mila na desturi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania 'Mila na Desturi' za Mtanzania ni zipi?

    Mila na desturi za Mtanzania ni zipi? Mataifa yenye makabila mengi na dini nyingi nayo huwa na mila na desturi zake ?
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Samia: Neno “Demokrasi” lisituchafulie nchi zetu, mila na desturi zetu

    Rais Samia Suluhu Hassan wakati akizungumza katika Kongamano la biashara baina ya Tanzania na Kenya, JNICC, Dar es salaam amesema Neno Demokrasi lisichafue nchi zetu, wala mila na desturi zetu Soma Pia: Samia: Nimeongea na Rais Ruto, wale watoto wetu watovu wa adabu, wakija kwako chapa mikwaju...
  3. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana kuona Dira 2050 Haijazingatia Suala la Maadili, Tamaduni, Mila na Desturi Kwa Kizazi ambacho 2050 ndio watakua Vijana !!

    Kwanza nimeumia, nimebubujikwa na Machozi kama Lucas Mwashambwa Chawa wa mama abubujikwae Machozi ya Furaha Mama akigawa Baiskeli huku Utekaji ukishamiri. Unaweza jiuliza Hawa Wazeee waloindaa Dira hii, ambao wengi 2050 watakua wamekufa, wamewaza ni aina gani ya Kizazi watakachotuachia...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Tarehe 15.5 iwe siku ya kuadhimisha MILA na DESTURI kwa nchi za Afrika!!

    Mei 15 kila mwaka nchi ya Burkina Faso inaadhimisha siku ya mila,desturi na tamaduni. Siku hii ni fursa ya kuonesha vyanzo vyenye rutuba vya maarifa ya mababu zetu ili kuhamasisha upendo wetu kwa nchi zetu. Urithi uliorithiwa kutoka kwa mababu zetu ni ngome yetu. Natumai kwamba kupitia sherehe...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa Serikali yetu kuhusu azimio la bunge la EU. Mila na desturi za Tanzania ni zipi? Hatukubaliani na Mila potofu kama utekaji, uuaji na umungu

    MSIMAMO WA SERIKALI YETU KUHUSU AZIMIO LA BUNGE LA EU. MILA NA DESTURI ZA TANZANIA NI ZIPI? HATUKUBALIANI NA MILA POTOFU KAMA UTEKAJI, UUAJI NA UMUNGUMTU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Tunajua kila taifa na jamii inamila na desturi zake. Kila familia ina desturi zake. Sio kosa...
  6. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Mambo 8 Ambayo Huenda Hukuyajua Kuhusu Mila na Desturi za Jamii ya Wamaasai

    Wamaasai ni kabila la Wanailoti wanaoishi Kaskazini, Kati na Kusini mwa Kenya na Kaskazini mwa Tanzania. Wao ni miongoni mwa wenyeji wanaojulikana zaidi kimataifa kutokana na makazi yao karibu na mbuga nyingi za wanyama za Maziwa Makuu ya Afrika, na mila na mavazi yao tofauti. Wamaasai...
  7. Epateletech

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa mtoto kuumwaumwa na mila

    Kuna uhusiano gani wa mtoto kuumwa umwa mara achemke mara infections yaani taflani nakosa raha mkienda hospital hana ugonjwa mtoto anakaribia mwaka kuna mtu kanambia eti nimpeleke nyumbani nakozaliwa atapona.
  8. Fyn b0y

    JamiiForums Tanzania Kurejesha Mila na Desturi za Tanzania Katika Karne ya Digitali

    Je, Tunaweza Kuweka Utamaduni Wetu hai
  9. I

    JamiiForums Tanzania Tabia ya ulevi uliokidhiri wa Pombe za Kienyeji kwa Vijana uangaliwe Kagera, naona unachangia kufifisha nguvu kazi ya Taifa

    Pombe za Kienyeji ni miongoni mwa vyanzo vya mapato ambavyo vimesaidia familia nyingi za 'Nshomile' kupata elimu, leo hii wapo maprofesa, Daktari, Injinia, Walimu na Wafanyabiashara ambao misingi yao ya kuinuka umetokana pombe hizo. Kwa jamii ya Wanakagera kulingana na mila na tamaduni...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Akina Mama kushukuru kwa kugalagala chini ni Mila ya Mikoa ya Mbeya, Ruvuma, Mtwara na Lindi hivyo Kaskazini msiteseke!

    Baada ya waziri Mhagama kugalagala mbele ya Mpendwa Wetu Mh Rais Samia akimshukuru kwa misaada ya miradi jimboni wako Watu wameshangaa Sasa kwa taarifa yenu hiyo ni Mila ya Kawaida Kabisa kule Mbeya, Ruvuma, Lindi na Mtwara Mlale Unono 😀🌹
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awataka Wazanzibari kutunza Mila na Desturi zao. Wamaasai hawahusiki?

