lucky dube

Lucky Philip Dube (pronounced duu-beh; 3 August 1964 – 18 October 2007) was a South African reggae musician and Rastafarian. His record sales across the world earned him the Best Selling African Musician prize at the 1996 World Music Awards. In his lyrics, Dube discussed issues affecting South Africans and Africans in general to a global audience. He recorded 22 albums in a 25-year period and was Africa's best-selling reggae artist of all time. Dube was murdered in the Johannesburg suburb of Rosettenville on the evening of 18 October 2007.

View More On Wikipedia.org
  1. Ashampoo burning

    Sipendagi muziki wa Reggae ila Lucky Dube alikuwa mnyama

    Yaani nyimbo inaitwa back to my roots Humu kuna mpiga ngoma alijipanga sana yaani ana dunda unasikilizia moyoni Yaani zile ngoma na gitaa balaa, Hebuu vaa earphone afu sikiliza twatwaaaa twaa gitaa linajibu ndi ndi ndiiiiii ...... tarumbeta mbeeee mbeeeeee mbeee .. ngoma twatwatwa twaaaaa...
  2. Papaa Mobimba

    KWELI Tofauti na tamaduni iliyozoeleka ya Rastafarians, Lucky Dube hakuwahi kuvuta bangi

    Kama ilivyozoeleka kwenye jamii nyingi kuwa ukiwa Rastafarian basi kwa asilimia kubwa utakuwa unatumia bangi/marijuana na majina mengine lukuki kama inavyojulikana. Leo kwenye mitandao ya kijamii kulikuwa kuna meme inasambaa ikiwa na ujumbe "Wakati Lucky Dube anaimba "Born to Suffer" me...
  3. NAS1314

    Historia ya Mwanamuziki wa Reggae, Lucky Philip Dube

    Lucky Philip Dube (tamka doo-bei) [1] (3 Agosti 1964 - 18 Oktoba 2007) alikuwa mwanamuziki wa reggae kutoka Afrika Kusini. Alirekodi albamu 22 katika lugha ya Kizulu, Kiingereza na Kiafrikaans katika kipindi cha miaka 25-na alikuwa mwanamuziki wa Reggae kutoka Afrika Kusini ambaye aliuza albamu...
Back
Top Bottom