Prof. Michael Hudson Mchumi kutoka Marekani anasema kuwa sababu zinazopelekea deni la Afrika kuwa tofauti na la Marekani ni kwasababu deni la Marekani lipo katika sarafu yake (Dola)
Hivyo Marekani inaweza kujichapishia fedha zake na kulipa deni lakini Afrika deni lake halipo katika sarafu...
Afrika watu wanafanya kazi ngumu sana lakini bado kisukari ni tishio, nilikuwa Dodoma kukawa na upimaji wa Bure Cha kushangaza vijana below 40 wengi tu wana sukari.
Nikazama gugo kudadisi statistics zinatisha watu jamii ya black race wapo kwenye risky ya kupata kisukari ukilinganisha na...
Habari za muda huu wapendwa.
Maisha ni safari ndefu sana yenye milima na mabonde.
Kuna nyakati unapitia Raha mpaka unajiona hapa duniani upo peke yako.
Kuna nyakati unapitia msoto mkali mpaka unajuta kuzaliwa, lakini kila nyakati tunazopitia kwenye maisha zinabeba ujumbe na mafunzo ambayo...
Kuna vitu Dem anaweza kufanyia ukahisi kama umeigiziwa movie.
Ipo hivi Kuna Dem nilikuwa ktk mahusiano nae kwao anapoishi(Kwa mamdogo wake) siyo mbali San na mim nilipo panga. Nimedate nae kama karbu mwaka so nilikuwa namwamin San the way alivokuwa akipretend kwang.
Kuna time kama weekend...
Nilipogundua hili nikawa sasa naangalia faida zaidi katika kuzishabikia hizi teams. Hakuna mwenye akili anashabikia hizi teams. Au mwenye uwezo mzuri kiuchumi
Ukiona hawa wenyewe uwezo wapo hizi teams ujue wapo kimaslah either kiuchumi au kisiasa. Sasa wewe bwege unaweza kaa hapo unakazana na...
Hii vita "SHKAMOO na "MAMBO" imekuwa ngumu sana
Unaweza kukuta jinsia ya ke imejipodoa au tuseme imejitunza sana kufikia mahala ule uzee au umama hauonekani na unapokutana nae kwa mara ya kwanza ukimwambia "mambo" anaitika "poa" au anaweza asiitikie kabsa lkn mtu ambae anamfahamu kwa muda mrefu...
Jamaa yangu ana umri wa miaka 36 amepambana sana kupata mwenza, lakini akianzisha uchumba na Mwanamke hawafiki mbali uchumba unakufa. Hii itakuwa ni shida gani! Au ni nguvu za giza zinamtesa?
Uelekeo ni mzuri katika ustaarabu wa kuweza kuyasuluhisha mambo bila kupigana kama ilivyozoeleka zamani.
Ni kupevuka kwa akili na kupenda amani kumefanya tuweze kutumia midomo bila silaha, ngumi, mateke, vibao, n.k.
Nakumbuka hapo zamani kulikuwa na mambo ya ubabe wa kishamba sana, kigezo cha...
Kabila la Hamer na desturi ngumu
Kabila la hamer linalopatikana kusini mwa nchi ya Ethiopia ndilo kabila linalosifika kudumisha mila na desturi ya kuthibitisha uwezo wa mwanamke kuvumilia magumu kwenye ndoa!
Inasemekana mwanaume kabla hajatoa mahari inabidi ampime mwanamke anayetaka kumuoa...
Wapishi wa nyama katika migahawa, Bar, hotel, sherehe na hata majumbani hakikisheni nyama zinaiva vizuri na kuwa laini kabisa. Iwe nyama ya kuchemsha, kuchoma au kukaanga nyama inatakiwa iwe laini kabisa uweze kuichambua au kuitoa kwenye mfupa au kuitenganisha kwa kijiko, uma au mkono mmoja tu...
Mwanzoni Mamelody waliweka kiingilio Rands 20 .
