tamaduni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kuchezea mpira kwenye kambi ya Jeshi yenye ulinzi mkali kumetuangusha Yanga, tunashindwa kuingia uwanjani usiku kufanya mila na tamaduni

    Huu uwanja tuupige vita, yaani wanalinda wanajeshi usku na mchana, hata taratibu zetu za jadi tumeshindwa kuziingiza na kuzichimbia uwanjani... Hawa jamaa usiku kucha wanalinda kwa mabunduki. Tusikubali timu nyingine itumie uwanja huo kama nyumba ni, hatutachukia ubingwa
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Wasotho na tamaduni zao

    Wasotho wana tamaduni zao tofauti, ikijumuisha aina za kipekee za muziki na lugha yao, Sesotho. Shughuli za kitamaduni ni pamoja na kucheza, kupiga makofi, kuimba, na kuimba. Shughuli fulani za burudani pia ziliendelezwa katika utamaduni wa vibarua ndani ya Wasotho, kwani wengi walifanya kazi...
  3. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Ukipita soko la Buguruni unakumbushwa tamaduni ya mwafrika ni kuridhika na uchafu

    Yaani kabisa mtu mzima na heshima yake (anaitwa mama nyumbani na hata boss ofisini) anapita kwenye tope linalonuka chakula kilichoharibika (kinyesi pia labda kipo maana harufu mbaya) kwenda kununua chakula ambacho analisha watoto, ndugu na marafiki Ukiridhika kupata chakula chako katika...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi Wafundishwe Nidhamu Bora na Tamaduni za Kitanzania: Bashungwa

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) ametoa wito kwa Wazazi, Walezi na Walimu kuwalea, kuwaandaa na kuwafundisha Wanafunzi katika misingi ya nidhamu bora na tamaduni za kitanzania ili iweze kufaa katika jamii na kuwa na mchango kwa Taifa kupitia taaluma zao. Bashungwa ameeleza hayo Novemba...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayoendelea Bar ya Savoy, sio tamaduni zetu

    Wakuu, habari za mihangaiko Aisee Kwa wenyeji wa Buza bila shaka mnaelewa Hili. Hii bar inaitwa New Savoy Iko Buza kanisani, Shughuli zinazoendelea hapa zimevuka utamaduni wetu, Sawa Kila mtu ana uhuru lakini kweli ndio hivi? Ifikapo saa 2 jioni hii njia unaogopa hata kupitia, ni mwendo WA...
  6. MUWHWELA

    JamiiForums Tanzania Daktari anatibu nini kama hajajisoma yeye na tamaduni zake?

    Nawasalimu ndugu zangu! Nimejiwazisha tu kwa sauti. NJOO NA MAWAZO YAKO KAMA MENGINE HUKUBALIANI NAYO. I stand to be corrected Daktari ANATIBU nini kama mwenyewe na jamii yake HAJAJISOMA? why nimewaza hivi.. Kuna mahala pakubwa sana sisi kama waarifka tumekuwa corrupted 100% na mifumo ya...
  7. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Mambo yamebadilika sana, tusipokuwa makini yatabadili kabisa tamaduni zetu za kiafrika

    Jamani, hapo kabla sikuwahi kusikia haya mambo. Na kama yalikuwepo basi ni wachache sana. Ila kwa sasa hata ndugu zangu akina muraa, nao wanamezwa na mabadiliko. Mwanaume kumtegemea zaidi mwanamke atafute kipato cha kulisha familia, kwa sasa imekuwa kawaida kabisa Mtoto wa kiume kukaa nyumbani...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro Atembelea Maonesho Tamasha la Tamaduni

    WAZIRI DKT. NDUMBARO ATEMBELEA MAONESHO TAMASHA LA TAMADUNI Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro Septemba 22, 2024 amekagua mabanda ya maonesho katika Tamasha la Utamaduni la Tatu la Kitaifa linaoendelea katika Uwanja wa CCM Majimaji Mkoani Ruvuma. Maonesho hayo...
  9. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Wanawake kwenye kuanika mwili huwa hawana uoga kulinganisha na wanaume!

    Hii dhana kwamba wanawake huenda wasiwe na hofu kubwa ya kuwa kuuanika mwili kuliko wanaume inaweza kuathiriwa na mchanganyiko wa mambo ya kijamii, kitamaduni, kisaikolojia, na kibiolojia: Mazingira ya Kitamaduni: Katika tamaduni nyingi, wanawake mara nyingi hufanyiwa ubaguzi au kuhukumiwa...
  10. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hamas yatoa takwimu za misikiti na makanisa yaliyoharibiwa na mayahudi. Yatoa wito kwa waislamu na wakristo kulinda tamaduni zao

    Hamas kupitia wasemaji wake imetoa takwimu ya uharibifu uliofanywa na mayahudi katika kipindi chote cha vita mpaka sasa, Jumla ya misikti 610 ya Gaza na makanisa matatu yamebomolewa kabisa na kwa makusudi na majeshi ya IDF, Miongoni mwa majengo hayo ya kiibada yaliyovunjwa yamo yenye historia...
  11. Magaso onesmo

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Kuleta Mawazo Mbadala kwa Miaka 5 hadi 25 ijayoTanzania

