Wakazi wa Kijiji cha Bwisya, Kata ya Ukara, Wilaya ya Ukerewe, tuna changamoto mbili kubwa, kuna Kampuni inaitwa JUMEME inayotoa huduma ya umeme wa jua (solar system). Wakati inaanza huduma tuliahidiwa umeme utakuwepo kwa Saa 24, iwapo jua halitakuwepo, watatumia jenereta ili tusikose huduma...
Mimi ni Mkazi wa Korogwe Msambiazi, March 2026 nilileta hoja hapa kuwa kuna tatizo la low voltage kwa umeme wetu kila siku ikifika saa moja jioni umeme unakatika katika kila baada ya dakika tano.
Nikaeleza kuwa tumejaribu kuwasilisha kero zetu TANESCO wanasema wanakuja kuongeza transformer kwa...
Anonymous
Thread
changamoto
korogwe
kukatika
mara
mara kwa mara
tanesco
umemeumemekukatika
Wanasema hitilafu kwamba ndani ya hayo masaa matano wamepata wametengeneza na kufunga kila kitu?
Hio hitilafu imetokea maeneo gani? Hao waangalia mitambo hawakujua tatizo hilo mapema ifike saa moja ukatike huo huo muda mtume na tanganzo? Mmmmh hii tanzagiza msijekuwa mmeingiza mamuluki wakutuua...
Wilaya ya Mbarali Mbeya kuna changamoto ya umeme yapata Miezi 6 sasa, changamoto inayosumbua ni low voltage (umeme kukosa nguvu) hii inaathiri baadhi ya nyumba lakini kwa wamiliki wa viwanda yaani mashine za kusaga nafaka na kukoboa mpunga imefika mahali tumekata tamaa.
Tumejaribu mara kadhaa...
YAH: TAARIFA KWA UMMA KUHUSU HITILAFU YA UMEME KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA SEKOU-TOURE
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Sekou Toure inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii, hususan kupitia ukurasa wa Jamii Forums, zikidai kuwa hospitali imekumbwa na...
Mimi ni Mkazi wa Korogwe Msambiazi, huku kuna tatizo la low voltage kwa umeme wetu kila siku ikifika saa moja jioni umeme unakatika katika kila baada ya dakika tano.
Hii ni kero, tumejaribu kuwasilisha kero zetu wanasema wanakuja kuongeza transformer Kwa ajili ya kuongeza umeme lakini hakuna...
Anonymous (66bb)
Thread
kukatika
mwaka
tanesco
transfoma
umemeumemekukatika
Kero yangu ni TANESCO Kigamboni wanatutesa sana, hakuna siku umeme haukatiki na sio mara moja umeme unakatika, kuna muda mpaka mara 10 kwa siku.
Vifaa vyetu vinaungua na hakuna anayelipa, tunaomba sana ujumbe huu uwafikie TANESCO wajue wanatutesa.
Ujumbe huu uwafikie Waziri Mkuu, Waziri wa...
Anonymous
Thread
kero ya umeme
kero ya umeme kigamboni
umemekukatika
Kuna muda unasikiliza sera za CCM unaweza kudhani kuwa kwa miaka 60 iliyopita nchi ilikuwa chini ya CHADEMA au chama kingine
Sasa suala la umeme
=====================
Mgombea wa nafasi ya Urais kupitia CCM Samia Suluhu Hassan ameahidi kuwa ndani ya miaka mitano ijayo ikiwa watanzania watampa...
TANESCO Hebu mje mtuambie ni nini kinaendelea kwa kweli, Kila Siku lazima ukatike.
Hapa sasa hivi umekatika kuanzia saa Moja jioni, hadi sasa hivi saa 3Usiku bado ni haujarudi.
What is going on? Hujuma?
Wiki nzima shirika la umeme limeendelea na hujuma za kukata umeme bila taarifa na kuathiri maelfu ya wakazi hasa Dar Wilaya Ilala Kata Kivule na Mitaa yake umeme kwa siku unakatika zaidi ya mara 20 na unawaka.
Dakika 2 unakwata saa zima mpaka mda huu Mitaa ya Kivule ipo gizani na hakuna...
Leo kuna hitilafu kwenye main power supply line na kisababisha maneo ya North of Dsm kukosa umeme hili likitokea baada ya mkutano mkubwa wa nishati linamaana gani hasa kwa watawala na wananchi
Haya mambo tulisha yasahau Baada ya Magufuli kuingia madarakani alikomesha kabisa haya mambo
Kama umeme ulikatika basi ni Kwa sababu za msingi na taarifa ilitokewa
Lakini hili linaloendelea Kwa Sasa umeme kukatika mara 5 Kila siku bila ya sababu zozote za msingi tulisha yasahau haya
Kama ni...
Wakuu,
Pale ambapo taarifa inakuja zaidi ya saa baada ya umeme kukata! Walikuwa wanasikilizia kwanza kuona muujiza ama? Nyinyi TANESCO na DAWASA Wizara ya Maji siku hizi hamna maana kabisa.
Mbu kwa kushirikiana na joto, usiku utakuwa mrefu kweli leo!
======
TANESCO wamesema kuwa kukatika kwa...
Siku chache baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuelezea kuhusu kero ya kukatika kwa umeme mara kwa mara Wilayani Masasi Mkoani Lindi, kusoma zaidi bofya hapa ~ Wakazi wa Masasi tuna kero ya umeme kukatika mara kwa mara, tunapata hasara TANESCO shughulikieni hilo , Shirika la Umeme Tanzania...
Mimi ni Mkazi wa Masasi, nilihamia huku miezi kadha iliyopita, moja ya changamoto ambayo niliikuta huku na wenyeji wanadai imekuwepo kwa muda sasa, ni suala la umeme kukatika mara kwa mara.
Huku Masasi kwa kweli inafikia hatua unakasirika na mwisho unaanza kucheka, kuna wakati umeme unakatika...
Ni wiki sasa tangu nione kukatika kwa umeme maeneo mbali mbali hapa Dar.
Hivi navyoandika hapa mtaani nilipo umeme umekatika na jana pia ulikatika najiuliza je, kuna mgao?
Kama kuna mgao kwa nini TANESCO mpo kimya hamtoi taarifa, mnatuharibia kazi zetu semeni tujue basi
Toka jana mida ya Saa 8 usiku hakuna umeme, ukarudi kwenye saa 11 na kukatika tena hadi sasa
Ubaya ni kuwa hakuna taarifa yoyote kutoka TANESCO kuhusu changamoto ya iliyosababisha katizo la Umeme
Kwanini TANESCO hamtujali wateja wenu? Unakataje Umeme kwa zaidi ya Saa 6 bila kutoa Taarifa?
Na...
Nimekuwa nikipata changamoto hii kwa muda sasa kila inapofika jioni taa zinapowashwa umeme umekuwa una kata na kuzima mara kwa mara. Na baadhi ya vifaa kama vile AC kushindwa kufanya kazi kwa sababu ya umeme kukosa nguvu wakati mwengine baadhi ya taa kufifia mwanga.
Lakini cha kushangaza...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake kuwa kumetokea hitilafu kwenye mfumo wa Gridi ya Taifa majira ya 08: 40 usiku May 04 20224 na kusababisha kukosekana kwa huduma ya umeme kwenye baadhi ya maeneo iliyounganishwa na Gridi hiyo.
TANESCO wanasema Juhudi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.