Mwenyezi Mungu akusimamie, akulinde na akubariki

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
8,184
11,608
Unapoelekea kwenye kazi, majukumu na mahangaiko ya kujitafutia kipato.

Namshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai na afya alizotujalia mimi na wewe, hata tumeamka salama na akatukutanisha humu jukwaani kwa wasaa huu.

Mungu wa Rehema akusimamie na akulinde utekeleze wajibu wako kwa maarifa, nguvu, bidii na amani bila kuchoka wala kukata tamaa, na hatimae matokeo ya kazi njema za mikono yako zikalete furaha, amani na upendo kwako binafsi na kwa familia yako yote.

Nawaombea wanaosafiri kuelekea maeneo mbalimbali kwa aina tofauti tofauti za usafiri, Mungu wa Amani awasimamie tangu mwanzo wa safari hadi mwisho wa safari, awaepushe na hila zote za muovu shetani za muwapo safarini..

Nawaombea wagonjwa wote waliopo mahospitalini na majumbani, Ee mfariji Mponyaji wa wagonjwa. Uwajalie faraja, uponyaji na moyo wa kutokukata tamaa daima, wakutumaini na wakutegemee wewe pekee. Uwabariki sana madaktari na matabibu wote kwa sadaka ya tiba ya mwili, faraja na ukarimu kwa wagonjwa. Bariki madawa ya kimwili wanayoyatumia wagonjwa yakawasaidie kuwapatia nafuu na uponyaji katika miili yao na kwa nguvu zako wakapate uponyaji na uchangamfu wa roho na kuendelea kufurahia zawadi ya uhai ulotujalia sote bure.

Nawaombea nyote wenye shida na mahitaji binafsi mbalimbali, Mungu akusikilize, akutendee na kutimiza haja, tamaa na makusudio yako mema, sawa sawa na mapenzi yake...

Namuomba Mungu msamaha kwa makosa yote tulotenda, kwa mawazo, kwa maneno na matendo ......

Nawatakia kheri na fanaka
Amen 🙏...
 
Amen.

Hoja mchanganyiko!

Eh Bwana Mungu we, Utusikie.

Njaa mtaani na Bandari washagawia. na Makonda anachachafya CHADEMA, Uwabarikie wapate Mafuta ya Hedikopta.
 
Unapoelekea kwenye kazi, majukumu na mahangaiko ya kujitafutia kipato.

Namshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai na afya alizotujalia mimi na wewe, hata tumeamka salama na akatukutanisha humu jukwaani kwa wasaa huu.

Mungu wa Rehema akusimamie na akulinde utekeleze wajibu wako kwa maarifa, nguvu, bidii na amani bila kuchoka wala kukata tamaa, na hatimae matokeo ya kazi njema za mikono yako zikalete furaha, amani na upendo kwako binafsi na kwa familia yako yote.

Nawaombea wanaosafiri kuelekea maeneo mbalimbali kwa aina tofauti tofauti za usafiri, Mungu wa Amani awasimamie tangu mwanzo wa safari hadi mwisho wa safari, awaepushe na hila zote za muovu shetani za muwapo safarini..

Nawaombea wagonjwa wote waliopo mahospitalini na majumbani, Ee mfariji Mponyaji wa wagonjwa. Uwajalie faraja, uponyaji na moyo wa kutokukata tamaa daima, wakutumaini na wakutegemee wewe pekee. Uwabariki sana madaktari na matabibu wote kwa sadaka ya tiba ya mwili, faraja na ukarimu kwa wagonjwa. Bariki madawa ya kimwili wanayoyatumia wagonjwa yakawasaidie kuwapatia nafuu na uponyaji katika miili yao na kwa nguvu zako wakapate uponyaji na uchangamfu wa roho na kuendelea kufurahia zawadi ya uhai ulotujalia sote bure.

Nawaombea nyote wenye shida na mahitaji binafsi mbalimbali, Mungu akusikilize, akutendee na kutimiza haja, tamaa na makusudio yako mema, sawa sawa na mapenzi yake...

Namuomba Mungu msamaha kwa makosa yote tulotenda, kwa mawazo, kwa maneno na matendo ......

Nawatakia kheri na fanaka
Amen 🙏...
Hiki ni kiwango kikubwa sana cha utumishi wa Mungu kushinda maaskofu, mitume na manabii! Na ubarikiwe kama unavyowabariki wengine baraka hizo ziwe kwako tele!
 
Amen ...
Aamiyn
 
Amin.
BTW, je wale wanaohangaikia pumzi na afya zao leo hii huko hospitalini, wale ambao wameamka na hawajui waazie wapi, wale ambao hawana ramani. ??

Tuwaombee, tuwakumbuke, maana kumbuka ukiwa nacho lipo kundi kubwa halina, ukiwa na afya kuna kundi kubwa linapambania pumzi/uhai.
 
Hiki ni kiwango kikubwa sana cha utumishi wa Mungu kushinda maaskofu, mitume na manabii! Na ubarikiwe kama unavyowabariki wengine baraka hizo ziwe kwako tele!
Amen 🙏,
shukran sana Mukubwa @fazilil
 
Back
Top Bottom