    Tanzania Tuitakayo: Kuleta Mawazo Mbadala kwa Miaka 5 hadi 25 Ijayo Tanzania, nchi iliyobarikiwa na rasilimali nyingi na utajiri wa tamaduni, inakabiliwa na changamoto na fursa nyingi katika kipindi cha miaka 5 hadi 25 ijayo. Katika maono yetu ya Tanzania Tuitakayo, ni muhimu kuibua fikra...
  12. PAN AFRICANIST JR

    JamiiForums Tanzania SoC04 Utamaduni wa nchi yoyote duniani ni kiini kikuu cha maendeleo vinginevyo watu wengi watakuwa mateka wa kiutamaduni

    Serikali kwa kushirikiana na sisi wananchi, kudumisha na kurejesha hadhi ya tamaduni za kitanzania na Afrika kwa ujumla, ili kuwaoko watu kutoka mateka wa kiutamaduni. Tanzania tuitakayo baada ya miaka 20. SERIKALI KWA KUSHIRIKIANA NA SISI WANANCHI KUDUMISHA,NA KUREJESHA HADHI YA TAMADUNI ZA...
  13. central midfielder

    JamiiForums Tanzania Tamaduni Music ilianza na kufa mwaka gani?

    Wakuu kwema? Hivi Tamaduni Music ilianza mwaka gani na mwaka gani ikawa imekufa (japo sina hakika ndio maana nauliza)? Kama ilikufa nini chanzo cha Tamaduni kufa? Muanzilishi alikuwa nani wa Tamaduni? Nini chanzo kufa kwake. Members wa Tamaduni walikuwa kina nani? Asante.
  14. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ili kuwa na familia imara na viongozi bora wa baadae Tanzania ifundishe somo la “Utaifa” kuanzia darasa la awali

    ILI KUWA NA FAMILIA IMARA NA VIONGOZI BORA WA BAADAE TANZANIA IFUNDISHE SOMO LA “UTAIFA” KUANZIA DARASA LA AWALI ILI KULINDA TAMADUNI ZETU NA KUJENGA JAMII YENYE MAADILI MEMA. SHULE AU DAY CARE ZA MITAANI PIA ZISHIRIKISHWE MAANA WATOTO WANASHINDA HUKO. Kabla sijaanza anaomba nitoe Maana ya...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Licha ya Waislamu weusi kujaribu kutengeneza umoja na waarabu kwa kigezo cha kudumisha umoja wa kiimani na tamaduni, kwanini bado Waarabu wanasita?

    Juhudi za mtu mweusi kujenga umoja na waarabu. Mavazi ya kiarabu - kuvaa kanzu, kobazi, barakshia, n.k. Majina - ni kawaaida kukuta jina la kwanza mpaka la ukoo la kiarabu Lugha ya kiarabu - huipa uzito wa hali ya juu Ndoa kwa tamaduni za kiarab - kuvaa jambia kiunoni kwenye siku ya kufunga...
  16. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Zanzibar msiposimama imara kuendelea kulinda mila na tamaduni zenu, heshima yenu duniani itashuka

    Friends and Our Enemies, Beautiful Islands Of Africa, Zanzibar... Fahari pekee iliyobakia Africa na inayozidi kuwakilisha ubantu na TAMADUNI za heshima ni wewe Zanzibar. Watu wengi wakitaka kujitambulisha Kwa wageni WASIO ifaham Tanzania basi utawaskia wakisema huko kuwaambia wageni kuwa Mimi...
  17. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Tunaweza kuwa waislam au wakristo bila ya kubeba tamaduni za waliotuletea dini hizo?

    Nimejikuta nawaza kama mkristo anaweza kuvaa kanzu na Barghashia na kwenda ibadani kanisani na wakristo wenzake wakawa na amani naye. Lakini nikawaza pia kama Muislam anaweza kumuadhinia mtoto wake Jina la Edward na waislam wenzake wakaona ni sawa. Hivi tunaweza kuwa waislam ama wakristo huku...
  18. Lyetu

    JamiiForums Tanzania Je tamaduni za wamasai na wahadzabe ziko juu ya sheria?

    Mama wa watoto kadhaa anahukumiwa zaidi ya miaka 20 kwa kukutwa na nyamapori kilomoja, ila kuna kundi la watu linafanya uwindaji haramu kwa kuua mamia ya wanyamapori kwa kisingizio cha tamaduni. Ufugaji wa ng'ombe wa kienyeji umekuwa kama uharifu nchini kwa asilimia kubwa ya wafugaji, mifugo...
  19. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania KWELI Tofauti na tamaduni iliyozoeleka ya Rastafarians, Lucky Dube hakuwahi kuvuta bangi

    Kama ilivyozoeleka kwenye jamii nyingi kuwa ukiwa Rastafarian basi kwa asilimia kubwa utakuwa unatumia bangi/marijuana na majina mengine lukuki kama inavyojulikana. Leo kwenye mitandao ya kijamii kulikuwa kuna meme inasambaa ikiwa na ujumbe "Wakati Lucky Dube anaimba "Born to Suffer" me...
  20. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa vyombo vya habari(media) kwa matokeo hasi ya tamaduni.

    Hakuna kiumbe chochote kisiyojua umuhimu wa makutano katika jamii zote za kiulimwengu pasipo kuwa makutano hakika wengi wetu tunageishi leo yetu ndani miaka 5 ijayo,tusengejua baadhi ya mambo muhimu ya kiuchumi katika matokeo chanya ya ukuwaji wa pato la mwananchi. Bado tusingejua nini maana ya...
Back
Top Bottom