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa wito kwa jamii zinazoishi maeneo yenye vivutio vya Utalii, kuendeleza mila na desturi za maeneo hayo ili kulinda heshima ya mila hizo na kuendelea kuvutia utalii. Rais Samia ametoa wito huo leo, wakati akifunga mafunzo ya...
  12. MrfursaTZA

    JamiiForums Tanzania Waafrika, kumbukeni Mila na Desturi zetu

    Waafrika wa leo wamekuwa dhaifu kiasi cha kushukuru na kuthamini viumbe wa mawinguni, ambao hawajawahi hata kuwaona, bali wamesikia tu kupitia watu wengine. Wengi wa watu hao ni wakoloni, wazungu na waarabu, ambao walileta imani hizi. Kondoo wa dini wanapata shida kubwa wanapoulizwa maswali...
  13. MrfursaTZA

    JamiiForums Tanzania Waafrika, Kumbukeni Mila na Desturi Zetu

    Waafrika wa leo wamekuwa dhaifu kiasi cha kushukuru na kuthamini viumbe wa mawinguni, ambao hawajawahi hata kuwaona, bali wamesikia tu kupitia watu wengine. Wengi wa watu hao ni wakoloni, wazungu na waarabu, ambao walileta imani hizi. Kondoo wa dini wanapata shida kubwa wanapoulizwa maswali...
  14. P

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mpango wa kuhifadhi mila na Desturi za Kitanzania

    Moja ya changamoto kubwa nchi Tanzania ni mmomnyoko wa maadili kwa watanzania hasa vijana wengi wa kizazi hiki unaotokana na ukuaji wa teknolojia ya habari na mawasiliano(UTANDAWAZI). Tukiwa kama Taifa linaloendana na mabadiliko haya ya dunia jamii ya Tanzania haina budi kuandaa mikakati...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Nini kinachangia ongezeko la matukio ya Ukatili dhidi ya Watoto?

    Kuongezeka kwa matukio ya ukatili dhidi ya watoto nchini Tanzania ni tatizo changamano lenye sababu mbalimbali, zikiwemo: Sababu za Kijamii: * Mtazamo potofu wa kijinsia: Baadhi ya jamii zinaamini kuwa wanaume wana haki ya kuwadhibiti wanawake na watoto, na hii inaweza kusababisha ukatili wa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Vyombo vya Habari na nguvu ya kulinda maadili, mila na desturi za taifa

    Ulimwengu umekuwa kijiji kwasababu ya ukuaji wa sayansi na teknolojia. Kupata habari na matukio ya ulimwengu ni rahisi sana kuliko hata kuipata shilingi. Hii inatokana na maendeleo na hatua kubwa zilizopigwa katika sekta ya sayansi uvumbuzi na teknolojia Duniani. Upatikanaji wa intaneti...
  17. MK254

    JamiiForums Tanzania Waislamu wasiotaka kuendana na mila na desturi za bara Uropa wahamie kwingine, asema waziri wa Ujerumani

    Mnakimbia mataifa yenu, mnagoma kukimbilia mataifa ya waislamu na kuchagua kwenda bara Uropa kule ambako mnazaliana, ila mnataka hao huko Uropa wabadilishe mila na desturi zao ziendane na matambiko yenu......mumeagizwa mtafute kuhamia kwingine. ======================== Muslim refugees heading...
  18. mchawi wa kusini

    JamiiForums Tanzania Kuna makabila yana mila na desturi ngumu sana

    Kabila la Hamer na desturi ngumu Kabila la hamer linalopatikana kusini mwa nchi ya Ethiopia ndilo kabila linalosifika kudumisha mila na desturi ya kuthibitisha uwezo wa mwanamke kuvumilia magumu kwenye ndoa! Inasemekana mwanaume kabla hajatoa mahari inabidi ampime mwanamke anayetaka kumuoa...
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ni zao la mila na desturi ya kuvumiliana, subra na ushupavu

    Ili kuishi comfortably kwenye mazingira ya kidemokrasia, ni sharti uwe mwenye uelewa na ufahamu wa kutosha kuhusu maana halisi ya demokrasia yenyewe. Zaidi sana yafaa, ufanye mazoezi ya mara kwa mara na ya kutosha, ya kushinda ama kushindwa si tu uchaguzi pekeyake, bali pia hata yale yenye...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Unafiki unaoletwa kwenye Mambo ya Mila na Desturi

    UNAFIKI UNAOLETWA KWENYE MAMBO YA MILA NA DESTURI. Anaandika, Robert Heriel. Mtibeli. Kwa kweli wengine unafiki ulitupita pembeni. Leo nitauelezea unafiki uliopo katika jamii yetu unaosemwa Kwa Wakubwa na wadogo. Sitamung'unya maneno. Hivyo kama unajiona una Roho nyepesi ingefaa upuuzie andiko...
Back
Top Bottom