Kabudi hana budi kutuambia makubaliano walioingia na kampuni ya Barrick kuhusu makinikia

Bulesi

Platinum Member
May 14, 2008
14,210
13,719
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kupitia majibu yake bungeni ametuarifu kuwa Serikali imeruhusu usafirishaji wa makinikia nje ya nchi.

Usafirishaji wa haya makinikia nje ya nchi ndio ililteta mgogoro na kampuni hiyo ya uchimbaji dhahabu kiasi kwamba tukaaminishwa kuwa kampuni ilikuwa inatuibia maliasili yetu kwa kusafirisha huo mchanga nje ya nchi.

Waziri Kabudi ndio alikuwa chief negotiator wetu kwenye huo mgogoro na hiyo kampuni.

Ningemuomba atuwekee wazi mambo yafuatayo:

1. Sababu zilizofanya kubadili msimamo hata kuruhusu kampuni iendelee kusafirisha huo mchanga ili hali tuliaminishwa kuwa wangejenga SMELTER hapa nchini.

2. Tuliaminishwa kuwa tulikuwa tunaidai kampuni ya Barrick us$ 191 billion; mpaka Rais akaahidi kuwa baada ya malipo kila mmoja wetu angepata NOAH moja, halafu mkabadilika na kukubali kulipwa us$300 mill. kama kishika uchumba nazo zingelipwa kidogo kidogo!! Kitu gani kiliwasibu?

3. Kwanini mlikubali kuwa migogoro yote na Barrick iamuliwe nje ya nchi na sio Tanzania?
 
Yaani Pm anatuona sisi mambulula eti wameshalipia makinikia. Sasa kwanini wasitengeneza hayo madini hapa hapa kuleta ajira kwa vijana
 
Hotuba za mwanzo Mama, alisema kuna baadhi ya Makampuni ya madini yameanza kugoma vile walivyokuwa wamekubaliana. Aliongea alipodai kuwa yeye ni Rais, na mwenye jinsia ya kike. Nadhani ni hili la makinikia ni moja ya mambo ambayo yamegomewa.
Hivi unadai kuuza makinikia, unatambuaje thamani ya madini yaliyoko ndani. Mfano Waziri Mkuu kadai kuna aina tano za madini. Watajuaje ujazo na thamani ya hayo madini kabla hayajachenjuliwa? Hata dhahabu ili ujue thamani yake ni mpaka imefikia hatua ya mwisho.

Waziri Mkuu angeeleza ni fedha kiasi gani wanauza kwa kontena, kuliko kudai kuwa serikali inapata fedha nyingi bila kutaja kiwango. Walidai itanunuliwa Smelter ili kila kitu kifanyike nchini! Mpaka Mbunge kufikia kuhoji, maana yake hata yeye au Bunge linajua kuwa kulikuwa na makubaliano. Navyo mjua Ndungai swali lingeulizwa na anajua kuna msimamao wa Bunge na serikali angemlinda Waziri Mkuu, mpaka anaruhusu hilo swali ni kweli kila mtu anashangaa.

Waziri Mkuu tukuombe uache kudanganya. Watanzania tunakumbukumbu! Yangekuwa yanauzwa toka wakati wa Magufuli, angeweka wazi kiasi gani tunapata. Yeye alikuwa anaeleza wazi. Ni sawa kwenye Tanzanite alieleza kiasi tulichokusanya baada ya ukuta kujengwa. Mbona kwenye hili hakuwahi kutamka kuwa tunapata fedha nyingi kwa kuuza makinikia? Hata katika report ya CAG hakuna kipengele kinachohusiana na uuzwaji wa Makinikia nje ya nchi! Ili kujua ni kiasi gani tunafaidika na Makinikia!

Nukuu ya enzi hizo kwa watanzania;

"RAIS NI MZIMA NA ANACHAPA KAZI KAMA KAWAIDA. AU MNATHANI RAIS NI WAKUZURURA KARIAKOO"
 
Tanzania ni nchi ya 24 ka ukubwa duniani kufuatana na idadi ya watu, ardhi yenye rutuba (siyo jangwa) na raslimali. Lakini tunaishi maisha ya kubashiri tu, na sababu kubwa ni kushindwa ksuimamia raslimali za nchi. Nchi za uarabuni Saudi arabia hawana kitu chochote ila mafuta tu, na wanayasimamia vizuri sana
 
Mambo yanabadilika kwa Kasi sana
Wamegundua Tanzania kuna Ombwe la uongozi sasa, na wanataka kulitumia kwa advantage yao. Wakati wa magufuli walikubali kabisa kuwa usafirishaji wa makinikia siyo halali, na wakakubali kujenga kinu cha kuchuja dhahaba hapa hapa. Majuzi nilisoma kuwa walikuwa wameanza taratibu za kujenga kinu hicho cha kufua dhahabu huko Geita. Sasa wameona ombwe, basi wamejitututumua; na inawezekana awamu ya nne iko kwenye background hiyo.
 
