uharibifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. dronedrake

    JamiiForums Tanzania Ripoti mpya yaweka wazi uharibifu uliofanywa na makombora ya balistiki ya Iran nchini Israel kwenye chuo kikuu cha Ben Gurion

    Ripoti mpya iliyotolewa na kituo cha televisheni cha Israel Daily hivi karibuni yaweka wazi uharibifu mkubwa nchini Israel kwenye chuo kikuu cha Ben Gurion kutokana na mashambulizi ya makombora ya balistiki ya Iran wakati wa vita vya siku 12 mapema miezi michache iliyo pita Uharibifu huo ni...
  2. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Uchawi unapataje nguvu ya kufanya uharibifu?

    Kulingana na mitazamo ya kiutamaduni, kidini, na kiroho (na si kisayansi), uchawi huaminika kupata nguvu kwa njia mbalimbali kama ifuatavyo: 1. Imani na Nia (Intention & Belief) Watu wengi huamini kwamba uchawi hufanya kazi kwa sababu ya nguvu ya nia ya mtu (intention) na imani thabiti. Akili...
  3. R

    JamiiForums Tanzania DC Makete atoa onyo kwa wananchi kuacha wivu wa Misitu. Asema hasara imefikia Bilioni 80 ndani ya miaka minne

    Mkuu wa wilaya ya Makete mkoani Njombe Kissa Kasongwa ameagiza wakazi wa wilaya hiyo kuchukua tahadhari dhidi ya moto unaoteketeza misitu na kupoteza fedha nyingi kila mwaka hali inayopelekea kurudisha nyuma uchumi wa wanaMakete DC Kissa ameeleza hayo wakati akizungumza na wakazi wa Bulongwa...
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Raia yeyote wa Uchina au mgeni angefanya uharibifu kwa watoto wa kichina namna hii hukumu yake ingekuwa kifo .

    Watoto hawana hatia, they are innocent. Wanataka wajaribu kila jambo. Haya madude yanatumia AI , yangiingia kichwani effects zake ni zaidi ya mapepo buku yaliyowaingia nguruwe enzi za Yesu. Nimewaona watu vijana kwa wazee waliochakazwa na haya madude mpaka wakachakaa. Serikali je, Kodi ni muhimu...
  5. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Wali bila maharage ni uharibifu wa mchele

    Jionee mwenyewe👇
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kutatua tatizo la ajali nchini kutokana na uharibifu au kufeli breki, LATRA waweke kikomo cha umri wa mabasi na malori kuruhusiwa kuwa barabarani

    Kuna mahali nilisoma kwamba unapoendesha gari yenye umri zaidi ya miaka 15 kwenda safari ya mbali, umri wa hiyo gari unaweza kuchangia wewe kupata ajali. Yaani, kadiri gari ilivyo ya umri mkubwa ndivyo ambavyo ina uwezekano mkubwa wa kupata hitilafu na kusababisha ajali hata vifo. Tanzania ni...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mvua yasababisha uharibifu wa mali Dodoma

    Baadhi ya wakazi wa Dodoma wamepata hasara na usumbufu baada ya mvua kubwa kunyesha kwenye maeneo yao na kisha maji kuingia ndani na kuharibu mali mbalimbali. Soma Pia: TMA yatangaza mvua za siku tatu mfululizo mikoa minane, kuanza leo Disemba 3
  8. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Kunusuru uharibifu miundombinu ya umma; Serikali isitishe biashara ya chuma chakavu

    BIASHARA ya vyuma chakavu imeenea karibu kila kona ya nchi, watu wanajitafutia riziki kwa kutafuta vyuma hivyo, kuvikusanya na kwenda kuviuza ili wajipatie fedha kwa ajili ya matumizi yao ya kila siku. Hata hivyo, ninadhani biashara hiyo inapaswa kumulikwa, kwani baadhi ya watu wanaokusanya...
  9. Bazenga01

    JamiiForums Tanzania Uharibifu wa taa za barabarani (Solar road lights) eneo la Ubungo jirani na linapojengwa soko kubwa la kisasa (EACLC)

    Habari za muda huu wakuu, Nimepita eneo tajwa hapo juu leo hii na kukuta uharibifu wa taa zinazotumia mwanga wa jua. Nafikiri hili jambo lifuatiliwe kabla hasara kubwa haijajitokeza, maana mlingoti wa taa moja umekatwa na taa kuibiwa. Wakati huo huo kuna mlingoti mwingine upo mbioni kukatwa pia...
  10. excel

    JamiiForums Tanzania Unailindaje TV yako kutoka kwenye uharibifu wa watoto wadogo?

