kabila

Joseph Kabila Kabange ( kab-EE-lə, French: [ʒɔzɛf kabila]; born 4 June 1971) is a Congolese politician who served as President of the Democratic Republic of the Congo between January 2001 and January 2019. He took office ten days after the assassination of his father, President Laurent-Désiré Kabila in the context of the Second Congo War. He was allowed to remain in power after the 2003 Sun City Agreement ended the war. He was elected as president in 2006 and re-elected in 2011 for a second term. Since stepping down after the 2018 election, Kabila, as a former president, will be a senator for life, according to the Constitution of the DRC.Kabila's term was due to expire on 20 December 2016, according to the terms of the constitution adopted in 2006. Officials suggested that elections would be held in November 2016, but on 29 September 2016, the nation's electoral authority announced that the election would not be held until early 2018. Talk focused on the need for a census before holding elections. In August 2018, Kabila announced that he would step down and not seek reelection in the December 2018 general election. He was succeeded by Félix Tshisekedi in the country's first peaceful transition of power since independence.
While in power, Joseph Kabila faced continuous wars in eastern Congo and internal rebel forces supported by the neighboring governments of Uganda and Rwanda.

View More On Wikipedia.org
  1. Bob Manson

    JamiiForums Tanzania Dini au Kabila, kipi kina Maana zaidi katika Maisha ya Mwanadamu?

    Habari zenu wadau..... Najiuliza kati ya dini na kabila, kipi hasa kina umuhimu na maana zaidi katika maisha ya hapa duniani kwa mwanadamu? Mtu anazaliwa katika kabila fulani bila kuchagua, hawezi kubadili kabila lake. Lakini dini mtu anaweza kuichagua, kuifuata au hata kuibadili. Sasa kama...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania kuna wanawake watamu kuzidi kabila la wanyakyusa?

    Yaani mtoto wa kinyaki Amenye ananichanganya sana wakuu kuna kipindi nahisi kama nimelishwa limbwata vile ana shepu nzuri sana makalio yanayovutia ana rangi nyeusi ya kupendeza kimo chake ni futi tano. Picha linaanza saa mbili jioni narudi zangu home namkuta jikoni na kanga moja anamalizia...
  3. the ostrich eggs

    JamiiForums Tanzania Katuga: Ni ushahidi wako kwamba Mshtakiwa alisema na kuweka msimamo kwamba Hatutakubali mapenzi yachague Umri, Kabila, Rangi, Elimu, Hali ya Uchumi

    Huyu mwanasheria bwana mweza wa mtu kuishi ulaya ishakuwa nongwa??? Ee Mungu ni mbinu za kupatia uongozi CHAWA
  4. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Kabila la Dani Linakata Vidole Wakati wa Ndoa na Talaka

    Kabila la Dani la Papua New Guinea lina desturi za kutisha za ndoa. Ili kuoa, mwanamume lazima akate kidole kutoka kwa mkono wake wa kulia kama mahari kwa bibi arusi wake. Katika kesi ya talaka, inabidi kukatwa vidole viwili kwenye mkono wake wa kushoto. Mume akifa, mke hukatwa vidole vyake...
  5. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Ni njaa ama kukosa akili, kabila Gani Tanzania linapigia mwanamke magoti? Nimesikia aibu sana 🚮

    Labda mniambie wajuvi ambao mnajua jamii nyingi za kitanzania na makabila mbalimbali tamaduni zao Na utu uzima wangu huu ni wapi, ambapo mwanaume anamsujudia mwanamke? Tunaacha kumpigia magoti Mungu alieumba Dunia hii tunampigia magoti mwanadamu? Yan na wewe umekaa kwenye kiti umejitanua kabisa...
  6. and 998 others

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania DCP Secretary General mngemuweka Kabila ingine (si Mkikuyu - Methu)

    Gashagua hauijui siasa ya Kenya vizuri. Ameanguka kabla ya safari. Methu asingekua Secretary General. Ungetafuta Mluhya, Somali au Jaluo akae hapo kama Symbolic tu
  7. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Tanzania si Kila kabila lifaa litoe viongozi wa juu, usaliti ni mwingi sana ongezeni upembuzi wa nani awe kiongozi wa juu

    Kuna wale ambao akishatenguliwa tu tayar anakuwa mpinzani...kabila lake halifai kuwa kiongozi. Kuna wale hawawezi kukaa na kitu moyoni yani hawana Siri...wakibainika kabila lake halifai kushika nyazifa za juu waishie kwenye uheadmaster. Kuna wale hawawezi kuwaheshimu viongozi waliojuu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nje ya wajaluo kuna makabila maarufu upande wa Tanzania yenye mafanikio makubwa nchi jirani?

    Kuna makabila mengi hapa Tz, hata Watutsi utawakuta ila wapo wachache sana, hivyo tuyaguse makabila ambayo angalau yanafikia hata watu laki Wajaluo wapo wilaya ya Rorya mkoa wa Mara, kwa upande wa Tanzania kwenye maendeleo hawapo kivile japo kuna baadhi ya sehemu wametoboa mfano ukienda kule...
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Angalizo la Kiusalama: Makabila Hayafanani. Usiparamie paramie watu bila kuwajua makabila yao

    Wanabodi Huu ni uzi wa ushauri wa bure wa angalizo la kiusalama kuhusu makabila ya Tanzania hayafanani!,kuna makabila laini laini unaweza kuwachezea wengine hadi kucheza nao kidali po,na kuna makabila magumu magumu ambayo ni makabila very serious,sio makabila ya mchezo mchezo,haya sio makabila...
  10. PAYE

    JamiiForums Tanzania Ni salamu gani ya kabila unayopenda hapa Tanzania?