Waziri mkuu Kassim Majaliwa kupitia majibu yake bungeni ametuarifu kuwa serikali imeruhusu usafirishaji wa makinikia nje ya nchi. Usafirishaji wa haya makinikia nje ya nchi ndio ililteta mgogoro na kampuni hiyo ya uchimbaji dhahabu kiasi kwamba tukaaminishwa kuwa kampuni ilikuwa inatuibia maliasili yetu kwa kusafirisha huo mchanga nje ya nchi!

Waziri Kabudi ndio alikuwa chief negotiator wetu kwenye huo mgogoro na hiyo kampuni. Ningemuomba atuwekee wazi mambo yafuatayo:

1. Sababu zilizofanya kubadili msimamo hata kuruhusu kampuni iendelee kusafirisha huo mchanga ili hali tuliaminishwa kuwa wangejenga SMELTER hapa nchini.

2. Tuliaminishwa kuwa tulikuwa tunaidai kampuni ya Barrick us$ 191 billion; mpaka Rais akaahidi kuwa baada ya malipo kila mmoja wetu angepata NOAH moja, halafu mkabadilika na kukubali kulipwa us$300 mill. kama kishika uchumba nazo zingelipwa kidogo kidogo!! Kitu gani kiliwasibu?

3. Kwanini mlikubali kuwa migogoro yote na Barrick iamuliwe nje ya nchi na sio Tanzania?
Kabudi na majaaliwa nani mkubwa?
 
Mkuu umetoka lini mwezini?
 
Hotuba za mwanzo Mama, alisema kuna baadhi ya Makampuni ya madini yameanza kugoma vile walivyokuwa wamekubaliana. Aliongea alipodai kuwa yeye ni Rais, na mwenye jinsia ya kike. Nadhani ni hili la makinikia ni moja ya mambo ambayo yamegomewa.
Hivi unadai kuuza makinikia, unatambuaje thamani ya madini yaliyoko ndani. Mfano Waziri Mkuu kadai kuna aina tano za madini. Watajuaje ujazo na thamani ya hayo madini kabla hayajachenjuliwa? Hata dhahabu ili ujue thamani yake ni mpaka imefikia hatua ya mwisho.

Waziri Mkuu angeeleza ni fedha kiasi gani wanauza kwa kontena, kuliko kudai kuwa serikali inapata fedha nyingi bila kutaja kiwango. Walidai itanunuliwa Smelter ili kila kitu kifanyike nchini! Mpaka Mbunge kufikia kuhoji, maana yake hata yeye au Bunge linajua kuwa kulikuwa na makubaliano. Navyo mjua Ndungai swali lingeulizwa na anajua kuna msimamao wa Bunge na serikali angemlinda Waziri Mkuu, mpaka anaruhusu hilo swali ni kweli kila mtu anashangaa.

Waziri Mkuu tukuombe uache kudanganya. Watanzania tunakumbukumbu! Yangekuwa yanauzwa toka wakati wa Magufuli, angeweka wazi kiasi gani tunapata. Yeye alikuwa anaeleza wazi. Ni sawa kwenye Tanzanite alieleza kiasi tulichokusanya baada ya ukuta kujengwa. Mbona kwenye hili hakuwahi kutamka kuwa tunapata fedha nyingi kwa kuuza makinikia? Hata katika report ya CAG hakuna kipengele kinachohusiana na uuzwaji wa Makinikia nje ya nchi! Ili kujua ni kiasi gani tunafaidika na Makinikia!

Nukuu ya enzi hizo kwa watanzania;

"RAIS NI MZIMA NA ANACHAPA KAZI KAMA KAWAIDA. AU MNATHANI RAIS NI WAKUZURURA KARIAKOO"
Na nadhani kelele za trucks kuonekana na mzigo umeanza siyo zaidi ya wiki au wiki mbili...kwa hiyo haya ni mabadiliko ya hivi karibuni. Na ndicho kilichopelekea Waziri Mkuu kuulizwa bungeni.

Lakini kama kuna wanunuzi wa makinikia mbona ilifanywa siri na ni fursa ya vijana hapa hapa nchini kujiajiri?

Nitarudia 'dead men tell no tales' hata wakituambia walianza kusafirisha muda tu hata kama siyo kweli tutakubali tu.
 
Watanzania bana, makinikia yanasafiri muda tu, mwendazake alikuwa mtu wa kupiga comedy show za kibabe jukwaani, kisha nyuma ya pazia maisha yanaendelea.

Hayo makinikia yapo safarini zaidi ya miaka 2-3, leo wabunge aliowapachika waje wambadilishie katiba atawale milele, atake asitake, hakuwaachia maagizo ya nini kingine wafanye endapo atarudi kwa Muumba wake. Ndiyo hao kila mtu anatafuta kuonekana ni mbunge machachari anaajua kuihoji serikali.
PM naye anataka kutambulika,kama msimamizi mkuu wa shughuli za serikali, basi tafrani tupu.

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
PM usimsingie yupo busy na nywele zake kutoka mvi mpaka nyeusi, bado anapambania ujana wake
 
Watanzania tuwe tunapenda kusoma vitu na kifuatilia habari zake, hii itatusaidia kuwa na uelewa na kujadili mambo kiundani kidogo.

Kwenye ule mkataba iliwekwa wazi kabisa...Barrick aendelee kusafirisha makinikinia na ujenzi wa smelter sio jukumu lake....
 
Back
Top Bottom