Then Injinia wa mpira, Hersi Said akatangaza kiingilio bure kwa kila shabiki wa Yanga atakae ingia uwanjani loftus kuwaspoti Yanga ( umewekwa utaratibu wa kuwalipia mashabiki wote wa Yanga watakao ingia uwanjani leo)
Mamelody wametangaza...
1. Ama kweli mwana mkaidi hafaidi hadi siku ya iddi.
2. Amekuwa akiambiwa Israel mwezi wa 6 sasa, kiungwana kuachana vita, kuacha shari atafute mapatano ya kudumu.
3. Red sea kuna wa houthi, kaskazini kuna hezbollah anaparurana nao akiambiwa wazi: "ni mwendo mdundo hadi tu vita Gaza vikome."...
Umaskini ni fedheha. Kwenye maisha yako yote chukia umaskini kwa kila hali. Fanya jambo lolote la halali kujiondolea umaskini kwenye maisha yako. Ibara ya 25 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetamka wazi namna ya kuondokana na umaskini. Hata Mwenyezi Mungu mwenyewe hataki viumbe...
Kwa heshima kubwa na taadhima nawasalimu katika hali zote
Mimi ni kijana wa miaka 27, elimu yangu ni ya kidato cha sita, niko Dar es salaamn. Nilisoma chuo kikuu, sikufanikiwa kumaliza kwa sababu ya changamoto za kiuchumi.
Ninaomba kazi ili nipate japo pesa ya kula na ya mahali pa kuishi kwani...
Kama mtanzania Kila Kona ninayopita baada ya mvua kunyesha nakuta mlundikano Wa MAKOPO ya vinywaji mbalimbali kutoka Kwenye makampuni makubwa hapa nchini.
Tukitambua kuwa hizo ni Moja ya taka ngumu ambazo haziharibiki kabisa.
Nina mapendekezo mengi namna ya kufanya MAKOPO haya yaweze kuisha...
Ni Mchezaji mwenye Nuksi hasa akivaa Kitambaa cha Unahodha au akichaguliwa kwenda kufanya Pre Match Meeting na Watu wa Media.
Naheshimu mno Kipaji chake na Uwezo wake wa kucheza Mpira ila huwa sipendi awe anapewa Majukumu ya Uandamizi pale Kikosi kikiwa na Jukumu Kubwa kwani ana bahati mbaya...
Hii ni siku ambayo Cercei alienda kusikiliza hukumu yake na mfalme ambae alikuwa ni kijana wake akafanya maamuzi kuwa mama yake ana makosa na kesi yake itaamuliwa sio kwa trial by combat.
Hii ilimfanya baadae Cercei aje na mpango uliowafuta kabisa wale waliokuwa mahakamani kwa mlipuko mkali na...
moja, ni
timu bora kabisa barani Africa, Simba S.C.
hawa jamaa, wana ijumaa moja ngumu sana kiroho na kimwili. Ijumaa ya kushika moyo, huku jua nalo likififizwa na wingu zito la roho ya itakuaje uwanjani, dhidi ya mafarao wagumu na wabishi sana wa misri, ambao hawapendi kabisa nyavu zao...
Miaka 11 iliyopita nilimaliza form 4 nikakosa nafasi ya kuingia form 5
Nimestay street 11 years nikasema2024 ni muda wa kuanza kutimiza ndoto zangu
Binafsi I live in another dimension hua sikati tamaa ndo maana nmejiita riskytaker
Nina misimamo mikali sana mixer maamuzi makali ambayo...
Nilikuwa najipa moyo kwamba unaweza kupata mwanamke mwenye sifa angalau 80% ya vile vigezo muhimu vya kuwa mke bora. Nikasema kama wapo wanawake wazuri wa sura zenye mvuto, lakini kwa nini usipate mwenye mvuto akawa pia na tabia nzuri, mnyenyekevu, mtiifu, mwenye bidii nk? Nikaona ngoja niingie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.