Utawasikia kwenye mialiko yao redioni, kwenye TV na vipeperushi watangaza mialiko uende kwenye makusanyiko yao wanasema hakuna kiingilio, kiingilio ni bure! Ukifika huko unahubiriwa habari za kutoa sadaka na madhara utakayopata kama hutoi! Unachotoa kinaingia kwenye mfuko wa mhubiri na mke/mume...
Hii timu kweli huu ubingwa wanaupata kihalali au wanatumia uchawi wa kizungu kwa timu kinzani.? Haiwezekani timu inachukua ubingwa 3 years consecutive lakin mashabiki wake bado wanashabikia mtandaoni na hawana imani zaidi ya timu yao.
Kutwa kubishana mshahara wa Azizi Ki mara azizi anatoka na...
Wadau hamjamboni nyote?
Soma maneno ya msanii mkongwe nchini Ferooz
"Tulianza show kwa kulipwa Tsh.30,000 na kiingilio ilikuwa ni buku jero mpaka buku getini" - Feroozz mkongwe Bongofleva akiongea EA Radio
Sisi Yanga huwa uwezo wa kuingia uwanjani wengi hawana. Mara nyingi mpaka iwe bure au kiwango cha chini sana. Sijajua ni utamaduni wetu au ni nini.
Simba wanapenda sana kwenda Uwanjani. This time naona sababu sisi ndo host ni kama wana kamgomo flani. Hawaoneshi kabisa nia ya kuja uwanjani. Na...
Mwanzoni Mamelody waliweka kiingilio Rands 20 .
Then Injinia wa mpira, Hersi Said akatangaza kiingilio bure kwa kila shabiki wa Yanga atakae ingia uwanjani loftus kuwaspoti Yanga ( umewekwa utaratibu wa kuwalipia mashabiki wote wa Yanga watakao ingia uwanjani leo)
Mamelody wametangaza...
Mechi ya Yanga na Mamelod imenikumbusha mchezo wa rede ambao huwa hauna viingilio. Imenikumbusha pia disco ambazo viingilio huwa bure kwa wanadada warembo.
Hili jambo viongozi na mashabiki wa Yanga waliangalie. Waache kuwafanyia mashabiki dhihaka ya kuwalipia viingilio kama wanakuja kutazama rede.
Tujikumbushe Movie Pendwa na mabanda umiza ya video wakati huo miaka ya 80-90 wa screen chogo na VHS. Nakumbuka wakati nikiwa Mbeya Kuna sehemu ilikuwa inatwa kwa Mponzi watu walikuwa wanavaa hata hewa hamna sehemu nyingine panaitwa K.K.K kwa Mzee mmoja alikuwa anaitwa Mwakilembe ya Yasini huko...
Mimi ni mwanachama kabisa wa Simba sio Tu shabiki...
Naona kama lengo lilikuwa kuonesha uwezo wa Simba kujaza uwanja ...kulinganisha na Yanga ambao walishindwa ...Simba wangeweka kiingilio sawa sawa na Yanga ..... kiingilio cha elfu 10 minimum....
Hapo sasa ingekuwa nafasi nzuri ya kuonesha...
Ummat halaiki ya wapenda kandanda nchini Afrika Kusini watapata fursa ya kuangalia mechi ya Marumo vs Yanga bureeee.
Hii ni habari mbaya, maana ninavyowajua wasauzi watajazana uwanjani na mavuvuzela ya kutosha na kitachofata inaweza kuwa mauaji ya halaiki kwa Yanga.
Mimi kama shabiki nguli wa...
Imepita miaka 35. Nimekumbuka kitu kimoja. Mwaka 1988 enzi hizo Ivon Chakachaka akiwa kwenye peak,kulikuwa na mmakonde mmoja akiitwa Dk Khalid Alex mbunge wa Mtama by then,sina uhakika na jimbo ila ni huko kusini
,alikuwa na ukumbi kule kibamba Luguruni maarufu kama Makondeko.
Ule ukumbi...
Wanaume wa Dar kwa hali ngumu atakupenda mtapiga story halafu muda kidogo utasikia babe nataka nijue kama unanipenda kweli naomba elfu 35 ili na wewe nikianza kutoa zangu ujue ni za kudumu. Nitakutunza mpaka ufurahi.
So ukitaka mpenzi Dar lazima ujitoe kipesa atakuambia good day.
Habari wanaJF, mimi ni Mtanzania nataka kufahamu gharama za kutalii Ngorongoro national park (kiingilio, Malazi na Chakula) maana natamani kwenda ila nahofia nisije kuumbuka kwenye bajeti.
Kwa mapenzi makubwa kwa mashabiki wa timu hii kubwa zaidi nchini, Rais wa heshima, @moodewji amepunguza kiingilio cha eneo la Mzunguko kutoka Tsh. 5,000 hadi Tsh. 3,000.
Nunua sasa tiketi yako. #NguvuMoja
Wakuu,
Jana nilipata fursa kuitumia siku ya kumbukizi ya maisha ya Mwalimu kuzunguka zunguka vitongoji vya hapa Dar na mimi, nikapita mitaa ya Gezaulole - kigamboni aisee ni balaa - Mji umejengeka swafi, majumba makali makali nikawaza sana moyoni mwangu kwamba huku si ndiko watu walikuwa...
WAKATI MAONYESHO YA 7-7 YAKIENDELEA UWANJA WA MWL. NYERERE KILWA ROAD NAJIULIZA HIVI IWEJE TANTRADE WAWEKE VIINGILIO KWA ANAEINGIA HUMO UWANJANI?
WAKATI HAKUNA HUDUMA YOYOTE (mfano vyoo, maji nk) wanayotoa kwa waonyeshaji au wanunuzi? je hawaoni kuweka kiingilio kunafanya watu wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.