    Kulea watoto nyumbani huku kukiwa na vitu rahisi kuharibika kama Tv karibu imekuwa changamoto sana watoto wanapenda kushika shika Vitu pasipo kujua hatari zake. Kwa upande wa Tv basi imekuwa kero, watoto hurusha midori, mipira au kupanda juu ya Tv kabisa hivyo kupelekea kuvunjika kwa kifaa...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Israel Korea Kusini jijini seol wavamiwa, uharibifu waripotiwa, mhusika adhibitiwa kikamilifu na hakuna majeruhi

    Wadau hamjamboni nyote? Mvamizi huyo hajulikani ni nani na katumwa na nani na madhara kiwango gani Taarifa za ndani bado hazijatolewa kikamilifu ila tukio hilo limetokea kweli Tuwaombee taifa takatifu la Israel --- Foreign Ministry says property damaged in apparent attack on Israeli embassy...
  12. ITR

    JamiiForums Tanzania Picha za uharibifu wa shambulizi la Iran dhadi ya Israel zimeanza kuvuja

    Picha za satalait zinazo onesha uharibifu kwenye base 2 za anga za Israel. shirika la habari la AP lilionesha picha za setalait za Ovde air base na Nevatim air base zikiwa zimeharibiwa vibaya sana.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mhe. Innocent Bashungwa irekebisge barabara ta Tabga -Pangani iwe kama ilivyokuwa zamani kulko uharibifu uliofanywa na wachina

    Kipanda cha Tanga Kibaoni, hakipitiki. Ni tope tupu na barabara ya pembeni hiyo ndiyo kadhia kubwa hasa. Irudishe kama ilivyokuwa zamani iweze kupitika ! achana na lami maana mmeshindwa!
  14. R

    JamiiForums Tanzania Sadaka ya mbwa, yenye laana, iliyobeba uharibifu, HAIPOKELEWI ng'o!!

    Salaam, Shalom!!! Kuna wajinga wengi wanaodhani kuwa watumishi wa Mungu na Mungu mkuu kuwa Wana njaa na kudhani kuwa wapo Ili kukusanya sadaka Ili kujiongezea ukwasi, Usilolijua ni kuwa, SADAKA HUKATALIWA, Fuatana nami. 1. Nabii Elisha, anakataa vitofali sitini vya Dhahabu alivyoleta Naamani...
  15. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sumu kutumika kuwaua kunguru kwa Usumbufu na Uharibifu

    Kenya imeanzisha mpango wa kutumia sumu kuua Kunguru Milioni moja katika Miji ya Watamu na Malindi, ili kuzuia wasisambae Jijini Nairobi Kunguru wamekuwa wakishambulia Wanyamapori, kuvamia maeneo ya Watalii, na kuvamia na kushambulia kuku katika Mashamba yao Inaaminika Kunguru waliletwa kwa...
  16. MUWHWELA

    JamiiForums Tanzania AI (Artificial Intelligence) inaupeleka ulimwengu kwenye uharibifu mkuu, kwanini nawaza hivi?

    TWIME TUBITE Napenda kuufahamisha umaa na mhariri mkuu kwamba mjadala huu ulifaa uwe kwenye technology,Lakini mantiki yake inafaa kujadiliwa na kusomwa na watu wenye maulizo yasiyo ya kawaida. ------------- Akili bandia, Kuna binadamu wenzetu wanawaza na kutenda kwa namna ya kipekee sana, ama...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Hili ni Shambulio la uharibifu wakati wa Amani!!

    Salaam, Shalom. Mara zote maishani, matatizo hufuatana, na Huwa hayatoi taarifa Wala kubisha hodi, Jana, wamepatikana mateka wanne waliotekwa miezi kadhaa iliyopita katika Shambulio na uvamizi wa ugaidi uliofanyika Israel October 2023. Binti mmoja aliyerekodiwa aliyekuwa kwenye tamasha Hilo...
  18. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Gesi suluhu la uharibifu wa Misitu

    Gesi ni moja ya rasilimali zinazopatikana hapa katika nchi ya Tanzania japokuwa gesi ni rafiki wa mazingira, lakini watu wamekuwa na mwamko mdogo wa kuitumia kwa sababu hizi zifuatazo:- Gesi kuuzwa kwa bei ya juu, hii inapelekea watu wengi kutumia mazao ya misitu kwa mfano mkaa na kuni...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mtaro unaharibiwa sababu ya kupitisha malori ya mchanga, anayetuhumiwa na uharibufu huu anajulikana, achukuliwe hatua

    Nafikisha lalamiko langu juu ya mkazi huyu wa Mbezi Beach kwa Dokta Hiza. Huyu bwana anafanya ujenzi wa nyumba yake, na kuacha malori yanayopeleka mchanga na vifaa vya ujenzi yapite hapa kwenye mtaro wakati mtaro huo hauwezi kustahimili uzito huo na kupelekea kuanza kumegua mtaro huo. Njia...
  20. Heparin

    JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko: Uharibifu wa Mazingira unachangia ukosefu wa umeme

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema moja ya vyanzo vinavyosababisha tatizo la umeme nchini ni ukosefu wa maji unaochangiwa na uharibifu wa mazingira. Amebainisha kuwa pamoja na uwepo wa ongezeko la watu, umeme tunaotumia unatokana na maji ambayo hupungua kutokana na...
Back
Top Bottom