Kuna tabia imeenea siku hizi ya watu kujiona wanajua kila kitu.
Ukweli ni kwamba hakuna anayejitosheleza kwa maarifa au ujuzi.
Unaweza ukawa bingwa wa hesabu kiasi cha kutatua milinganyo migumu kwa dakika chache, lakini kuna kijana ambaye hajafika chuo anapiga solo la gitaa mpaka ukabaki...
Kwa nijuavyo, hatujawahi kuwa na waziri wa fedha mzenj tangia Nyerere hadi Magu.
Najua Fedha si suala la muungano huenda ndiyo maana wote wenye akili timamu waliamua kutokuwa na mawaziri wa fedha wazenj.
Je, ilikuwa ni ubaguzi, upendeleo, au mahitajio ya katiba ya JMT?
Imekuwaje Samuya...
Mwamuzi wa kati Hance Mabena na mwamuzi Msaidizi Frank Komba wameondolewa kwenye orodha ya waamuzi kwa mizunguko mitano ya NBC PL 🇹🇿 kwa kuonyesha mapungufu ya kiuchezeshaji na kushindwa kutafsiri vyema sheria za mpira wa miguu kwenye mechi ya Simba dhidi ya Pamba Jiji.
Je, hawa wanastahili...
Kwamba kufa ni sawa hata kama ni premature death!
Kwamba wale wanaokufa mahospitalini kwa sababu ya uzembe wa serikali kupeleka vifaa na wataalamu waliobobea navyo ni vifo tu!
Kwamba vifo vitokanavyo na ajali za barabarani ambavyo vingi ni kutokana na uzembe wa polisi wa usalama barabarani...
Asalam waleku
Wandugu waJF hapa nataka nijulishe kwamba kule china mambo yameenda ndivyo sivyo.
Kwa maana mapatano ya ajenda zote yapo PENDING
Kwa hali ilikuwa kwamba ni mbinu za kimkakati ziliandaliwa kuingia na devices zao kuiba some information na kuzi export kwenye mashine zao ila ngoma...
Speech ya Rais Ruto ilikuwa safi kutoka Kwa mtu smart.
Imejaa weledi, sera, taaluma na utashi wa maendeleo
Hotuba ya Samia imejaa visasi na chuki Kwa wananchi
Aibu naona zaidi Kwa michango ya wabunge waliotoa, ilikuwa ni pongeza na uchawa
Mara Ruto ni mpenda watu, mara oooh yaani upumbavu tu...
Wakuu,
Aloooo jamaa walimteka bana! Taarifa ya polisi inasema walimchukua tar 15, Feb na siku hiyo hiyo ndio akachukuliwa kwenye kwenye mashtaka:BearLaugh::BearLaugh: hata bila D mbili hesabu hii haiwezi kukushinda.
Halafu eti familia yake iliruhusiwa kumuona juzi, na leo amerejeshwa kwenye...
Paper tiger (Mbwa asiye na meno) kaufyata wakati mwenzake anachezea kipigo.
China linapokuja suala la operesheni za kijeshi ni mchumba tu. Wairani walimuomba Trump awasaidie, naye akawaitikia. Xi na China yake yeye siku zote msimamo wake si kwa wananchi wa nchi husika, bali anasimama na...
Nguruwe na kisamvu cha kopo vyote haramu ila angalau nguruwe amehalalishwa kuliwa kwa kiasi kidogo kama hapo ulipo umekosa kabisa chakula na nguruwe ndo nyama pekee iliyopo inalusiwa kula kidogo ila usishibe ila kisamvu cha kopo hakirusiwa kuliwa na umuoni mtume.
Walivunja kifungu namba 87 cha sheria cha kanuni ya adhabu kwa kupigana hadharani.
Wakamatwe na kwa sababu ushahidi upo wapelekwa mahakamani na wahukumiwe miezi sita jela.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mawazo Msangawale, Miaka 24, Mkazi wa Mlowo Wilayani Mbozi Mkoa wa Songwe kwa tuhuma ya mauaji ya kijana wa miaka 18 aitwaye Juveni Baraka Mwambugi aliyekuwa Mkazi wa Isoko Wilayani Chunya Mkoa wa Mbeya.
Kamanda wa Polisi
Awali, Januari 9, 2026 saa 2...
Sheikh wa mkoa wa Singida Nassor Yahya amefafanua umuhimu wa kupiga kura ambapo amesema “tukamchague kiongozi tunaemtaka na tusipofanya hivyo atachaguliwa kiongozi tusiemtaka sisi”
Sheikh Nassoro amezungumza hayo kwenye Kongamano la Viongozi wa Dini mbalimbali kuliombea Taifa Amani na Utulivu...
Nani atamfunga paka kengele, Tanzania kila mtu anamlaumu mwenzake
Wanasiasa wanalaumu mabeberu
Wananchi wanalaumu wanasiasa
Wanaharakati wanawalaumu wanalaumu
Polisi wanasema ni maelekezo kutoka juu
Wananchi wanalaumu wanaharakati kwamba hawafanyii harakati zao Tanzania, wakija Tanzania...
Niamini Mimi adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe,
Huyo mwanamke mwakilishi wa muhamedi TAPTA LA madawa ya kulevya, lilirowai dakwa na Mzee Magu, yeye ndo alikuwa akipambana na mwanamke mwenzake mwanzo mwisho,
Hata wale mabaunsa yeye ndo aliyewatafta, na aliwanunulia na Bangi, na...
Kuna Uzi niliuona hapa JF Bichwa komwe na mwenzake wakisema wanawake wa JF wamzeeka .
Naona umefutwa Ila msirudie kufanya hivi mnawaumiza watu kihisia Sana Bichwa komwe na mwenzako.
Tuseme ukweli bila kupepesa macho
Unalala nayo kitandani
Ukiamka kitu cha kwanza ni kuiangalia
Ukiisahau nyumbani, siku yote unakuwa kama umetupwa kisiwa cha peke yako
Battery ikishuka chini ya 20% moyo unaanza kukudunda kama una deni.
Bundle likiisha kwa baadhi ya watu bora asinunue chakula...
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro Mhe Shaka Hamdu Shaka asema hayuko tayari chini ya Uongozi wake wa Wilaya ya Kilosa kuona Wilaya hiyo ikirudia historia yake ya nyuma,
Akiongea na Wananchi wa Kata ya Tumbatu mahali palipotokea mgogoro wa Kimipaka ngazi ya Vijiji na Vitongoji,
DC...
Huko Kijiji cha Milonji Kata ya Lusewa mwanamke aliyejulikana Kwa Jina la Wende Luchagula mwenye umri wa miaka 30 Kabila msukuma, amewachinja watoto watatu wa mke mwenzake wawili ni pacha wa miezi 6 na mmoja ana umri wa miaka sita (6).
Chanzo cha tukio hilo ni wivu kwasababu mume wa Wende...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.