full

Full contact karate is any format of karate where competitors spar (also called Kumite) full-contact and allow a knockout as winning criterion.

View More On Wikipedia.org
  1. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Range Rover EV imekuja officially. Imekuja na range ya 600 km kwa full charge!

    EVs are here to stay. JLR wametangaza officially RR EV baada ya teasers za miaka na miaka, na utaanza kuuzwa mwakani, 2027. Kwanza muonekano wa nje na ndani, ni karibia sawa na RR ya ICE. Wao JLR wamesema "it will look, feel and drive like normal RR". Kuhusu Bei ni £154,070, inakuja na dual...
  2. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship linakwenda kupata uamsho wa kipekee sana na litakuwa ni eneo la makimbilio

    Huu siyo unabii ila ni uhalisia, ni jambo ambalo limeshafanyika katika mawanda ya kiroho. Mtumishi wa Mungu Askofu Zachary Kakobe atakuwa na nafasi ya kipekee sana katika uamsho huu. Sina shaka kwa sababu nina uhakika pasi na shaka kuwa na nilichokiona. Kazi ni kwetu tunaosubiria uhalisia...
  3. David ngayanimo

    JamiiForums Tanzania Full interview na msanii bab lee mzee wa kizizi

    Ukwaju wa kitambo hapa 0767 542 202 Akiwa na msanii bab lee full story fuatilia interview hii
  4. David ngayanimo

    JamiiForums Tanzania Ukwaju wa kitambo na msanii dollo full interview

    Full interview na msanii dolo kutoka tmk & wachuja nafaka
  5. David ngayanimo

    JamiiForums Tanzania Full interview na Afande Sele kuhusu Watu pori & Ghetto boys

    ukwaju wa kitambo na afande sele mwaka 2022
  6. Da Dona

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Kampala Traffic Encounters a Manchester United Fan After Full Time

    Video: You supported Man United and now the whole road is against you
  7. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Kutoka High Court - DSM: Submission ya "No Case to Answer" ya Tundu Lissu (full text) baada ya Jamhuri kufunga ushahidi wao leo 17/8/2026

    Baada ya upande wa Jamhuri kuishia njiani kwa kuleta mashahidi 17 tu kati ya 30 waliopaswa kutoa ushahidi wao dhidi ya kesi iliyopewa Jina la "kesi ya uhaini" dhidi Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mh Tundu Lissu, hatimaye leo Tundu Lissu ameanza kujitetea. Kwa kifupi sana, utetezi wako umejikita...
  8. figganigga

    JamiiForums Tanzania Full Text: Ripoti ya Luhaga Mpina aliyowasilisha madai kuhusu uchaguzi Mkuu wa 2025 na kuitaka Jumuiya ya Madola kuchunguza

    Aliyekuwa mgombea urais wa ACT-Wazalendo katika uchaguzi wa mwaka 2025, Luhaga Joelson Mpina, aliwasilisha taarifa kuhusu hali ya kisiasa Tanzania kwa mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Rais mstaafu wa Malawi, Dkt. Lazarus Chakwera. Katika taarifa hiyo ya Aprili 16, 2026, Mpina...
  9. PROFOUND NOTION

    JamiiForums Tanzania Aisee kuna mtu yupo Velvet Sinza hapa, unayaona ninayoyaona sasa hivi? Ni full kufuru aisee

    Yaani ni makebo juu ya makebo, tena hadi mtu anakatakiwa usoni kabisaa sura haionekani😁 Ngoja niwahi nyumbani aissee
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Nini cha kufanya usiku wa full moon?

    Baadhi ya mambo ambayo watu hufanya ni: Kutembea au kufanya matembezi mafupi kwa mwanga wa mwezi (mahali salama). Kupiga picha za mwezi na mandhari ya usiku. Kupiga kambi au kutazama nyota. Kutafakari, kuandika malengo au kutumia muda wa utulivu. Kuhusu imani kwamba full moon huongeza nguvu za...
  11. DesertStorm

    JamiiForums Tanzania Marudio ya mechi, Full game nitaipataje wakuu?