    Tanzania ina makabila zaidi ya 120, Ni salamu ya kabila gani unayopenda zaidi? sio lazima kabila lako!!
  11. ngara23

    JamiiForums Tanzania Wachaga ndo kabila waliouliwa mno kwenye mo29, zaidi ya nusu ya waliouliwa ni wachaga

    Kwanza nitoe pole Kwa watani na marafiki zangu wachagga. Hawa wenzetu wameuliwa mno, Sehemu za Kumara, Goba, Madale, Tegeta na Tabata wakazi wa maeneo hayo wengi ni wachaga na waliuliwa mno. Zaidi ya wachaga 5000 wamepoteza maisha Napata shaka kuwa waliwauwa Kwa kusikia lafudhi ya kichaga...
  12. Mussa Ramadhani Mussa

    JamiiForums Tanzania KERO Vijana wa kabila la Kimasai wanapiga watu ovyo barabarani wapitapo Arusha

    Habari zenu wakuu, Nipo hapa kuelezea Kero inayotupata Wananchi kutoka kwa vijana wa KIMASAI jijini Arusha. Vijana Hawa wamekuwa na Tabia ya kupiga, kudhalilisha, kunyanyasa na kutweza utu wa watu kila WAPITAPO kwa makundi barabarani. Juzi walimpiga bodaboda maeneo ya ofisi za Halmashauri ya...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi akishiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Jumuiya za Ukanda wa Maziwa Makuu na Nchi Wanachama

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akishiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Jumuiya za Ukanda wa Maziwa Makuu na Nchi Wanachama wa Mkataba wa Amani, Usalama na Ushirikiano kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na eneo la...
  14. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Lifahamu kabila la Wahaya

    Historia ya Wahaya Wahaya ni moja ya makabila makubwa na ya kale nchini Tanzania, wanaopatikana zaidi mkoa wa Kagera, hususan wilaya za Bukoba, Karagwe, Muleba na Missenyi. Pia hupatikana kusini magharibi mwa Uganda karibu na Ziwa Victoria. Asili ya Wahaya Wahaya ni sehemu ya jamii za...
  15. Isenye

    JamiiForums Tanzania Naona aibu kuwaambia ndugu zangu kuwa nimepata mchumba kutoka kabila la warangi

    Habari zenu? Nina mchumba tuko nae kwenye mahusiano huu ni mwaka wa nne. Sasa imefikia wakti wa kwenda kumtambulisha kwa wazee home ila naona aibu kumtambulisha kwa ndugu na jamaa zangu sababu ya historia ya hilo kabila kuwa mbaya kwenye mahusiano. Je wakuu nitumie mbinu gani kumtambulisha ili...
  16. Think2

    JamiiForums Tanzania Ni wanawake wa kabila gani wanaosifika kwa mambo kama haya?

    Apo kamfunga mumewe asitoke na mwanamke mwingine. Wanawake bana 🤣🤣
  17. W

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa DRC wadai hukumu ya kifo kwa Kabila hakuleta amani bali mvutano utaendelea

    Wakazi wa mji wa Bukavu uliyoko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokraisia ya Congo wamesema kuhukumiwa kifo kwa rais wa zamani, Joseph kabila, hakutaleta amani ambayo wanatamani, ila itaongeza hali ya mvutano. Bukavu ilivamiwa na waasi wa M23 tangu Februari 2025. Mahakama ya Kijeshi nchini DRC...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kama una mpango wa kuolewa/kuoa mtu ambaye siyo wa kabila lako, jifunze lugha ya kabila yake lkn usimwambie kuwa unaifahamu

    Hii itakusaidia kufahamu madhaifu yaliyopo kwenye familia/ukoo wake kirahisi sana wakati wa uchumba. Mara nyingi kama kuna jambo la kuaibisha au kishirikina au siri linaongelewa baina ya mchumba wako na ndugu zake ghala utaona lugha inabadilishwa. Nitoe mifano mitatu tu:- 1. Kwa wachumba...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wamakonde ndiyo kabila linaonekana ndilo lina exposure? Maana kila sehemu wapo

    Aisee nimeshangazwa sana aisee inaonekana wamakonde ndilo kabila lenye exposure sana aisee kwa hapo Tanzania maana nimeona karibia kila nchi wapo yaani wamakonde nawafananisha na wanaijeria au wakenya kwasababu huku nilipo yaani yues kwenye hili jimbo la Wisconsin kila ukikutana na wabongo wengi...
  20. kyagata

    JamiiForums Tanzania Leo nimetimiza kabila la 125 kuligegeda hapa Tanzania.

    Safari yangu ilianza mwaka 2013 Nashukuru leo nimefunga pazia na kabila la wakiguru. My dreams have come true. Thank you.
Back
Top Bottom