Picha zasambaa zikionesha uharibifu uliofanyika kwa submarine ya Urusi, baada ya kupigwa na drone

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,430
Dunia ijiandae parefu kwenye vita vya kisasa vinavyotumia drones, yaani drone ya gharama ndogo tu inaondosha submarine/nyambizi ya gharama kubwa sana, urubani wa drones unafanywa na vijana, madogo ambao wanacheza kama kwenye video games.

Waafrika tujiandae, tuache kupasua matofali kwenye maonyesho ya kijeshi, tuanze kuonyesha ubabe wa drones zikipita mbele ya mheshimiwa rais.

==============

628262c-com.opera--------2023-09-18-142743-twitter.png

Photos have emerged of the damage caused to the Russian submarine Rostov-on-Don, which was hit in an attack on the night of 13 September.

Source: Oryx; Conflict Intelligence Team
 
Yeye urusi kilicho mponza alijua akiivamia Ukraine atapigana vita kama aliyo pigana mwaka 45. ile vita ya kuchimba mahandaki.

Wakasahau kwamba kwamba vita ya saizi ni ya kutumia akili nyingi sana nguvu kidogo.
Kwa kifupi vita ya saizi ukijichimbia handaki inamaana umejichimbia kaburi.
 
Wewe ni mpuuzi,suala ya kupasua matofali ni moja ya mazoezi ya utimamu wa askari kwani unafikiri USA special forces Yao hawafanyi hivi? Najuwa km kawaida Yako kukashifu jw wakati wa maonyesho, bure kbs
 
Yeye urusi kilicho mponza alijua akiivamia Ukraine atapigana vita kama aliyo pigana mwaka 45. ile vita ya kuchimba mahandaki.

Wakasahau kwamba kwamba vita ya saizi ni ya kutumia akili nyingi sana nguvu kidogo.
Kwa kifupi vita ya saizi ukijichimbia handaki inamaana umejichimbia kaburi.
😂😂😂😂
Njia rahisi ya kusema sijui Kitu bila kusema sijui kitu..
Kama ni drones, Lancet ya warusi imeprove kwenye vita hii, total kills zake sio mchezo.
Kama ni trench warfare, Waukraine +NATO wameshindwa kufanya any major advancement mpaka Sasa.
Asa sijui ni nani anayepigana vita vya mwaka 45.
 
Hata kama una mahaba na mtume Putin ila hapa ukirudia ulichoandika inapaswa uhisi aibu kabisa, Mrusi ameteswa na kainchi kadogo, yeye alikua anatuma drones za Iran zinashushwa ila za Ukraine zinapiga hadi ikulu, zinapiga ndege, meli ya kivita na hata sub-marine.
Sasa huyo Urusi ndio mlikua mnategemea apigane na NATO wakati kainchi hapo pembeni kamemshinda.
 
Hivi nyinyi mashabiki wa urusi mnapo sema kila kitu Ukraine wanasaidiwa na Nato. Inamaana mnatakaka kutuambia waukraine wote hawana akili hadi ifike hatua ktk nchi nzima akosekane mtu ambaye anaweza kuendesha hicho kidrone ambacho unakuwa kama unacheza kama game tu hadi kikaenda kulipua nyambizi?
 
Hata kama una mahaba na mtume Putin ila hapa ukirudia ulichoandika inapaswa uhisi aibu kabisa, Mrusi ameteswa na kainchi kadogo, yeye alikua anatuma drones za Iran zinashushwa ila za Ukraine zinapiga hadi ikulu, zinapiga ndege, meli ya kivita na hata sub-marine.
Sasa huyo Urusi ndio mlikua mnategemea apigane na NATO wakati kainchi hapo pembeni kamemshinda.
Lancet zinatoka Iran ipi we Mkenya?
 
Dunia ijiandae parefu kwenye vita vya kisasa vinavyotumia drones, yaani drone ya gharama ndogo tu inaondosha submarine/nyambizi ya gharama kubwa sana, urubani wa drones unafanywa na vijana, madogo ambao wanacheza kama kwenye video games.

Waafrika tujiandae, tuache kupasua matofali kwenye maonyesho ya kijeshi, tuanze kuonyesha ubabe wa drones zikipita mbele ya mheshimiwa rais.

==============

628262c-com.opera--------2023-09-18-142743-twitter.png

Photos have emerged of the damage caused to the Russian submarine Rostov-on-Don, which was hit in an attack on the night of 13 September.

Source: Oryx; Conflict Intelligence Team
Warusi wa Buza karibuni kwa povu
 
Hivi ingekuwa urusi imepigwa kama ukraine ilivyogeuzwa vifusi hawa wa ukraine wa bongo wangekuwa wanaongea na kutulowesha mata, yaan hilo bom la drone limetoboa nyambiziz kidogo tu wanaongea na kutuziba masikio
 
Hivi wwe unajifanya mgeni na huyo jamaa kutwa kucha kukandia mambo ya Tz au na wwe umetoka pokot?nimefuatilia nyuzi zake nyingi huko nyuma.huyo alikuwa anapiga kijembe jeshi letu jwtz sio kdf kk.lazima nilitetee ndio linalotulinda
Umekasirika mjeshi
 
Back
Top Bottom