Tusiangalie uchezeaji na matumizi mabaya ya noti kwa jicho la kuvunja sheria peke yake

Bulesi

Platinum Member
May 14, 2008
14,210
13,724
Hivi karibuni Waziri wetu wa sheria pamoja na Gavana wa benki kuu wamejitokeza na kutukumbusha kuwa ni kuvunja sheria kuchezea au kuziharibu Noti zetu pamoja na sarafu. Ni vizuri kwao kutuelimisha juu ya kuwepo sheria hizo ili wananchi wasije kutwa na hatia mara watakapo tiwa mbaroni kwa kuharibu our medium of exchange.

Kwa upande wa benki kuu, sijui kwa vile huyu Gavana ni Mwanasheria pia nae mkazo wake uno kwenye sheria ili hali anatakiwa aangalie uhalibifu huo wa noti na sarafu kwa jicho la kiuchumi pia! Mimi naona watu ukiwaona wanazichezea sarafu za nchi na noti zio ujue kuwa thamani yake ina walakini.

Nategemea Gavana wa BOT will take it as a wake up call na kuchukua hatua za kuimalisha fedha yetu badala ya kuwatisha Watu na kifungo!!! Wake up Gavana, stop that glass of wine and strengthen our shilling!
 
Tangazo lile halikustahili kutolewa na waziri lilitakiwa litolewe na Gavana wa benki kuu.

Gavana amalize muda wake akafanye kazi yake ya uwakili!!! Haya ndio matunda ya JIWE ya kuhonga watu vyeo.
 
Nimekutana na Matumizi mabaya ya noti yakiambatana na matumizi ya mwili😂😂

Mwanaume anatuzwa kwa kuonyesha kifua na kuchezesha nanihino😅😅
 
Angalau wamepiga marufuku kuna mtu alitaka kutupa kazi ya kuanza kumletea ua la ku graduate lililotengenezewa pesa😂
 
Angalau wamepiga marufuku kuna mtu alitaka kutupa kazi ya kuanza kumletea ua la ku graduate lililotengenezewa pesa😂

Hivi watu wanawezaje kuomba zawadi kwa kuchagua wanataka zawadi ya aina gani?

Unless nimepewa nafasi ya kujichagulia kamwe siwezi kusema nataka hiki au kile kama zawadi
 
Hivi watu wanawezaje kuomba zawadi kwa kuchagua wanataka zawadi ya aina gani?

Unless nimepewa nafasi ya kujichagulia kamwe siwezi kusema nataka hiki au kile kama zawadi
Mtu kaona sosho midia graduates kapewa na yeye anataka hayawi hayawi BOT katusaidia😂
 
Mtu kaona sosho midia graduates kapewa na yeye anataka hayawi hayawi BOT katusaidia😂

Tabia ya kugawa pesa tuu hadharani inaweza kumgharimu sana mtu, maana unawezajikuta umezua taharuki kuhusu vyanzo vyako vya mapato na kile unachokifanya
 
Back
Top Bottom