Wadau hamjamboni nyote?
Hizo ndizo sifa kuu za Muislamu
Uslamu ndiyo dini ya haki duniani kote
Ni wenye akili. Daima wapo makini, kwa sababu wana ufahamu wa ibada zao. Daima huwahudumia waumini na dini kwa kutumia akili. (al-Mumin, 40/54; az-Zumar, 39/18)
Ni wenye kupambana kiakili kwa nguvu...
Why do some of God's major projects or plans misfire? Kwa kutumia akili yangu ya kawaida tu ya kibinadamu nimekuwa nikijiuliza hilo swali na hapa nitatoa mifano kadhaa:
1. Kwa mujibu wa maandiko ((kama ni kweli) wakati Mungu anamwumba Lucifer mpango wake ulikuwa kumwona Lucifer akiendelea...
KOREA KASKAZINI - Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un ameshiriki misheni ya kuokoa zaidi ya watu 5,000 waliokumbwa na mafuriko kaskazini-magharibi mwa Korea Kaskazini, vyombo vya habari vya serikali viliripoti Jumatatu.
Mvua kubwa iliyonyesha Jumamosi ilisababisha mto kwenye mpaka wa Korea...
Mbio za sakafuni huishia ukingoni. Kiko wapi sasa?
Magufuli alikunyofoa si kwa bahati mbaya Bali alikuona wewe hufai. Ukaishia kumtukana na kumkejeli. Leo Kiko wapi? Mwenyezi mungu kaamua ugomvi sasa karibu kwenye benchi.
Wewe umejaa dharau,mikogo na mipasho tu kazi huwezi. Ona sasa ulivyoaibika...
Wadau hamjamboni nyote?
Mama yetu Mtakatifu Bikira Maria ndiye Mama wa Bwana wetu Yesu Kristo/Nabii Issa
Ndiye mbarikiwa pekee anayekubalika na Wakiristo.na Waislamu
Ndiye Mbarikiwa pekee aliyekula chakula kilichotoka mbinguni kwa kutolewa na Mungu wetu Mkuu
Ndiye Mbarikiwa pekee aliyezaa...
"Kwa Sisi baadhi ya Wanaume wa kiafrika tunadhani kumpa heshma Mkeo kama hii ni ufala au uzuzu,,kumbe hata Dini zetu na mafundisho yake yanatutaka tufanye hvyo!! Mke anahitaji utukufu", amesema Haji Sunday Manara Mhamasishaji Klabu ya Vibaka Tupu Kariakoo na Ilala.
Sasa Mwanamke au Mkeo huyo...
Najua Nyinyi Wakristo huwa Mnaswali kwa Mungu mkipitisha sala hiyo kwa Yesu Kiristo kwa kuwa yeye anatekeleza jukumu la kuwa mpatanishi kati yenu na Mungu Mwenyezi; Je ni hivyo kweli mnavyotakiwa kuswali? Mlipata kujiuliza? Haitakuwa mbaya mkajifunza pia kutoka kwa wenzenu. Kwa maana hiyo hebu...
Kuna taarifa nimezipata kutoka kwa mtu wangu wa karibu anadai Watu 11 wamefariki Dunia ndani ya Kiwanda cha Mtibwa Sugar kilichopo Morogoro kutokana na hitilafu za kiufundi.
Wenye taarifa kamili tujuzeni
==== ===
Watu 11 wakiwemo raia watatu wa kigeni wamefariki dunia na wawili wamejeruhiwa...
Nimeshangaa sana jaziba za wairan wakiona kama kifo kimepangwa na wabaya wao au kosa lilofanyika ni kama mungu kakosea.
Sasa imani ina maana gani kama kifo mtaki kuamini kipo.
Mbunge wa zamani wa Viti Maalum kupitia Chadema ambaye sasa amehamia CCM, Upendo Peneza amesema kabla hajama chama hicho, aliomba ushauri kwa Rais wa zamani wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf na pia alifunga na kuomba kabla hajatimiza uamuzi huo.
Chanzo: @MwananchiNews
Ngoja nami GENTAMYCINE...
Habari zenu waungwana, binafsi nimekua na maswali ambayo kila nikifikiria majibu yake yamekua hadimu sana kuyapata.
Najaribu tu kufikiri kweli mwenyezi mungu anaweza akamuumba binadamu then aje kumpa adhabu ya kumchoma moto?
Je, ni kweli mungu alipigana vita na shetani? Kama mwenyezi mungu na...
"Ewe Baba Mwenyezi Mungu naomba fanya kila uwezalo Klabu yangu ya Simba SC isiishie kabisa katika Nafasi ya Tatu bali ishie nafasi ya ama ya Tano au ya Saba ili sasa Sisi Mashabiki na Wanachama Kwanza tuanze Kupigana wenyewe kwa wenyewe kisha Hasira zetu tuzihamishie kwa Viongozi wetu na baadae...
Kitabu cha imani yako kimetungwa na watu.
Akili yako imeumbwa na Mungu mwenyewe.
Ila wewe una amini kitabu cha imani yako ambacho kimetungwa na wanadamu ni bora kuliko akili yako ambayo imeumbwa na Mwenyezi Mungu.
Huko ni kumkosea heshima Mwenyezi Mungu kwa kiwango cha hali ya hali ya juu sana.
Asante sana Kwako uliyenipa hii Elimu kwani tokea nianze Kufululiza kuhudhuria Ibada zangu Kanisa Katoliki na Kumtolea Mwenyezi Mungu Fungu lake la Kumi ( 10 ) Maajabu yanayonitokea ya Kimafanikio, Baraka na Neema huwezi kamwe kuyapata kwa Mganga wa Kienyeji au wale Waganga Watatu wa Madhabahuni...
Je,
1. Uwalipizie Kisasi?
2. Uwasamehe na ikibidi Uwasaidie baadhi yao?
3. Uwafanyie Kufuru ya Kimatumizi?
4. Kama ni Wanaume basi kwa Makusudi utembee / ulale na Wake zao?
5. Kama ni Wanawake basi Ulale nao ( Uwakaze ) bila Huruma?
6. Uwatambie kwa Kuwakera
7. Unyamaze, utumie muda wako mwingi...
Wakuu , Usiku huu nimetoka zangu nje kununua Chakula na nimefika pale nikaagiza zangu Chipsi, Mishikaki mitatu na Soda take way.
Sasa wakati nasubiri Chakula imekuja gari Kali ni V8 au Z8 sijaiangalia vizuri sana. Akashuka Jamaa yupo Smart sana na Vito vya thamani mkononi na shingoni ananukia...
Salaam, shalom!!!
Akizungumza Kwa uchungu mkubwa na majonzi alipokuwa akimuelezea HAYATI Mwinyi, amesema kuwa Mzee Mwinyi alikuwa mtu mwenye kheri, mpole na mstaarabu na muwajibikaji.
Amedai kuwa ulitokea mgogoro kati ya wakulima na wafugaji akiwa mkuu wa mkoa na katika tukio Hilo, alifariki...
Wasalaam.
Kwa sababu ya uhaba wa umeme, maji safi, uwezekano wa ajali, na magonjwa ya kushtukiza na kujisababishia wabongo wengi wamekata tamaa na wanaishi kana kwamba sekunde yoyote anakufa.
Hii imepelekea ufisadi, wizi, ujanjaujanja na ukosefu wa mipango mikubwa endelevu maana watu wanajua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.