Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amefanya Ziara Kutembelea Reli ya Kati Kujionea Hali ya Uharibifu Morogoro

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,903
945
Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amefanya ziara kutembelea reli ya kati kujionea hali ya uharibifu uliojitokea baada mvua kunyesha kuanzia January 25 mwaka huu.

Mhe. Naibu Waziri akiwa kwenye Kiberenge ameanzia ziara katika eneo la Lukobe Manispaa ya Morogoro, Munisagara na Mzangaza Wilaya ya Kilosa na Gulwe Wilaya Mpwawa mkoani Dodoma ambapo ameambata na Wataalamu kutoka Shirika la Reli Tanzania (TRC)

Mhe. Kihenzile amejionea hali ya uharibifu wa Reli ya kati maji kujaa kwenye Reli sehemu ya Mzangaza ikisombwa maji ambapo tayari mafundi wameanza kazi ya kurejesha miundombunu hiyo katika maeneo yote yaliyoathirika Ili usafiri kupitia treni hiyo uweze kurudi baada ya kusitishwa tangu mwishoni mwa mwezi January.
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2024-02-06 at 11.39.28.jpeg
    WhatsApp Image 2024-02-06 at 11.39.28.jpeg
    101.5 KB · Views: 3
  • WhatsApp Image 2024-02-06 at 11.39.27(2).jpeg
    WhatsApp Image 2024-02-06 at 11.39.27(2).jpeg
    124.1 KB · Views: 3
  • WhatsApp Image 2024-02-06 at 11.39.27(1).jpeg
    WhatsApp Image 2024-02-06 at 11.39.27(1).jpeg
    153.1 KB · Views: 3
  • WhatsApp Image 2024-02-06 at 11.39.27.jpeg
    WhatsApp Image 2024-02-06 at 11.39.27.jpeg
    98.6 KB · Views: 3
Back
Top Bottom