"Chokochoko ya nini sahivi tunaliponya taifa acheni maneno ya kukatisha tamaa yaliyopita yamepita tutafute amani swala la Polisi kuua ni kawaida kikatiba we sahivi mrushie polisi jiwe uone kama hatakushambulia maana katiba yetu ndo inavyosema"
🗣️Thabit Kombo akiongea bungeni kuhusu mauaji ya...
Wanabodi
Moja ya jambo kubwa lililokuwa linasubiriwa sana na kwa hamu kubwa na watu wengi kwenye Ripoti ya Uchunguzi ya Jaji Chande, kubwa la kwanza ni idadi ya vifo vilivyotokea kwenye vurugu hizo za October 29, 2025 na la pili kubwa ni who ordered the killings?.
Ripoti imetoa tuu idadi ya...
Wanabodi
Niko kwenye ibada ya mazishi ya msiba wa jirani yangu mmoja, katika Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Parokia ya Bikira Maria Mama wa Huruma (BMMH), Mbezi Beach, Dar es Salaam ambapo nimekutana Face2Face with Bilionea Saidi Lugumi ambaye pia ni mmoja wa waombolezaji...
Amani kwenu watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Kwaresma imeisha salama sasa tuko tunaendelea kusherekea pasaka na leo ni jumatatu ya pasaka
Kila siku mimi kama Beira boy katekista wa parokia ya st Joseph huwa nawasisitizia vijana wenzangu kuwa uchawi haulipi na imani za kishirikina siyo...
Eti wazee wa logic na akili nyingi safari hii imekuaje?😂🤣🤣 Akili zote na logic zimehamia kwenye mikuyenge?
Kutwa kucha kuwakamia wanawake kooni, safari hii mwalimu wetu kipofu kahamia huko kwenu? Kabisa unaambiwa mtu kashikwa bega mali zikaondoka na wewe mzima mzima huyooooo unaamini, kwa kitu...
Au kwasasa wameishiwa ubunifu wa porojo, uongo na uzushi mpya dhidi ya taifa lao kwa manufaa na hisani ya mabwana zao waliokua wakiwatumikisha?
Na ile ahadi ya kutafutiwa kazi ubiligiji wametimiziwa?
Umaskini wa kifikra na unyonge wa kiuchumi unaweza kupelekea vijana wengi wa chadema kufanywa...
Ndugu zangu Watanzania,
Niliwaambieni humu kuwa habari na taarifa za Malisa zilikuwa ni za Uzushi ,uongo, uchonganishi na zenye lengo la kutaka kuleta taharuki na kuichafua serikali yetu chini ya uongozi mahiri,shupavu ,madhubuti na Imara wa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha...
Kwa mtumiaji yoyote wa mtandao wa X na ambae anafuatilia taarifa za mtu anaeonekana kuwa ni mwanaharakati katika mtandao wa X anaetumia jina la "Tanzania leaks"atakubaliana namu kuwa huyu mtu taarifa zake nyingi huwa ni za uzushi.
Ni bahati mbaya sana wanaharakati na wanasiasa makini, hu-...
Idara ya Uhamiaji inakanusha taarifa zinazosambazwa kwa njia ya Audio Clip kwenye mitandao ya kijamii kwamba raia wa Tanzania waliopo nje ya nchi wanaporejea nchini kupitia viwanja vya ndege au vituo vingine vya kuingia nchini wananyang'anywa pasipoti na fedha zao na kutakiwa kwenda kufanyiwa...
Jioni ya tarehe 29. 10. 2025 Bali ilikuwa mbaya sana kwenye miji mingi mikuu Tanganyika.. Maandamano yaliyoambatana na uharibifu mkubwa wa mali na miundombinu yalikuwa yamepamba moto
Mawasiliano yalikuwa ya shida kwakuwa mitandao ilikuwa imezimwa na mamlaka zikakosa kujua athari za ueneaji wa...
Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na tabia ya baadhi ya sauti zisizo na sura kutumia mitandao ya kijamii kama jukwaa la kusambaza uzushi kwa lengo la kuleta taharuki, hofu na kupunguza imani ya wananchi kwa nguzo za dola. Miongoni mwao ni wanaojificha kwa majina ya kificho kama Kidnapped King wa X na...
Akilini mwangu, tangu nikiwa mdogo shule, ilijengeka taswira nzuri sana kuhusu mkoa wa arusha. Vivutio vya utalii, ile kwamba no Geneva ya Afrika n.k vilinichanganya sana akili kiasi ilijengeka picha ya mbingu akilini pale Arusha ikitajwa.
Nikiri, mpaka nikiwa mkubwa hivi, Kuna picha njema...
Uzushi, husda na chuki vinaumiza sana – si kwa nguvu ya maneno yenyewe, bali kwa jinsi jamii inavyohukumu bila kuuliza. Lakini pia, hali hiyo inaweza kuwa chachu ya mtu kuamka, kujiamini, na kujitengeneza upya kwa uthabiti zaidi.
NAFSI inajiuliza .
"Nimekuwa nani? Mbona wanasema hivi juu yangu...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimeona andiko la Mwana jukwaa Mwenzetu afahamikae kama Johnthebaptist akitoa pongezi na kusema kuwa nimepata Uteuzi.
Ningependa kusema ya kuwa habari hiyo ni ya uongo na uzushi tu na haina ukweli wa aina yoyote ile.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia...
Shirikisho la mpira wa miguu TFF imekanusha taarifa za kujiuzulu kwa rais wa shirikisho hilo Wallace Karia,taarifa ambazo zimesambaa katika mitandao ya kijamii leo asubuhi zilidai kuwa rais ameachia ngazi.
Ukiona mtu anazushiwa sifa lede kede basi ujue huyo mtu ni mweupe kichwani.
Sasa inadaiwa eti Ibrahim Traore kamuandikia barua Papa Leo.
Inadaiwa ni barua ambayo hakuna kiongozi mwingine wa Kiafrika ambaye amewahi kuthubutu kuandika maneno ambayo dikteta uchwara aliandika 🤣.
Huamini...
Kutokana na mgao au ukosefu wa umeme mara kwa mara Kariakoo katika hizi siku za karibuni, kuna minon'gono inaendelea, je ni kweli? Au ni uzushi.
Wanasema eti umeme wote unapelekwa kwenye SGR, Na ndio maana si ajabu kwa kariakoo siku hizi kukaa mpaka masaa 18 bila umeme.
TANESCO
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.