JUMA KUU GUMU SANA LA MAJONZI NA VICHEKO KWA CLUB SOKA2 ZA TANZANIA.

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
8,173
11,577
moja, ni
timu bora kabisa barani Africa, Simba S.C.
hawa jamaa, wana ijumaa moja ngumu sana kiroho na kimwili. Ijumaa ya kushika moyo, huku jua nalo likififizwa na wingu zito la roho ya itakuaje uwanjani, dhidi ya mafarao wagumu na wabishi sana wa misri, ambao hawapendi kabisa nyavu zao kuguswa.
Je, litakua juma la mfulizo wa masikitiko ya kimwili na kiroho kuelekea sherehe kubwa kabisa za pasaka, au ni furaha, shangwe na parade la kibabe sana mitaa ya msimbazi? GOD BLESS SIMBA..

wakati huo watani wao wa jadi, Yanga Africa, timu imara na tishio zaidi barani Africa kwasasa, wakiwa katika tafakari ya utulivu mtakatifu, kuwasubiri bafana bafana masandawana, na hapo sasa ndipo itajulikana, kama ni kweli Jiwe walilo Kataa Waashi Limekua Jiwe kuu la Pembeni ama Laaa...
GOD BLESS YANGA..

dominica njema ya matawi,
kila la kheri Simba na Yanga...
 
Back
Top Bottom