    Wakuu kwema lakini? Nataka nicheki game la Morocco na wazungu full game, acha pes. Ni really yenyewe! Naombeni mnisaidie kwa hilo. You tube kila nikifungua nakutana na clip not really Morocco forever ♥
  12. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Pikipiki mpya za Umeme Verge TS, zina range hadi ya kilometa 600 kwa full charge. Bei yake hadi Tsh. Mil 130 tu!

    Verge Motorcycles, kutoka Finland maarufu kwa kutengeneza pikipiki za umeme zisio za hubs (kwahiyo haina nyororo wala belts, na motor iko connected na tyre ya nyuma direct) wamekuja na pikipiki tatu za Verge TS. Verge TS: Hii ndio base model, ina 107 hp, 0-100 kwa 4 sec, top speed 180 km/h...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Full Text: Mabadiliko ya Muswada wa Senate ya Marekani kuhusu Tanzania ni wa moto zaidi

    Baraza la Seneti limegundua yafuatayo: Tanzania ni nchi inayoendelea kugandamiza, uhuru wa demokrasia, uhuru wa wanaharakati, uhuru wa watu wake na uhuru wa dini Tanzania inatishia maslahi ya Marekani ya uwekezaji. Baada ya uchaguzi na mauaji ya oktoba 29, bado Tanzania inaendelea kuteka...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Full Text: The Reassessing the United States-Tanzania Bilateral Relationship bill

    Kaa mkao wa kula nakuletea full text ya mswada kwenye huu uzi. Kama wewe ni MwanaCCM read at your own risk.
  15. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Honda wamezindua 4th Gen Insight: Sasa hivi ni full EV sio tena hybrid kama matoleo ya nyuma!

    Najua inawezakua ni habari mbaya kwa wengine. Ila ndio hivyo. Honda wamezindua generation ya nne ya hybrid yake pendwa Honda Insight, ila sasa wameachana na hybrid moja kwa moja wameenda EV. Kwahiyo Insight EV jina jingine itaitwa Honda e:N2 kwa masoko ya China na Thailand. Kwa kuanza...
  16. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Halafu Mungu aingilie kati watu tusifanye sherehe? Thubutu! Yaani ntashangilia hadi nizime, nikiamka naanza upyaaaaaaa!

    Wakuu, Si hata Mungu mwenyewe anaona vile wanatusogezea sabufa na wali wa hitima! Yaani yeye na genge lake wakiendelea kuanguka mmoja baada ya mwingine mabosi huo msiwe na hiyana, Boss usitubanie siku hiyo, tujipatie siku zetu mbili za kusherekea kwa kichwa😌😌 Siku hiyo ntapiga maji hadi...
  17. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Mercedes Benz C Class Full Electric yazinduliwa!

    Mercedes Benz wamezindua C Class with EQ Technology, ambayo ni sedan ya umeme tu. (Haina maana kwamba C Class ya ICE imekufa, hapana, ipo)! C Class with EQ Technology Mercedes waliiteaser mwaka jana walivokua wanazindua GLC with EQ Technology, ila officially imezinduliwa jana tar 20 April...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Heche Leo: Mwenye full hotuba atuwekee hapa

    Please mwenye hotuba / press Conference ya leo aniwekee hapa.
  19. NGAYANIMO

    JamiiForums Tanzania Full interview na Afande Sele kuhusu gheto boys & watu pori

    Interview na Afande Sele akizungumzia watu pori na gheto boys akiwa na c.e.o wa ukwaju wa kitambo
  20. Kicheche mkali

    JamiiForums Tanzania Hii ramani rahisi sana vyumba viwili...hadi kuhamia inagharimu TZS Million 22

    2 Bedroom master ensuite hidden roof modern design 🏡 Kwa mahitaji ya Ujenzi na ramani na mafundi wa aina zote karibuni kwenye group zetu.....Hapa utatoshelezwa na utatoka mtu mpya! 💬 Chat nasi moja kwa moja (WhatsApp): wa.me//255789005562 Jiunge nasi kwenye channel yetu ya WhatsApp...
Back
Top Bottom