Huwa sipendi sana Shomary Kapombe kufanya Pre Match Meetings pale Simba SC ikiwa na Mechi ngumu Kesho yake

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,631
108,990
Ni Mchezaji mwenye Nuksi hasa akivaa Kitambaa cha Unahodha au akichaguliwa kwenda kufanya Pre Match Meeting na Watu wa Media.

Naheshimu mno Kipaji chake na Uwezo wake wa kucheza Mpira ila huwa sipendi awe anapewa Majukumu ya Uandamizi pale Kikosi kikiwa na Jukumu Kubwa kwani ana bahati mbaya moja Kubwa ya Nuksi / Nyota Nyeusi.

Otherwise kila la kheri Simba SC leo.
 
Nani alifaa awepo kwenye press?
 
Mawazo ya mauchawichawi
 
images (1)-1.jpeg
 
Wasio na Historia ya Nuksi kama Saido Ntibanzokinza, Clatous Chama na Mohammed Hussein Tshabalala ambaye leo ndiyo anabeba Mzigo wote wa Babu kutoka Zanzibar. Sitaki Swali lingine tafadhali.
Mlikuwa mnakosea kumpa left footer mzigo wa Babu huko nyuma . Mguu wa kushoto ni mguu mtakatifu . Mzigo wa Babu muwe mnawapa wanaotumia mguu wa kulia kucheza mpira .
 
RESPECT mkuu,kumchukia binadamu mwenzako kwa kiwango hiki sio vema,Mr. Kapombe ni gentleman sana,down to earth guy,ngoja ni share na wewe siri moja,baada ya Kapombe kuumia kwenye mazoezi na Taifa stars pale Bloemfontein (career threatening one),ni watanzania regardless ya upenzi wa timu yao ndio walishirikiana to make sure mchezaji huyu anatibiwa na kupata confidence ya kucheza tena mpira kwa kiwango cha juu,Kapombe hana nuksi yeyote ni mtu safi sana ,binafsi namjua mno,kila na heri Simba ingawa sio shabiki
 
Huwezi kumchukia Kapombe Kwa uungwana wake.
 
Uko sahihi kapombe mtu sana tena mstaraabu na mchapakazi hasa yeye zimbwe na bocco
 
we sangoma leo mnakaa mutambue kabisa wamisri ni wachawi zaidi yenu,dini zenu zote zimepita pale wachawi kiboa wamepita pale hawana la kupoteza.

mnagongwa babu ameona goli tatu mnapigwa.
 
Ni Mchezaji mwenye Nuksi hasa akivaa Kitambaa cha Unahodha au akichaguliwa kwenda kufanya Pre Match Meeting na Watu wa Media.

Naheshimu mno Kipaji chake na Uwezo wake wa kucheza Mpira ila huwa sipendi awe anapewa Majukumu ya Uandamizi pale Kikosi kikiwa na Jukumu Kubwa kwani ana bahati mbaya moja Kubwa ya Nuksi / Nyota Nyeusi.

Otherwise kila la kheri Simba SC leo.
oh kumbe,ila kwa upande wa yanga sina imani tunafungwa
 
Back
Top Bottom