Umuhimu wa vyombo vya habari(media) kwa matokeo hasi ya tamaduni.

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,556
2,996
Hakuna kiumbe chochote kisiyojua umuhimu wa makutano katika jamii zote za kiulimwengu pasipo kuwa makutano hakika wengi wetu tunageishi leo yetu ndani miaka 5 ijayo,tusengejua baadhi ya mambo muhimu ya kiuchumi katika matokeo chanya ya ukuwaji wa pato la mwananchi.

Bado tusingejua nini maana ya uongozi kama tusingekuwa na muhimili huu wa serikali hakika tumepiga hatua kubwa kwenye matokeo ya kimtandao na tekinolojia zengine lakini bado tunayo changamoto kubwa inayotokana na ukuwaji huu wa teknolojia inayotishia ukuwaji mzuri wa kizazi cha tano katika ulimwengu wetu wa kidunia.

moja ya athari mbaya ni kubuniwa na kusambaza akili potofu kwa kizazi cha baadae kimsingi ndiyo jamii itakayobeba maamuzi wakati sisi tutakaposhindwa kuchukua maamuzi ,ni bahati mbaya baraka za serikali na baadhi ye media pamoja na viongozi kidini wanabariki mienendo mibaya ya upotofu unaotokana na ukuaji hasi wa kimtandao.

tusipojaribu kuziba ufa tutajenga ukuta viongozi wa serikali wamebeba maamuzi na mashauri ya mabepari kuliko kuangalia athari za kiutamaduni huku wakiicha jamii kupotoka kabisaa

binafsi nakumbusha japo sio lazima kufata ninachokiona

MHAFIDHINA
 
Back
Top Bottom