ngumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Kiingereza kweli ni ngumu! Mtangazaji wa Crown FM apata homa akiwa anawahoji wageni waliomshtukiza studio

    Imagine Mimi nisiyejua kiingereza nimeona aibu kwa niaba ya mtangazaji huyu, nasikia tu you,you, you gonna... Kiufupi ni ngori! 🙌 Kiingereza kweli ni kumanyoko! 😎
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Ni Ngumu kujua anayeteka Watu Nchini, Vyombo vya Ulinzi vikibaini vitaleta Taarifa, Wananchi waripoti taarifa

    Odemba: Taarifa hizo zipo, ndio na sisi tunaziona. Kwamba watu wanatekwa hapa nchini? Ndio, watu wanapata changamoto. Nani anayeteka watu hapa Tanzania? Kihongosi: Ni vigumu kujua jambo hilo ndugu Odemba, kwa sababu sisi kama Chama Cha Mapinduzi..." Odemba: Kama chama tawala mmeshindwa...
  3. The Ghost Scripter

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa nyakati ngumu

    Zungumza na Mungu usiku wa leo mwambie "Mungu nimekuletea kilakitu kilicho ndani ya moyo wangu, wewe unayatambua mawazo yangu, hofu na tumaini langu, lakini nahitaji niyakabidhi kwako. Uzito wa hofu niliyonayo Kuna wakati unanielemea, na ninaomba uniongoze katika wakati ambao siioni njia...
  4. idiomer

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni ngumu watu kufuata utaratibu katika nchi zinazoendelea?

    Kufuata utaratibu ni ngumu. Mfano stendi ni magufuli watu wanapaki shekilango! Na mambo mengine mengi.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali...

    Nahitaji msaada seriously niliweza kua na biashara mahali na ilikua kiasi cha kuweza kuitegemea na kua na ndoto. kwa bahati mbaya wakati wa maandamano mwaka jana niliibiwa kila kitu. Hio hali ilinipelekea kwenye frustration mbaya. Namshukuru Mungu baada ya kukaa sawa kisaikolojia na kukubali...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini nyama choma nyingi bongo ni ngumu sana?

    Ni aina ya mifugo au watu hawajui kuchoma nyoma ? Nyama choma inatakiwa iwe laini uweze kuila hata kwa kijiko
  7. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Yanga tumecheza match ngumu. Pamba walichezesha wachezaji 6 ambao ni under 20

    Kwa hii Team Simba wangekandwa kabisa.
  8. Rebuild

    JamiiForums Tanzania Life ngumu mwanangu, lakini kesho yetu ipo

    Katika haya Maisha kuna up and down nyingi saana. Unajikuta unapata Hela lakini mwisho wa siku inapotea unaanza upya Tena na kujipa Imani utatoboa Tena. Huwa simcheki bro anaekoto makopo ili aende akauze kwajili ya kupata mkate wake.Kumbuka hela haitaki mwanaume muwoga kwahiyo bro acha uwoga...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Addiction ipi ina arosto kali ukiikosa hata kwa siku moja kiu yake ni ngumu kuikabili?

    Kucheza kamari - Kubeti mpira siku zenye mechi, Kindege, n.k. Pombe Sex Punyeto Sigara Bangi Ugoro Pombe nimewahi kushuhudia kuna jamaa hio siku arosto zilimkamata sana na hana pesa, akili zilifyatuka aliiba simu ya rafiki yake. hakupoteza muda, alienda kuiuza kwa bei ya kutupa, halafu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwakani 2027 William Ruto ni ngumu kupenya

    Kwa hiyo kolabo ya wanasiasa wa upinzani naona Kasongo na Soprono watapelekwa nyumbani asubuhi mapema. Mmoja Sugoi mwingine Tharaka. Labda washindwe kuwa na umoja mpaka mwisho ila kwa Wakenya na imani nao kidogo fofauti na wanasiasa wa upinzani hapa kwetu.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Generali wa ngazi za juu anashauri Marekani iachane na vita,Hali ni ngumu.

    Hali ya vita kwa kweli sio nzuri kwa upande wa Marekani. Kama Marekani ingekua na dalili za kushinda vita basi mambo yangekua shwari,lkn inaonesha Hali sio shwari kwa Mzeebaba Marekani. Malalamiko yamekua mengi mno kutoka Kwa wanachi wa Marekani kutaka nchi Yao iondoe majeshi vitani na Iran...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Generali wa ngazi za juu anashauri Marekani iachane na vita,Hali ni ngumu.

