Wewe kama ni mpiga pesa ya pombe kupitia mitandao ya kijamii, utamu wa hela upo Facebook.
Acha ushamba wa kuikataa fb , ukajifanya upo jf na na huko x 🤔
Wewe nnje namambo yako ya msingi kama unataka pesa tamu ,tengeneza maudhui yako yaweke Facebook ,tafuta marafiki na wafuasi wako humo...