THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,365
- 12,823
Friends and Our Enemies,
Beautiful Islands Of Africa, Zanzibar...
Fahari pekee iliyobakia Africa na inayozidi kuwakilisha ubantu na TAMADUNI za heshima ni wewe Zanzibar.
Watu wengi wakitaka kujitambulisha Kwa wageni WASIO ifaham Tanzania basi utawaskia wakisema huko kuwaambia wageni kuwa Mimi ninatokea Tanzania ile Nchi ya Mlima Kilimanjaro na visiwa vya marashi ya Zanzibar...
Asitokee MTU kuwatisha na kuwadhihaki eti kisa tuh nyinyi mmeamua Kwa dhati na uzalendo kabisa kusimamia MILA na TAMADUNI ZENU.
Tokea zama na enzi Zanzibar imekuwa na utaratibu wa kuheshimu Imani za wananchi wake na za wageni mbalimbali wanaoingia ndani ya visiwa hivyo.
Wageni wanapokaribishwa Zanzibar siku zote hupewa sheria na taratibu za kuishi na wenyeji wa visiwa hivyo na bila kinyongo wageni hao wamekuwa wakizikubali na kuziheshimu, kiasi Cha kufikia kuishi na Kisha kutamani kurudi Tena na Tena ndani ya visiwa hivyo.
Wanaokwazika na TAMADUNI za Zanzibar kiasi Cha kufikia kuona kama ni kero kwao au wanatengwa basi siyo lazima Kwa wao kwenda,wabakie makwao ambako wao wanaona Wana uhuru wa kujiamulia kuishi Kwa namna wapendavyo wao.
ZANZIBAR, endelea kusimama IMARA pasipo na kutetereka.
Zanzibar, mmenikumbusha msimamo imara wa Qatar, ambapo walipoandaa world cup finals na kuwakatalia wazungu kuwa wao hawakubali kuruhusu kampeni za LGBTQ katika finals hizo Kwa namna yoyote Ile.
Japo, wazungu walinuna wengine kutishia kutoshiriki lakini Qatar walisimamia msimamo wao na mashindano yaliendelea Kwa mafanikio makubwa yasiyo na kifani.
Hongera sana Zanzibar,Dumisheni Mila na Tamqduni zenu pasi na kuhofia kitu chochote.