    Hali ya vita kwa kweli sio nzuri kwa upande wa Marekani. Kama Marekani ingekua na dalili za kushinda vita basi mambo yangekua shwari,lkn inaonesha Hali sio shwari kwa Mzeebaba Marekani. Malalamiko yamekua mengi mno kutoka Kwa wanachi wa Marekani kutaka nchi Yao iondoe majeshi vitani na Iran...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msidanganyike watanzania , pesa ya madini ni pesa ngumu na kuipata kwake ni mtihani

    Baada ya harusi ya huko sijui katoro ,watanzania wengi wamehama na akili zao na kuamini pesa inapatikana kirahisi kama mtu atajichanganya kuingia kwenye chain ya biashara ya madini . Ni kweli huko pesa inapatikana sawa na maeneo mengine tu , yaani huko pia kuna hitaji commitment, Imani na...
  14. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Abiria wanaopenda siti za mbele Wana roho ngumu kinoma

    Sio ubinadamu wa kawaida unakaa siti ya mbele mfano kutoka Dsm to mwz Kila anachofanya dereva unakiona speed kali na overtakes za kujitoa mhanga unaangalia tu na bado upo kawaida tu. Na wakati wa kurudi unawahi tena siti ya mbele. Brother unaweza kuvaa mabomu na kujilipua wewe ni gaidi.
  15. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Ndoa kwa GenZ na Millennials zitaendelea kuwa ngumu ;

    Kuanzia watu wenye miaka 33 ambao hawajaingia kwenye ndoa Kuna uwezekano wakashindwa kuzimudu ndoa kabisa na kupelekea ongezeko la single mothers nchini Sahivi maisha yanaenda Kasi sana ebu fikiria matukio haya yafuatayo 1;Ndoa kwa njia ya harus za kifahari 2; Baby shower 3; 40 ya mtoto...
  16. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Sometimes tufundundishane tu Kwa njia ngumu ili heshima iwepo, huyu nyangwisi hatanisahau 😎

    Mwaka jana, mwezi wa 4 nikiwa katika harakati za kueneza kampeni ya kataa ndoa hapa mtaani, alitokea bishoo mmoja na kusema, "bro wewe unajifanya kataa ndoa kumbe jogoo lenyewe haliwiki, unajifanya kataa ndoa ili kuficha ugumba wako.....hivi wewe unaijua raha ya ndoa?". Aisee! Ile kauli...
  17. Panctuality

    JamiiForums Tanzania Anusuriwe kabla kesi haijawa ngumu, mapenzi shikamoo!

    Habari na poleni na uwajibikaji! Kuna jirani yangu (Mtanzania) ndoa ya miaka 3 mpaka sasa, na alimuoa huyo mwanamke (raia wa Zambia) tayari mke akiwa na mtoto aliyezalishwa akiwa nyumbani kwa wazazi na mwanaume mwingine. Wakiwa wameoana mtoto aliachwa kwa wazazi wa mwanamke, kufikia mwanzoni...
  18. Leejay49

    JamiiForums Tanzania Sema kuna muda kuwaamini wanaume ni ngumu sana

    Hello guys,. Hope mko poa kwa ambao mnapitia changamoto zozote ni maombi yangu Mungu awafanyie wepesi wote mkae sawa,. Referring to thread ya Dr. Mariposa mwanaume anaweza akutongoze hata muwe mnaheshimiana namna gani,. Yalinikuta ila huyu hakunitongoza. Huyu sijui nimwite mkaka au mbaba (...
  19. Sprouts pre School

    JamiiForums Tanzania Degree ngumu kusoma hapa Tanzania

    Na hizi ndo bachelor degrees zinazohitaji uwezo mkubwa wa kufikiri na akili nyingi zaidi duniani 1. Bachelor of Medicine and Bachelor of Surgery (MBBS) – Udaktari Masomo mengi, muda mrefu wa kusoma, na mafunzo ya hospitali. 2. Bachelor of Aerospace Engineering – Uhandisi wa Anga Inahitaji...
  20. PROFOUND NOTION

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini mdada wa aina hii asikukubali tu kwa hali ya kawaida uliyonayo mjenge pamoja maisha? Kwanini sisi wapambanaji wa chini ni ngumu kuwapata?

    Kwanini dharau zinakuwa nyingi kutoka kwa wadada wa aina hii? kuna shida gani tukajenga wote maisha tokea chini? Kwani ni lazima unikute na gari tayari? Hatutaki wa aina yenu wa telegram, tunataka mkiwa warembo mtukabalie na tutawafanyia makubwa mambo yakiwa makubwa.
Back
Top Bottom