabaya ya shanga

    Raha ya shanga mwanamke ajue kuzungusha kiuno asa unakuta mwanamke kavaa shanga afu kitandani gogo miuno zero.
  15. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania UJENZI wa OFISI ya MAKAMU wa Rais jengo kama hekalu la mfalme ni matumizi mabaya ya fedha, mtu WA mazingira OFISI ya Nini? Nchimbi hakupanda mti juzi?

    Ile OFISI inayokarabatiwa ya MAKAMU wa Rais ni kuchezea fedha za UMMA, MAKAMU wa Rais Tanzania ni OFISI ya kutulizia mijitu nguri michokonoko dhidi ya WENZAo ndio maana kupewa KAZI zinazo usu mazingira TU Sasa mtu WA mazingira OFISI kama Ile ya Nini? Nchimbi kwa Nini hakupanda miti juzi?
  16. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Jeshi Kurusha ndege kila siku angani ni matumizi mabaya ya rasilimali zetu kama wauwaji na watekaji mmewanyamazia sasa mnatafuta nini?

    Jeshi Kurusha ndege kila siku angani ni matumizi mabaya ya rasilimali zetu kama wauwaji na watekaji mmewanyamazia sasa mnatafuta nini? Hizi ni akili za wapi? kila siku watu wanatekwa na kuuwawa hadharani jeshi halifanyi chochote linazunguka zunguka tu. Kwa maana hiyo jeshi linapaswa kuendelea...
  17. J

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuunda tume ya kuchunguza yaliyotokea ni matumizi mabaya ya kodi zetu wananchi

    Salut sana kwenu waungwana wa jukwaa hili la JF. Tulishakubaliana kwamba waliofanya vurugu ni vijana kutoka nchi jirani vile vile zile video ni zakutengenezwa. Kuunda tume kuchunguza yaliyotokea ni kukaribisha upigaji. Kiufupi tuendelee tu palepale tulipoishia. #December 9
  18. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi: Watu 6 wanaodaiwa kukamatwa kwa njia ya kutatanisha, walikamatwa kwa mujibu wa taratibu za kisheria

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi lingependa kutoa ufafanuzi juu ya mambo mawili yanayosambazwa kupitia Vyombo vya Habari. Jambo la kwanza ni kuhusiana na majina ya watu saba ambao inapotoshwa walikamatwa katika mazingira ya kutatanisha na kwamba ni ukandamizaji. Ni kwamba miongoni mwa watu...
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Matumizi mabaya ya rasilimali za umma katika matumizi ya chama

    CCM mtuambie hizi ndege zimetoka kwenye taasisi gani?! Tunaozijua tumeshajua zimetoka wapi, maana hazina utofauti na zile zilizotumika kutoa msaada kwa wahanga wa maporomoko ya Mlima Hanang Mkoani Manyara, na zile zinazotumika na taasisi za ulinzi Tanzania licha ya kupakwa rangi za CCM bado...
  20. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Upinzani kabla ya kuanza utekelezaji wa slogan zenu pimeni kwanza Kama zinatekelezeka ili kuokoa matumizi mabaya ya Ruzuku.

    Hivi karibuni kumekuwa na tabia ya viongozi wa Upinzani za kuanzisha program/slogan na kutumia hela nyingi (ruzuku) ili Hali wao wenyewe wakijua akilini mwao hazitekelezeki hii ni ishara ya kuwa na viongozi duni kifkra, imagine bajeti ya uchaguzi imeshatengwa Leo hii Kiongozi wa chama bado...
Back
Top Bottom